kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 832
- 783
Habari za Jumapili ndugu zangu wanajamii na wenzangu,
Ninaomba kufahamu taratibu za kuomba uhamisho (transfer) kutoka Taasisi X kwenda Taasisi Y kupitia mfumo wa Utumishi (e-Utumishi). Je, kuna viambatanisho ambavyo vinahitajika kuambatanishwa na maombi? Na ikiwa ndivyo, ni viambatanisho gani vinavyohitajika?
Pili, je, ni utaratibu gani unaofaa kufuatwa unapoandika barua ya maombi ya uhamisho (Transfer Application Letter)? Je, unaipeleka kwa mkuu wa kituo chako aweke maoni na unaipeleka kule unapo taka kuhamia ili naye aweke maoni au barua inakwenda moja kwa moja utumishi kupitia kwa taasisi x na Y na maoni yao wataweka kwenye mtandao.
Ahsanteni kwa ushirikiano wen