Call me GHOST
Member
- Jan 18, 2019
- 53
- 95
Nahitaji kujua kwenye sheria kama ukikutana na mtu anataka kujiua na ukamuacha ajiue bila kufanya chochote unakua na makosa kisheria???na adhabu yake ni ipi!?
hhhhhhHamna kosa hapo. Mbona mie nilishuhudiaga Anko alipojua anajinyonga. Sema alienda kufia hospital