Search results

  1. N

    Tuwe makini; kuna sabuni zinapoteza nguvu za kiume!!

    Hizi sabuni zenye mapichamapicha ya kama miungu ya kihindi hivi na harufu kali kuwa nazo makini, yalinikuta. Kwa usalama wa afya ya kujamiiana, ogea mbunju, magadi, komesha n.k Kwa wale waliozoea ubishi basi sawa endeleeni.
  2. N

    Hii simu ni ya Mzee Yusuf Makamba kweli au wanazuga tu?

    Hatuna kazi mkuu, tupotupo ndo tatizo lilipoanzia.
  3. N

    Rais Samia asaini miswada ya Sheria za Uchaguzi

    Nyumbu mkiwa mmeshiba chipweng'e huwa mnakuwa na mawazo ya kinazi sana!
  4. N

    Mwalimu, mwanafunzi wakutwa wameuawa ndani ya nyumba

    🤣🤣🤣🤣 haya, pamoja!
  5. N

    Mwalimu, mwanafunzi wakutwa wameuawa ndani ya nyumba

    🤣🤣🤣 Yamekuwa hayo tena mkuu?!!!
  6. N

    Mwalimu, mwanafunzi wakutwa wameuawa ndani ya nyumba

    Anaweza kuwa sahihi kwa upande fulani; nafikiri yuko kiroho zaidi na anamaanisha dunia ni darasa as kuna meeengi ya kujifunza kwa kila aliye hai. Kwahiyo basi, wote waliopo juu ya huu uso wa dunia ni classmates!!!! Mwamba yuko vema kwa hili.....
  7. N

    Mwalimu, mwanafunzi wakutwa wameuawa ndani ya nyumba

    Hiyo ni habari nyingine mkuu na nafikiri unafanya kosa kubwa kulizungumzia hilo kwa kulaumu. Sidhani kama kuna chochote unakijua kuhusu mahusiano yao na historia yao kiasi cha kufikia kuingiliana kiasi hicho. Shukuru Mungu kama umejitosheleza kwa kila kitu. Hoja ni mauaji hayo ya kikatili, au...
  8. N

    Msaada wa maana na sifa za maeneo ya kiutawala!

    Pamoja mkuu, tusubiri tuelewe ili tuachane na mazoea
  9. N

    Msaada wa maana na sifa za maeneo ya kiutawala!

    Naulizia vitu hivi hapa wakuu; 1. Halmashauri ya wilaya 2. Halmashauri ya manispaa 3. Halmashauri ya mji 4. Halmashauri ya jiji 5. Maana ya 'halmashauri' Hili ni jukwaa la kujifunza na kuelimika, naomba nielimishwe kuhusu hoja hizo hapo juu ambazo mpaka sasa nazijua kwa mazoea tu ya kuzitamka...
  10. N

    Jambo TV: Wakazi wa Dar wamshukuru Rais kwa huduma ua umeme kurejea!

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mkuu, lengo lao wakuone umekasirika tu kama hivyo na si vinginevyo..........hujang'amua tu hili?!!!
  11. N

    Nadharia: Maji tunayokunywa ni mikojo ya Dinosauri

    Siku moja mkuu toa mada ya hoja hii, napenda kufuatilia habari hizi.
  12. N

    Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Amerudi, alitoka kidogo kwenda kumtafuta baba yake aliyemtelekeza ambaye ni mwalimu bila ya mafanikio hivyo amerudi na hasira zote.
  13. N

    Tunaweza kuwa waislam au wakristo bila ya kubeba tamaduni za waliotuletea dini hizo?

    Yeah, na ndo hapo utajua wavaa misalaba akili WANAZO tele maana utaona mapaja na vyupi kwenye mabenchi ndani ya kanisa kama wazungu huku nao wakifurahia ruhusa ya papa ya wanaume kuolewa........wanajihisi wazungu kamili, tena wale original wa uingereza.
  14. N

    Watu wanazikamua hela bwana, acha kabisa; mashuleni mpaka sasa hakuna kitu tangu mwezi Januari.

    Mabilioni juu yanapigwa tu maana ni ukweli kuwa kwa sasa fedha nyingi tu zinapatikana kutoka nje n.k Mashuleni hali mbaya, tangu mwaka huu uanze inasemekana shule zimepokea fedha ya mwezi Januari tu basi. Hali mbaya...... Kuna wazabuni walioamua kugoma sasa kuendelea kuzikopesha shule, Umeme...
  15. N

    Wazanzibar: Muungano unatuumiza, unatupausha!

    OK, asubuhi njema!
  16. N

    Wazanzibar: Muungano unatuumiza, unatupausha!

    Naomba maelezo zaidi eneo hili hapa mtoa mada; unakuaje huo upagani, waathirika ni kina nani (rika) na driving cause ni ipi n.k!
Back
Top Bottom