JINSI YA KUKAZIA AU KUTEKELEZA HUKUMU MAHAKAMA YA MWANZO:
Mwandishi: Zechariah Wakili Msomi
Zakariamaseke@gmail.com
Unaposhinda kesi ya madai, mfano umefungua kesi na hukumu imetoka umeshinda kesi, labda Mahakama imesema ulipwe au urudishiwe nyumba, hauishii hapo tu, ili uweze kulipwa au...
Je unaweza kuomba temporary injunction/ stop order (zuio) wakati kesi iko kwenye hatua ya rufaa?
Kwa mujibu wa Sheria ya Mwenendo wa Kesi za Madai (Civil Procedure Code/ CPC) unaweza kuomba zuio la muda mfupi Mahakamani ikiwa utaona mali inayobishaniwa kwenye kesi iko hatarini kupotea au...
Jambo la kwanza kabla ya kuamua kushtaki au kufungua kesi Mahakamani hakikisha una miguu ya kusimamia Mahakamani, kisheria tunaita LOCUS STANDI.
Locus standi ni neno la kisheria lenye asili ya kilatini ikimaanisha maslahi au haki uliyo nayo au iliyovunjwa na mtu au taasisi na hivyo kukupa haki...
Nyaraka ikishapokelewa kama kielelezo Mahakamani, inatakiwa yule shahidi aliyeleta hicho kielelezo asome kwa sauti kilichomo ndani ya hicho kielelezo mbele ya Mahakama, ili upande wa pili kwenye kesi uweze kuelewa yaliyomo kwenye kielelezo na kuweka pingamizi kama anataka kupinga. Kama kuna...
Ushahidi Mahakamani (kwenye kesi za madai) unaweza kutolewa kwa njia ya mdomo (orally) au kwa njia ya maandishi (witness statement). Rejea Order XVIII (2) (1) ya CPC (amendments za mwaka 2021).
Sasa, ukiomba kwenye kesi yako utoe ushahidi kwa njia ya maandishi (witness statement), ukakubaliwa...
Nyaraka za kufungulia na kujibu kesi Mahakamani (Pleadings) kama vile hati ya madai (plaint) na hati ya utetezi (WSD) zinatakiwa kusainiwa na mhusika (mdai au mdaiwa) pamoja na wakili wake (kama yupo) au mtu yeyote ambaye ameruhusiwa na mhusika.
Hata wakili peke yake anaweza kusaini kama tu...
Article: By Zakaria Maseke
zakariamaseke@gmail.com
Advocate/Wakili.
(0746575259 WhatsApp).
Unit titles (hati pacha) ni nini? 🤷♂️ Ni mfumo ambao mtu ‘ANAMILIKI’ sehemu au chumba (apartment au portion) kwenye jengo lenye vyumba vingi. 🏬 Jengo ni moja ila mnashare wengi, 🌆 kila mtu anamiliki...
Hii ni kwa mujibu wa uamuzi wa Mahakama Kuu kwenye kesi kati ya Juma Sylvester Mfumia dhidi ya Antony Adabu Mmasy, Rufaa ya Ardhi Namba 68 ya mwaka 2022, kesi ilisikikizwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga (nitakwambia baadaye kwa nini nimeita uamuzi wa “Mahakama Kuu” wakati ilisikilizwa Mahakama...
KESI NYINGINE AMBAYO MAHAKAMA ILISEMA WATOTO WALIOZALIWA NJE YA NDOA WANA HAKI YA KURITHI:
Leo tunasoma kesi ya ELIZABETH MOHAMED v. ADOLF JOHN MAGESA ADMINISTRATION APPEAL (RUFAA YA MIRATHI) NO.14 OF 2011
Haya ni baadhi ya maswali machache ambayo utapata majibu yake ndani ya hii kesi.👇
1...
How to enforce foreign judgements in Tanzania (jinsi ya kutekeleza hukumu ya nje ya nchi hapa Tanzania).
Kupitia makala hii utajifunza mambo yafuatayo:
1: Whether a foreign judgement can be enforced or executed in Tanzania (ikiwa inawezekana kutekeleza hukumu ya kigeni nchini Tanzania).
2...
Haya ni baadhi ya maswali ambayo utapata majibu yake kwa kusoma makala hii fupi.
1: Je, mtu ambaye sio Wakili anaruhusiwa kumuwakilisha (kumsimamia) au kumtetea mtu kwenye kesi Mahakamani?
2: Je, mtu ambaye sio Wakili anaweza kuandaa, kushuhudia na kusaini nyaraka (documents) za kisheria na...
Ukishindwa kulipa mkopo, kuna njia nyingi za benki ku recover (kujilipa) hela yao. Mojawapo ni kuuza mali uliyoweka kama dhamana (security).
Sasa ikitokea benki wameamua kuuza mali yako ili kulipa deni la mkopo uliochukua kwao, mojawapo ya masharti ni kwamba, wanatakiwa kuuza ile mali tu...
Mahakama za kesi za ndoa.
Habari mpendwa msomaji!
Leo nitatoa elimu ya Mahakama zinazosikiliza kesi za ndoa na unafikaje hapo Mahakamani.
Kwa kusoma makala hii utajua mambo yafuatayo:
-Jinsi ya kufungua shauri au kesi ya ndoa.
-Masharti kabla ya kufungua kesi ya ndoa.
-Ukomo wa muda wa...
1: QUALIFICATIONS ZA KUWA MKURUGENZI WA KAMPUNI (DIRECTOR):
Sifa (qualifications) za kuwa director wa kampuni zinapatikana kwenye Sheria ya Makampuni ya Tanzania (the Companies Act), ya mwaka 2002. Ukisoma kifungu cha 194.
(i): Kwanza ni kigezo cha umri: Je, director anatakiwa kuwa na umri...
Kuna kesi nyingi zinazohusu hii mada.
Tuanze na kesi ya PHILIPO JOSEPH LUKONDE Vs FARAJI ALLY SAIDI, LAND REFERENCE NO. 01 OF 2020.
Uchambuzi wa hizi kesi unaletwa kwako nami Zakaria Maseke - Advocate Candidate (0754575246 -WhatsApp)
Kwenye hii kesi Mr. PHILIPO alikubali kumuuzia FARAJI...
Issue: Whether ex parte judgment can be appealed against without first attempting to set it aside?.
By zakariamaseke@gmail.com
Advocate Candidate - LST.
Umeshtakiwa alafu hujatokea Mahakamani, kesi imesikilizwa upande mmoja (exparte) na hukumu imetolewa dhidi yako (umeshindwa kesi)...
Soma kesi ya REPUBLIC Vs FREEMAN AIKAEL MBOWE na wenzake watatu, Kesi ya uhujumu uchumi namba 16 of 2021.
Summary By, Zakaria Maseke
Kwenye hii kesi, prosecution walikosea, citation ya Sheria kwenye certificate of seizure (HATI YA KUCHUKUA MALI), wakaandika kwamba , imetolewa chini ya kifungu...
Unakumbuka ile kesi ambayo Mahakama Kuu ya Tanzania iliamua kwamba Raia wa Kigeni wanaweza kumiliki ardhi nchini Tanzania kwa njia ya kurithi (where High Court ruled that non-citizen heirs could own land by way of inheritance)?
Uamuzi ambao ulitolewa na Mahakama Kuu mwaka 2011. Lakini serikali...
Hello, katika mada ya leo tutajifunza maana, sifa na aina mbali mbali za makampuni (categorization of companies).
Makala hii imeandaliwa na kuletwa kwako na Zakaria Maseke - Advocate Candidate, leo February 5, 2023 saa 19:00. Ukikuta nyingine huko inafanana na hii, ujue imeibiwa (copied /...
Katika magonjwa yanayoongoza kuua watu ni HASIRA au KINYONGO. HASIRA au KINYONGO ni chanzo cha magonjwa mengi na vifo. Vinapunguza sana siku za kuishi.
Uchungu usipoutoa moyoni utatokea sehemu nyingine, 👌 ukitokea kwenye ziwa, 🤱 tunaita kansa ya titi, 🌝 ukitokea kwenye moyo tunaita presha, 😯...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.