kupima ukimwi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Mara ya kwanza kupima ukimwi

    Wasaalam! Leo imekuwa siku yangu ya kwanza tangia nizaliwe kupima ukimwi! Na kupata majibu! Aisee roho kidogo iache mwili! Nakumbuka Kuna siku nilinunua kipimo nikajipima Geto! Lakini kuangalia majibu ikawa ni ngum! Nikaamua nijifunge kitambaa usoni nikakafata kakipo bila kuona nikakafulashi...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Ulipata Hisia gani baada ya wewe na mkeo kupima Ukimwi na kukuta mpo Salama?

    Kwema! Katika vitu nilikuwa naogopa ni kupima VVU. Ukimwi sio poa aseeh! Kwa sisi tuliouona miaka hiyo Watu wakiugua huo ugonjwa tumeathirika kisaikolojia. Hasa sisi wanaume ndio tunaogopa zaidi. Haya. Embu eleza hisia ulizopata baada ya wewe mkeo kupima na kupata matokeo negative, yaani mpo...
  3. GENTAMYCINE

    Kwanini Matangazo ya Kuhimiza Watu kupima UKIMWI / DALLY KIMOKO yamepamba moto sana katika Media za Tanzania?

    GENTAMYCINE nilipoikataa ile Ripoti ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mwaka Jana kuwa UKIMWI umepungua sana nchini Tanzania si mlijifanya Kutonielewa na mkamuunga mkono? Kwa hali ya Maambukizi ilivyo mbaya sasa na Watu wanavyopukutika kila Uchao nadhani taratibu mtaanza kunielewa GENTAMYCINE na...
  4. Bridger

    UZUSHI Mate hubeba VVU hivyo kubusiana kunaweza kuwa chanzo cha maambukizi

    Mdau mmoja wa Jamiiforums ameonesha wasiwasi wake baada ya kwenda hospitalini kupima VVU ambapo tofauti na namna alivyotarajia, daktari wake alimpima kwa kutumia mate yaliyotolewa kwenye fizi ya juu na chini. Jambo hili limemfanya atoe ushauri kwa watu kuwa makini wanapokuwa wanabusiana kwa...
  5. Replica

    Ajinyonga baada ya kugundua ana virusi vya Ukimwi

    Sophia Charles Odipo mwenye umri wa miaka 23 Mkazi wa Mseto amefariki baada ya kujinyonga chanzo kikiwa ni baada ya kwenda Hospitali kupima afya yake mara mbili na kugundulika ana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema "Huyu Dada alijinyonga...
  6. TZ-1

    HIV: Tulio nao tuwalinde Wengine na tuzingatie masharti

    Tuendelee kuwa na Tahadhari na Tusiojua afya zetu tukapime NB: Kwanini positive results must be cofemd with uniGold & why not negative Result Tuliokuwa nao tuwalinde Wengine na tuzingatie masharti.
  7. NJUBER

    SoC01 Mimi, UKIMWI na tiba binafsi ya Uchanya

    UKIMWI ulikuwapo, upo na bado utaendelea kuwepo mpaka hapo mkono wa heri utakapofanyika tiba ili kukomesha janga hili. Kiufupi Ukimwi bado unayachukua maisha ya ndugu zetu makundi kwa makundi. Kwa ndugu zangu ambao ni waraibu wa ngono nakuaseni kwamba pindi tunapofanya basi tufanye kwa kinga na...
  8. Kaveli

    V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

    Wakuu, With due respect ta all of you. Ever since the existence of HIV/AIDS in our lovely planet, there are some concerns that always crack my mind, and I really get puzzled! Ni kuhusu hizi HIV-Testing Kits as regards to HIV diagnosis in human bodies. Napenda sana kujifunza vitu mbali mbali...
Back
Top Bottom