Search results

  1. Ferruccio Lamborghini

    Rais Samia amechagua njia sahihi kushusha bei mafuta

    RAIS Samia Suluhu Hassan, ameamua kulikabili sakata la mgogoro wa mafuta kwa kutoa maelekezo ya kujibana katika matumizi ya ndani ya Serikali. Kwa nini hii ndio njia sahihi? Nitaeleza; Wapo waliopendekeza kuondoa tozo mbalimbali kwenye mafuta ili bei ipungue. Ni mawazo lakini msaada wake upo...
  2. Ferruccio Lamborghini

    Kwa hili Rais anastahili pongezi

    NILIPATA kuandika miaka ya nyuma kuwa Tanzania inateswa na mambo makuu mawili; Ujuaji na ukosefu wa uadilifu. Mosi; watu wanajua sana. Sehemu yenye kuhitaji utaalamu, yule ambaye fani haimhusu anaweza kuzungumza na kuonekana anajua zaidi. Mwaka jana, Jumuiya ya Wanasheria Tanganyika (TLS)...
  3. Ferruccio Lamborghini

    Wabunge CCM wana U-Magufuli mwingi kuliko U-CCM

    JOHN Magufuli hayupo duniani. Ila nguvu yake bado inaishi ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Magufuli alitengeneza wabunge wake. Wanaitwa “loyal to a fault" – “watiifu wasioambiwa chochote". Wanaendelea kumtii hadi leo akiwa kaburini, kuliko kukitii chama chao, CCM. Ukarabati...
  4. Ferruccio Lamborghini

    Wasomi wa vyuo siku hizi hamna kitu, wanafuata mkumbo tu

    Yaani ovyo tu, wengi wanaenda kusoma vyuoni kwa ajili ya kufuata mkumbo tu ili jamii iwachukulie kama vile wamesoma sana. Ila huko chuoni aisee, ukiwaona utachoka. Yaan kichwani hakuna kitu😬 kuna mmoja alisoma IT nilimpa kazi ya kunipigia Windows 10 kwenye PC yangu,akabaki ananikodolea macho tu...
  5. Ferruccio Lamborghini

    Tarehe 31 Machi, 2022 TTCL wanapandisha bei ya vifurushi

    Noma sana wakuu, tarehe tajwa hapo juu 31.03.2022, shirika la serikali la mawasiliano litatupiga na kitu kizito sana kichwani, wanapandisha vifurushi. Bufee inaweza kuondolewa maana inawatia hasara tu. Toboa night HAIRUDISHWI ng'o Si mnakumbuka tuliambiwa tuhamie Burundi tukaanza kuleta...
  6. Ferruccio Lamborghini

    Neno "CHAI" lina maana gani?

    Ukileta taarifa kidogo tu utasikia hii chai, mara majani ya mpera, mara watakwambia hii ni gahawa, mara majani ya chai mengi, mara tangawizi imezidi! Hivi hili neno asili yake ni ipi na ina maana gani?
  7. Ferruccio Lamborghini

    Mjue 'mfalme' Zumaridi kiundani zaidi

    Kwa miaka kadhaa sasa, ‘Mfalme Zumaridi’ ambaye jina lake halisi ni Diana Bundala, ni miongoni mwa wahubiri wa dini wanaovuma ndani na nje ya Jiji la Mwanza. ‘Mfalme Zumaridi’ (39) ambaye pia hujiita mungu wa duniani amesikika akitoa huduma ya maombezi, mahubiri na hata tiba kwa magonjwa kadhaa...
  8. Ferruccio Lamborghini

    NYUMA YA PAZIA: Kutoka Romario, Ronaldo, Messi na sasa Traore

    WAINGEREZA huwa wana msemo wao ‘Falling from the grace’. Kiswahili chake kinaweza kwenda na mfano. Yaani mfano wa mwanadamu aliyekuwa na nguvu za kubeba magunia matatu kwa wakati mmoja inapofika mahala akaishiwa nguvu kiasi kwamba akawa hawezi kunyanyua rimoti ya televisheni iliyo kando yake...
  9. Ferruccio Lamborghini

    NYUMA YA PAZIA: Simulizi ya kutisha ya Jack 'Wheelchair'

    MIONGONI mwa binadamu waliozaliwa siku ya mwaka mpya yumo Jack Andrew Garry. Jina la mbele unaweza kuchagua moja kati ya haya mawili. Unaweza kumuita Wilshere au Wheelchair. Historia ya maisha yake ya soka inanitia huzuni kidogo. Jack, mfupi kama alivyo alikuwa na kipaji maridhawa. Ukitumia...
  10. Ferruccio Lamborghini

    Neno "KAVU" lina maana gani?

    Hili neno lina maana gani? Utasikia mtu anakwambia "yule jamaa ni kavu tu."
  11. Ferruccio Lamborghini

    Geita: Auawa akidaiwa kujaribu kumbaka mwanafunzi

    Mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kati ya 18 hadi 22 ameuawa na mwili wake kuchomwa moto na wananchi wakidai kuwa alijaribu kutaka kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili katika Sekondari iliyopo Kata ya Bombambili mjini Geita. Tukio hilo limetokea leo Alhamisi Februari 24, 2022 saa...
  12. Ferruccio Lamborghini

    Atupwa jela miaka 60 kwa kumbaka mama wa miaka 56

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Musoma imemhukumu kifungo cha miaka 60 jela, Daudi Samson (22) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanamke mwenye umri wa miaka 56 (majina yanahifadhiwa) na kumsababishia maumivu makali ikiwamo kumvunja mgongo. Akisoma hukumu hiyo jana, Hakimu...
  13. Ferruccio Lamborghini

    TTCL hatarini kunyang’anywa soko

    Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma, Tanzania imesema Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) liko katika hatari kubwa zaidi ya kunyang’anywa soko na makampuni mengine ya simu kutokana na upungufu wa mtaji. Hayo yamesemwa leo Jumatano Februari 16, 2022 na Mwenyekiti wa Kamati hiyo...
  14. Ferruccio Lamborghini

    Sonso ameacha maandishi ukutani, tujitafakari

    IJUMAA iliyopita amefariki dunia beki wa Ruvu Shooting, Ally Mtoni ‘Sonso’ na alizikwa Jumamosi. Sonso enzi za uhai wake aliwahi pia kuzicheza Lipuli, Yanga na Kagera Sugar. Zaidi ya hapo amewahi kuipigania jezi ya timu ya taifa. Ni mara chache kwa taifa letu kutokea kifo cha mchezaji wa Ligi...
  15. Ferruccio Lamborghini

    MOHAMED SAID: Alifungwa enzi za Nyerere, asamehewa na Rais Samia-2

    Pamoja na imani yake kuongezeka Mohamed alikuwa amekata tamaa ya kuishi, hivyo wakati wote akiwa gerezani hakutaka kujifunza ujuzi wowote akiamini hatoweza kuutumia kwa sababu kilicho mbele yake ni kunyongwa hadi kufa. Hilo likamfanya ajikite kwenye shughuli anazopangiwa kila siku, lakini si...
  16. Ferruccio Lamborghini

    Mohamed Said alifungwa wakati wa Nyerere, asamehewa wakati wa Rais Samia

    Usiku wa Februari 24 mwaka 1982 utabaki kwenye kumbukumbu ya kudumu kichwani kwa Mohamed Said (70) kutokana na tukio kubwa lililomkuta siku hiyo na kumfanya akae gerezani kwa miaka 40. Kama angejua kinachokwenda kumtokea siku hiyo huenda angebadilisha mwelekeo, lakini kwa kuwa hakutambua...
  17. Ferruccio Lamborghini

    Taa za kuongoza magari makutano ya shule ya Kibasila na Cha'ng'ombe hayafanyi kazi siku 30 sasa

    Aisee pale karibu na shule ya sekondari Kibasila au kiwanda cha Serengeti yale mataa hayafanyi kazi kabisa. Magari yanavuka tu, kila mtu na muda wake, hata askari wa kuyaongoza hayupo
  18. Ferruccio Lamborghini

    Kuna mtoto anachezea simu ya Mo Dewji?

    Mwanaspoti Kolamu MZEE WA UPUPU: Kuna mtoto anachezea simu ya Mo Dewji? WEDNESDAY FEBRUARY 02 2022 [https://www] ADVERTISEMENT Mara zote Simba inapopitia kipindi kigumu, mwekezaji wao Mo Dewji huibuka na maneno fulani ya mafumbo kupitia mitandao ya jamii. Hii huongeza taharuki kwa...
  19. Ferruccio Lamborghini

    Mdada wa Stationery anahitajika haraka

    Ofisi ipo Mbezi Goba. AWE MA SIFA ZIFUATAZO 1. Awe anaweza kutype kwa spidi. 2. Awe ana uwezo wa kutumia Inteernet 3. Awe ana uwezo wa kudesign. 4. Awe anaweza kuprint. 5. Awe anaweza kutumia mashine ya photocopy. 6. Awe anaweza kuscan. 7. Awe anaweza kutumia software ya Adobe. 8. Awe anaweza...
  20. Ferruccio Lamborghini

    Hii nukuu imebeba ujumbe gani?

    Hii nukuu ilipatwa kusemwa na mmoja wapo aliyepata kuwa rais was USA miaka ya 1947. Je alikuwa anamanisha Nini? If you can't convince them, confuse them. _ Harry S Truman
Back
Top Bottom