Umuhimu kufanya upembuzi yakinifu (Feasibility Study) katika biashara

Mfugaji123

Member
Apr 3, 2020
10
20
Watu wengi hawana mazoea ya kufanya upembuzi yakinifu ( yaani feasibility study) kabla ya kuanza biashara au kuona biashara zao zinavyoendelea na matokeo yake hupata hasara ya fedha na muda kwa kufanya biashara wasiyoifahamu sawasawa au huogopa kuwekeza pesa kwenye biashara yenye maslahi kwa sababu ya kutojua biashara husika.

Sasa umesikia watu wakisema usikimbilie kuweka pesa kwenye biashara usiojua, utapoteza pesa, subiri hadi uifahamu, hivi utafahamu kila kitu??Tuassume wewe ni mwajiriwa haiwezekani upate muda mwingi wa kuanza kufuatilia biashara unayowaza kuwekeza kuzifahamu zote na kufanya maamuzi wa kuweka pesa au hapana. Njia nzuri ni kufanya feasibility study kupitia consultant. Feasibility study sio ghali sana kulinganisha na watu wanavyodhani au kulinganisha na hasara ambayo unaweza kupata kwa kupoteza pesa. FeasibilityStudy study huweza kuangazia maeneo yote kuanzia Ufundi, uendeshaji, vihatarishi, masoko na fedha n.k kulingana na hali halisi iliyopo field

Nikuambie tu feasibility study ikifanywa vizuri ni njia nzuri itakusaidia kuamua kufanya biashara au kuachana nayo. Mfano binafsi mwaka 2018, nilipata kihela kidogo kama milioni 30, nikawaza kuanzisha kiwanda cha kutengeneza chakula cha mifugo. Kabla ya kufanya hivyo, nikaamua kwanza kkufanya feasibility study. Nikatumia shilingi milioni 3 kwa consultant . Mwanzoni nilipanga kutumia milioni 10 kununua mashini, milioni 5 kukodi jengo , kufanya ukarabati na kufunga miundombinu na shilingi milioni 15 za kununulia malighafi za kiwandani.

Baada ya ripoti duu! ilinishangaza, badala ya kuanzisha kiwanda ripoti ikashauri kuingia kwenye biashara za kununua na kuuza malighafi za vyakula vya mifugo kama pumba, mashudu, uduvi, chokaa, ambazo zilionekana zina soko kubwa na faida kubwa. Kwa hiyo nikaingia kwenye biiashara hiyo, baada ya miaka 5 biashara ilikuwa kubwa na na ndiyo tukaanzisha kiwanda kutokana ushauri katika ripoti ile.

Nashauri kama unataka kufanya biashara yoyote kubali kufanya feasibility study. Iwe ni kilimo, ufugaji, manufacturing ,trade nk, Kuna biashara hapa mjini kama una milioni 50 , unaweza kuona ni hela kubwa lakini system za biashara zilizopo hazikupi nafasi kufanya biashara hiyo lkn feasibility study itakusaidia kuamua vema.

Kuna consulting company nyingi lakini wababe wa mjini ni Mkulima AgriMart, wapo DAR ES SAALAM. Kama una idea yoyote watafute hao jamaa simu: 0621106923

Tuendelee kutafuta hela!
 
Mkuu hao consultant wanakua na uzoefu na kila biashara na inawezekana vp hiii
Kazi ya consultants sio lazima kuwa na uzoefu ila kuwa na nguvu ya kushauriana naconnection ya kuwapata na kuwatumia wazoefu ili kutimiza lengo. Jambo kubwa huwa ni kupata taarifa sahihi kutoka watu sahihi. Mfano ukiwambiwa consultants nataka kufanya biashara ya kukusanya maziwa na kuuza naomba mnifanyie feasibility study. Mnashauriana na jinsi ya kupata taarifa. Wapi survey itafanyika, target population na data zitachukuliwa kwa watu gani. Zoezi kama hili huhitaji fedha lakini watu wengi wanataka kazi kubwa ifanyike kwa pesa kidogo. Matokeo yake consultants wanaishia kupika data. Mfano mtu anakuja na milioni 1 eti nifanyie market survey, huwezi kufanya market survey kwa milioni moja utaishia tu kupikiwa data
 
Feasibility study ni muhimu shida inakuja huyo consultant mwenyewe hajawahi kuanzisha biashara ikafanikiwa tofauti na biashara ya consultancy
 
Asante mkuu, mwaka huu naingia kwenye biashara fulani (Capital 10M) kwa kuanzia, itabidi nitafute hawa watu japokuwa uzoefu ninao katika biashara zangu nyingine..
 
Sawa umeongea sana ila naamini wewe sio mjasiriamali(enterprenuer) ila kozi zote masomo general ni enterprenuership,computer na communication skills one among of traits za enterprenuer na RISK TAKER KWAIYO USIWATISHE WATU ACHA VIJANIA WAJIAJIRI GENGE,DUKA,KAMPUNI EVEN THOUGH BIASHARA INAHITAJI UVUMULIVU NA SUBIRA NA SIO KWELI BIASHARA NYINGI ZINAKUFA BAADA YA MIAKA MITATU ITS JUST HOW YOU HANDLE YOUR BUSINESS
 
Back
Top Bottom