Search results

  1. P

    SoC04 Namna nilivyotaka kujiua baada ya kukata tamaa ya kuishi

    Hivi karibuni nyuzi zangu nyingi zimekuwa zikielezea hali halisi ya maisha yangu. Moja wapo ya uzi uliokuja kuokoa maisha yangu ni ule wa.....www.jamiiforums.com/threads/hivi-ni-mimi-tu-haya-maisha-yanataka-kunikataa.2210301/. Na hii ni baada ya kukuta watu wawili walionionea huruma na...
  2. P

    Hivi ni mimi tu haya maisha yanataka kunikataa?

    Nimeajiriwa ngazi ya chini Serikalini lakini naona mambo hayaendi kabisa. Mwanzo nilipoajiriwa nilikuwa nafuraha lakini siku zinavyoenda mambo yanaenda ndivyo sivyo. Nina mawazo kuacha kazi changomoto sijajipanga. Niwaza hadi nimefika mwisho sijui nifanyeje, nina madeni mengi, na hapo hata...
  3. P

    Nilikuwa na hamu kubwa lakini ile najaribu tu ikawa utambi😭😭

    Nimekaa mda mrefu bila kufanya. Nikameita my wangu geto akaja. Nikafikiri itakua show show lakini asikuambie mtu mambo yakawa ndivyo sivyo. nikaanza romance kama kawaida jamaa akasimama strong. Nikachezea shaft hadi utelezi ukashuka. Nikavaa ndom ile napachika mara shwaaa yaan sekunde. Ikawa...
  4. P

    Kuna uhusiano gani kati ya kushtuka na kutokwa manii au kupata hedhi?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ipo hivi; kuna wakati mtu akipaniki au kupatwa na stress mwili unaingiwa hisia kabisa hadi bao linatoka kwa mwanaume au kupata hedhi kwa mwanamke sijui hii kitaalamu imekaaje. Kuna mtu akiwa kwenye chumba cha mtihani au mawasilisho (presentation) au jambo...
  5. P

    Nafuta mke wa kuoa

    Habari zenu... Mimi ni kijana wa miaka 30 nina bachelor degree, Ni muajiriwa Serikalini, Pia mfanyabiashara, Ni mweusi 5.7 feet tall, Ni mweusi wa wastani. Natafuta mke wa kuoa Awe na umri wa kuanzia 22-30 Awe mchapa kazi Awe mrefu Awe na elimu kuanzia kidato cha nne Awe na hofu ya Mungu. Aje PM
  6. P

    Kuna mtu aliyefanikiwa kwa kucheza michezo ya kubahatisha?

    habari zenu wakuu, naomba kuuliza kama kuna aliyafanikiwa kwa kubet, mashine za kichina za kuweka mia mbili (korokoro) tusua mapene, tatu mzika biko, aviator, mshiko nje nje, mbungi mtonyo, n.k. kuna aliyefanikiwa? kwa maana naona wengi wetu tunaoteza tu huku tukiwa waraibu kucheza michezo hiyo.
  7. P

    Hii dunia ni chungu na maisha ni ya udhaishi yaani hayana maana.

    Udhanaishi ni hali anayokuwa nayo mtu kwamba kwako maisha hayana maana. Utafanya mengi lakini vyote ni ujinga mtupu. kukata tamaa kunaanza pale tunapofikiri madhara zaidi yanayotokea baada kufanya mambo chanya na kuharibika. Mfano; Wanadamu wanatafuta hela na dhahabu, wanajenga majumba makubwa...
  8. P

    Majukumu ya Mwalimu

    Walimu wanamajukumu mengi sana ukilinganisha na wanacholipwa. Walimu wanatofautiana kuanzia msingi, sekondari, hadi vyuo. Kadri ngazi inavyoshuka ndivyo wanalemewa na majukumu. Ualimu kwa nchi nyingine ni kazi nzuri yenye furaha na mshahara wa kutosha lakini kwa Tanzania ndio wanapata taabu...
  9. P

    Wenye uzoefu wa maumivu ya mapenzi tusaidiane

    Hivi karibu nilipost uzi hapo kuhusu kukataliwa na wazazi. Maajabu binti ana mimba ya mtu mwingine kumbe ilikua ni kuzingukwa tu na jamaa aliyemtia mimba hamuoi, kapita kushoto. Binti anarudi kuniambia hayo mambo. Ninampenda sana lakini ndio hivyo tena kikwazo mimba. Naumia moyo wangu ndugu...
  10. P

    Nahisi kukata tamaa na hii kazi ya kuajiriwa

    Naenda moja kwa moja kuhusu hii kazi ya kuajiriwa. Nina shahada ya ualimu, nimetafuta kazi miaka mingi ni mizinguo kila kona, kwingine wanalipa 100,000 ukiangalia bajeti yaani hata hela ya vocha unaweza kukosa. Nikachunguza na maisha ya walimu si mazuri kiviile japokuwa kuna wachache waliotoboa...
  11. P

    Nimempenda mwanamke ila wazazi wake wamenikataa

    Habari wana jamvi, nimempenda mwanamke mmoja tumeshakubaliana kuoana ila kikwazo ni wazazi hawataki kusikia kabisa suala kuolewa na mimi. Nimempenda huyu mwanamke kupitiliza sijui nifanyeje ndugu zangu. Nimeshindwa kabisa kumuacha huyu mwanamke na yeye amefuata ushauri wa wazazi. Wazee...
Back
Top Bottom