Viambatanisho katika mfumo wa uhamisho (ess.utumishi.go.tz)

Inabidi aanze mkuu wa section,then idara,accounting officer then, Utumishi,hiyo allowed ni kabla ya accounting officer,hebu mcheki mkuu wa idara Yako uone kama kaifowadi,ukiona kafowadi jua tu ndo mabalaa ya mfumo,mara nyingi inaweza hata kuonyesha hamna request,mfumo bado unasumbua hata kwa waliouanzisha
 
Mkuu samahani!. Satus ikisoma utumishi inakua ina maanisha nini hasa, maana ni miezi nane sasa iko ivo ivo
 
Hapo unasubilia tu kibali Cha uhamisho,mda wowote taratibu zikikamilika unapewa
Çhangamoto kubwa,utumishi wako very slow
Usharudi kwa UTUMISHi
Ni Bora wawe na online letter,kwamba,kwa mfumo ulivyo mpaka status ifike kwao maana yake nafasi ya kuhamia taasisi flani IPO,kwahiyo hakuna sababu ya kukaa miezi yote hii mtu kupewa kibali,huu ni ukatiri na unyanyasaji kwa watumishi
Ikitokea ombi likawafikia,ndani ya mwezi mwombaji awe amepata kibali,Habari ya ombi kuzunguka ofisi moja kwnd nyingine ndani ya ofisi moja ya utumishi Haina maana ukishaamzisha utaratibu wa mfumo,kama mikopo wa benki unaweza kutoka ndani ya siku moja iweje uhamisho ichukue miezi yote hii,Kuna tatizo mahali,kwamba utumishi wameshindwa kuendana na maelekezo na mpango waliouanzisha wenyewe
Waziri alitamka wazi,uhamisho utachukua mda mfupi,zaidi ya mwezi huo ni mda mrefu,zamani kabla ya mfumo ilikuwa inachukua miezi 3,sasa inakuaje miezi 4,5,6,hapana kwakweli,ofisi ya raisi utumishi isiwe kikwazo kwa watu kupata uhamisho
Ushauri wangu uko palepale,iwepo online permit letter,status ikishawafikia ndani ya wiki moja au siku 21 kibali kiwe kimetoka,isiwepo foleni kwa matypist,barua ziwe tayari kwny mfumo
Vinginevyo ofisi ya raisi utumishi itaendelea kubebeshwa lawama ya kushindwa kuendana na kaso ya sayansi na technolojia
 
Habari za Jumapili ndugu zangu wanajamii na wenzangu,

Ninaomba kufahamu taratibu za kuomba uhamisho (transfer) kutoka Taasisi X kwenda Taasisi Y kupitia mfumo wa Utumishi (e-Utumishi). Je, kuna viambatanisho ambavyo vinahitajika kuambatanishwa na maombi? Na ikiwa ndivyo, ni viambatanisho gani vinavyohitajika?

Pili, je, ni utaratibu gani unaofaa kufuatwa unapoandika barua ya maombi ya uhamisho (Transfer Application Letter)? Je, unaipeleka kwa mkuu wa kituo chako aweke maoni na unaipeleka kule unapo taka kuhamia ili naye aweke maoni au barua inakwenda moja kwa moja utumishi kupitia kwa taasisi x na Y na maoni yao wataweka kwenye mtandao.

Ahsanteni kwa ushirikiano wen
ngoja waje wale walio ndani ya kikokotoo
 
Hapo unasubilia tu kibali Cha uhamisho,mda wowote taratibu zikikamilika unapewa
Çhangamoto kubwa,utumishi wako very slow
Usharudi kwa UTUMISHi
Ni Bora wawe na online letter,kwamba,kwa mfumo ulivyo mpaka status ifike kwao maana yake nafasi ya kuhamia taasisi flani IPO,kwahiyo hakuna sababu ya kukaa miezi yote hii mtu kupewa kibali,huu ni ukatiri na unyanyasaji kwa watumishi
Ikitokea ombi likawafikia,ndani ya mwezi mwombaji awe amepata kibali,Habari ya ombi kuzunguka ofisi moja kwnd nyingine ndani ya ofisi moja ya utumishi Haina maana ukishaamzisha utaratibu wa mfumo,kama mikopo wa benki unaweza kutoka ndani ya siku moja iweje uhamisho ichukue miezi yote hii,Kuna tatizo mahali,kwamba utumishi wameshindwa kuendana na maelekezo na mpango waliouanzisha wenyewe
Waziri alitamka wazi,uhamisho utachukua mda mfupi,zaidi ya mwezi huo ni mda mrefu,zamani kabla ya mfumo ilikuwa inachukua miezi 3,sasa inakuaje miezi 4,5,6,hapana kwakweli,ofisi ya raisi utumishi isiwe kikwazo kwa watu kupata uhamisho
Ushauri wangu uko palepale,iwepo online permit letter,status ikishawafikia ndani ya wiki moja au siku 21 kibali kiwe kimetoka,isiwepo foleni kwa matypist,barua ziwe tayari kwny mfumo
Vinginevyo ofisi ya raisi utumishi itaendelea kubebeshwa lawama ya kushindwa kuendana na kaso ya sayansi na technolojia
Ofiis za umma zimejaa vilaza na wakiritimba,inasikitisha sana
 
Itakuwa wameamua ku balance speed ya kuhama hama..

Wameona dawa ni kuwasubirisha kiaina.. mtaambiana wenyewe kwa wenyewe kwamba kuhama sio Simpo simpo..
 
Back
Top Bottom