Msaada wa "User Manuals" kwa ajili ya uhamisho wa waajiriwa/kubadilishana kituo kupitia ESS

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,437
5,586
Wakuu..!!
Kama mnavyojua sasa Serikali ipo kiganjani kwa kuthibitisha hilo, kwa upande wa utumishi wa Umma
mambo yote ya kiutumishi yanafanyika kupitia mtandao(ESS).

Hivyo basi nimejaribu kufungua/kupakua "user manuals" zinazohuhusu uhamisho wa watumishi ila mfumo unagoma.

Bila shaka humu kuna HRs wa taasisi mbalimbali hapa nchini.
Shida yangu kubwa ni kupata "User Manuals" for
1. EXCHANGE TRANSFER USER
MANUAL FOR EMPLOYEES
2. STEP BY STEP TO CREATE
TRANSFER IN ESS.
 
Mbona ukilog in kule kwenye mfumo wa ess, then kuna sehemu utaona wameandika documents utaziona pale
 
Kama alivosema Jooh12

Checki hapo utaona rangi nyekundu imewaka waka.. utapata kila kitu

Screenshot_20240421-141542.png
 
Mimi nilifanya Transfer Vacancy Request kwenda taasisi nyingine wakaiReject, na wakatoa sababu ya kureject.

Sasa kila nikijaribu kuomba sehemu nyingine wananiandikia "YOU HAVE OTHER PENDING REQUEST" ambayo tayari walishaiReject.

Nashindwa kwenda mbele, nashindwa kurudi nyuma. Na option ya kuiDelete ile request iliyokataliwa hamna.

Msaada wanakwetu wenye kujua jinsi ya kichomoka hapo.
 
Back
Top Bottom