Habari za Jumapili ndugu zangu wanajamii na wenzangu,
Ninaomba kufahamu taratibu za kuomba uhamisho (transfer) kutoka Taasisi X kwenda Taasisi Y kupitia mfumo wa Utumishi (e-Utumishi). Je, kuna viambatanisho ambavyo vinahitajika kuambatanishwa na maombi? Na ikiwa ndivyo, ni viambatanisho gani...
Hakuna mchezaji aliye na uwezo kama Sure Boy ambaye anaweza kuleta umoja kwa Timu ya Taifa ya Tanzania AFCON.
Tunaiomba TFF imwite Sure Boy na kumpa heshima anayostahili katika nchi hii. Watu wenye uwezo wa kushika dimba ni Sure Boy na Aucho tu. TFF, tafadhali mwalikeni Sure Boy, mwiteni Sure Boy.
Naomba msaada wiki nzima sasa nimekwama kwenye demographic infro mtandao kila niki submit nashindwa kwenda mbele mfumo upo slow unashindwa kupokea data.
Je, nifanyaje?
Habari,
Hivi wazazi wangetumia democrasia ya kutupa fursa ya kuchagua kunywa uji au kuacha wengi tungekumbwa na magonjwa ya utapia mlo/Kwashiorkor na udumavu wa akili.
Lakini walitumia nguvu kutulazimisha kunywa uji na imepelekea kuimarisha afya zetu na ukuaji Bora.
Democrasia isiwe kigezo...
Habari Wana jukwaa naomba Uzi huu uwe Kwa ajili ya kupeana taarifa mbali mbali za Fund au Grant Kwa ajili ya proposal mbali mbali zinazo tangazwa na serikali au Taasisi mbali karibuni
Asante sana wana jukwaa wenzangu bado tunatumia fursa hii ya Uhuru wa kujieleza kulingana na katiba yetu kwa kuzingatia maadili na mipaka ya Democracy.
Leo napenda kujadili au kutoa mapendekezo kwa Serikali juu ya shirika letu la Posta
Kabla ya kuendelea nitoe pongezi ya dhati kwa Serikali...
Habari za majukumu ndugu zangu wa JamiiForums kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa ajili ya nguvu na afya tele na jinsi anavyo zidi kutupigani kwenye kanga hili la Covid 19 au UVIKO 19 wimbi la Tatu
Pili nitoe pongezi kwa serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mheshimiwa Rais Samia H...
Changamoto za maisha /mafaniko katika maisha zinatufanya kuanzisha vitu vingi lakini tunashindwa kuona mwisho wake au matunda yake/mafaniko kwa mawazo yetu
Vitu vingi au mawazo mengi yanakufa kabla hatujaona mafaniko yake au mwisho wake mwema kwa mfano unaweza waza kuanzisha biashara lakini...
KOMPYUTA NI NINI?
Kompyuta ni kifaa cha kielectroniki kinacho pokea Data ,kuzi hifadhi ,kuzichakata na kutupa majibu au taarifa,
MFUMO WA KOMPYUTA NINI?
Mfumo wa kompyuta ni muunganiko wa vifaa vya kompyuta,programu za kompyuta,data na mtumiaji ambazo kwa pamoja zinaweza kupokea...
Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa ajili ya Rais wetu mpendwa Mama Samia Hassan Suluhu ambaye ni Rais wa Kwanza Mwanamke katika Taifa letu pendwa Tanzania na Afrika Mashariki.
Pili nitoe pongezi zangu za dhati kwa upeo wake mkubwa na nia ya dhati ya kuendeleza nchi yetu pendwa...
Kulingana na mabadiliko ya Uchumi na ukiangalia nchi yetu tangu awamu ya Tano tupo kwenye Sera ya viwanda,maendeleo ya viwanda yanakwenda sambamba na mambo yafuatayo
1:Miundo mbinu kama Barbara
2:Rasilimali watu
3:Malighafi
Lakini naomba niweke mkazo kwenye rasilimali watu ,viwanda vinahitaji...
UTANGULIZI
SMART MOTHER (SM) ,kabla ya kutafuta kwa kina ni jina gani zuri la kumpatia mama huyu ambaye anaangaika na kupambana hili motto wake awezi kupata mahitaji muhimu kama Elimu(Kwenda shule),chakula na mahitaji mengine,huyu ni mama ambaye yeye ndiye kichwa cha Familia anaye ongoza...
UTANGULIZI
Hakika katika msimu huu ukiondoa matokeo mbalimbali na mafaniko waliyo yapata Klubu ya Simba na mwenendo mzima wa ligi kuu bara basi moja ya jambo ambalo limeshika sana katika vichwa vya wapenda soka mashabiki wa Simba na Yanga basi bila shaka ni sakata la kesi ya Benard Morrison na...
UTANGULIZI
TEHAMA au Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ni mkusanyiko wa watu,vifaa vya kompyuta na mawasiliano,programu na data ambazo zinachakatwa na kutoa au kupata taarifa zinazo tumika katika nyanja mbalimbali.
Maendeleo ya TEHAMA katika nchi yetu na Dunia yanazidi kuongezeka kwa sababu...
NJIA BORA YA UPINZANI KUINGIA MADARAKANI MWAKA 2025
Kwanza namshukuru mwenyewezi Mungu kwa kutujalia afya nzuri na Amani katika Nchi yetu pendwa ya Tanzania
Tangua kuanzishwa kwa uchaguzi wa vyama vingi kama njia ya kuimarisha Demokrasia katika Nchi yetu baada ya kupata uhuru na kudumu katika...
Ongezeko la idadi kubwa ya vijana wanao maliza vyuo vikuu,vya kati na vyuo vya ufundi umepelekea kuleta change moto ya ukosefu wa ajira katika Taifa na Dunia
Serikali na wadau mbalimbali ikiwemo mashirika yasiyo ya kiserikali wametoa na kuendelea kutoa mchango waho juu ya kukabiliana na tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.