Search results

  1. Call me GHOST

    Kwanini movie nyingi za mazombie Hollywood wanaigizia Las Vegas..!?

    Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa movie za horror specifically zombie movies basi utagundua movie nyingi za zombies Hollywood wanaigizia Las vegas Kuna siri gani iliyo jificha nyuma ya jiji la Vegas na uwepo wa mazombie Baadhi ya movies ambazo setting yake ni Las Vegas Army of the dead (2021)...
  2. Call me GHOST

    Makosa 7 ya kuepuka unapouza bidhaa kwenye WhatsApp status yako

    ....Kama Umekuwa ukipost bidhaa kwenye WhatsApp status yako kisha watu wakaishia Kuview Tu bila Kununua basi kuna uwezekano unafanya kosa mojawapo kati ya haya 7 Kabla sijakwambia hayo makosa ngoja nikusanue kwanza kuhusu huu mchongo mpya wa kutumia WhatsApp Status yako kupiga hela badala ya...
  3. Call me GHOST

    Jinsi ya kujenga tabia ya kusoma vitabu kwa mafanikio

    Umekuwa ukitamani kuwa na tabia ya usomaji vitabu kila siku lakini kila ukijaribu unashindwa USIJALI ngoja nikupe mbinu nzuri unayoweza itumia kwa mafanikio makubwa. Anza leo kutumia 'Pomodoro Technique' kwa kusoma kitabu kwa dakika 25 kisha pumzika kwa dakika 5 na ndani ya dakika hizo 5 jaribu...
  4. Call me GHOST

    Traffic University

    Hi Socrates, Wengi wetu tumekuwa tukishindwa kusoma vitabu kwa kigezo cha kukosa muda kutokana na kuwa busy na utafutaji n.k, Je nkisema sio kweli nitakuwa nakosea..!? Twende pamoja, Najua wengi wetu kila asubuhi tunawahi makazini au kwenye mihangaiko na kurudi jioni na pia wengi wetu...
  5. Call me GHOST

    Lugha za mapenzi...

    Kuna vitu vitatu(Imani, Tumaini na Upendo) ambavyo kama binadamu anavihitaji ila kati ya mambo hayo matatu UPENDO ndio jambo kubwa ambalo kila mmoja analihitaji kuliko mengine hayo ata Biblia imezungumzia hilo (1 Corinthians 13:13) Kuna msemo unaosema "kila nyuma ya mwanaume aliyefanikiwa kuna...
  6. Call me GHOST

    A Black Christian is a Traitor to the Memory of his Ancestors | Africa Wake Up

    BOOK SUMMARY: WHITE POISON (A Black Christian is a Traitor to the Memory of his Ancestors..Africa Wake Up !) MWANDISHI: Kayemb “Uriël” Nawej MCHAMBUZI: Ghost Writer([emoji317]) Tuanze kwa kumnukuu Rais wa kwanza wa KENYA Bw. Jomo Kenyatta kipindi cha uhai wake aliwahi kusema kwamba;-...
  7. Call me GHOST

    Msaada, kushuhudia mtu akijinyonga ni kosa kisheria!?

    Nahitaji kujua kwenye sheria kama ukikutana na mtu anataka kujiua na ukamuacha ajiue bila kufanya chochote unakua na makosa kisheria???na adhabu yake ni ipi!?
  8. Call me GHOST

    THE DEATH SENTENCE OF LOVE

    If someone tells you they love you, Ask them WHY? And when they ever tells you why they love you "The love just died" Like: #1 I love you because... #2 I love you when... #3 I love you if... #4 I love you whenever... #5 I love you everytime you...
  9. Call me GHOST

    Baadhi ya sheria za mahusiano (mapenzi) za kustaajabisha duniani

    1. Nchini CHINA, wanawake hawaruhusiwi kutembea ndani ya chumba cha hoteli wakiwa uchi isipokuwa akiwa bafuni. 2. Nchini INDIA kubakwa kwasababu ya kukataa kutoa unyumba haichukuliwi kama ni ubakaji na mtuhumiwa hawezi kushtakiwa kokote kwa mujibu wa sheria zao. 3. HONG KONG, mke anaruhusiwa...
  10. Call me GHOST

    Dollar ya Marekani inashika nafasi ya tisa kwa thamani duniani

    Hi socrates, Wengi wetu tumekuwa tukijua kwamba dollar ya marekani ndio fedha yenye thamani zaidi duniani lakini kuna pesa zingine ambazo zina thamani kuzidi ata hiyo dollar ya marekani Na hii hapa ndio top 10 ya pesa zenye thamani zaidi duniani kutokana na ripoti ya January 3, 2020 ikiwa...
  11. Call me GHOST

    Hitler alivyookolewa kufa maji na Padri wa kanisa la kirumi wakati akiwa na umri wa miaka minne

    Hi Guys, Kuna uvumi kwamba Adolf hitler wakati akiwa na miaka minne January,1894 akiwa anacheza na watoto wenzake alitumbukia kwenye mto mmoja uko Passau,German ambapo kijana mdogo wa rika yake kwa jina la Johann Kuehberger alifanikiwa kujitosa mtoni na kumuokoa, hyo dogo walikuwa wanaishi nae...
Back
Top Bottom