Search results

  1. Mfugaji123

    Fursa ya kupata Vitalu vya Kufugia katika Ranchi za Taifa

    FURSA: Kampuni ya Ranchi za Taifa Limited ( NARCO LTD) ni Kampuni ya Serikali inayofanya ufugajina uuzaji wa Ng’ombe wa nyama, uchinjaji, uchakataji pamoja na uuzaji wa nyama ( Kongwa beef). Mwaka 2002 Serikali iliamua kuwa baadhi ya maeneo ya Ranchi yakodishwe kwa wananchi wenye nia na uwezo wa...
  2. Mfugaji123

    Mradi Ufugaji wa Kuku wa Mayai

    Leo napenda kujadili mradi mkubwa wa ufugaji wa kuku wa mayai 30,000. Kama ilivyo kwa biashara nyingi za uzalishaji uzalishaji mkubwa hupunguza gharama za uzalishaji kwa bidhaa moja ( Unit cost) na hivyo kuweza kufaidika na soko kwa kuuza kwa bei shindani na pia kufaidika na economic of scales...
  3. Mfugaji123

    Umuhimu kufanya upembuzi yakinifu (Feasibility Study) katika biashara

    Kazi ya consultants sio lazima kuwa na uzoefu ila kuwa na nguvu ya kushauriana naconnection ya kuwapata na kuwatumia wazoefu ili kutimiza lengo. Jambo kubwa huwa ni kupata taarifa sahihi kutoka watu sahihi. Mfano ukiwambiwa consultants nataka kufanya biashara ya kukusanya maziwa na kuuza naomba...
  4. Mfugaji123

    Vitabu vya Ufugaji Bora

    Ndugu wakulima na wafugaji wa kibiashara natumaini hatujambo. Leo nawaletea vitabu vilivyopo kwenye maktaba yetu ya kidigitali kuona vitabu mbalimbali vya Ufugaji vilivyoandikwa ili kimsaidia mfugaji kufahamu mbinu muhimu za ufugaji na jinsi ya kubiasharasha ufugaji. Tunavyo Vitabu 1: Ufugaji...
  5. Mfugaji123

    Umuhimu kufanya upembuzi yakinifu (Feasibility Study) katika biashara

    Watu wengi hawana mazoea ya kufanya upembuzi yakinifu ( yaani feasibility study) kabla ya kuanza biashara au kuona biashara zao zinavyoendelea na matokeo yake hupata hasara ya fedha na muda kwa kufanya biashara wasiyoifahamu sawasawa au huogopa kuwekeza pesa kwenye biashara yenye maslahi kwa...
  6. Mfugaji123

    Najibu hoja za wadau kuhusu biashara ya kunenepesha ng'ombe Tanzania

    Baada ya kuandika article kuhusiana na biashara ya kunenepesha ng’ombe nimepata maswali mengi kuhusiana na biashara hii. Wengi wanahoji inafanyikaje, ukubwa wa mtaji, vihatarishi vyake, unaweza kukosa wateja na wengine mtu anaweza kuanza akiwa na mtaji kiasi gani?. Sasa biashara yoyote kitu...
  7. Mfugaji123

    Mradi wa Kunenepesha Ng'ombe

    Biashara ya Kunenepesha mifugo ikiwemo ng'ombe, mbuzi na kondoo hufanyika kote duniani. Licha kwamba Tanzania tuna idadi kubwa ya mifugo bado hatufaidiki na mifugo hiyo. Nyama ya Ng'ombe ya Tanzania ni hafifu sana na imekuwa ikikataliwa kwenye soko la kimataifa kutokana na kukosa ubora...
  8. Mfugaji123

    Fahamu Formula za chakula cha kambale

    Formula za chakula cha kambale 1: formula kwa samaki wenye umri wa mwezi 1-2 Dagaa/uduvi: 25% Soya: 30% Mashudu ya alizeti: 20% Mahindi: 20% Molasses: 5% Kutokana na formula hii, tani moja ya chakula itakuwa na dagaa/uduvi kilo 250, soya kilo 300, mashudu ya lizeti kilo 200, mahindi kilo 200...
  9. Mfugaji123

    Ufugaji wa kware

    Kware ni ndege wenye umbo dogo. Kware mkubwa anaweza kuwa na uzito wa gramu 100-200 na yai lake linaweza kuwa na uzito wa gramu 7 hadi 15 Majike huanza kutaga wakiwa na umri wa miezi 6 hadi 7 na huweza kutaga yai moja kila siku. Huweza kutaga mayai hadi 300 kwa mwaka wa kwanza na baada ya...
Back
Top Bottom