Search results

  1. Call me GHOST

    Kwanini movie nyingi za mazombie Hollywood wanaigizia Las Vegas..!?

    Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa movie za horror specifically zombie movies basi utagundua movie nyingi za zombies Hollywood wanaigizia Las vegas Kuna siri gani iliyo jificha nyuma ya jiji la Vegas na uwepo wa mazombie Baadhi ya movies ambazo setting yake ni Las Vegas Army of the dead (2021)...
  2. Call me GHOST

    Makosa 7 ya kuepuka unapouza bidhaa kwenye WhatsApp status yako

    ....Kama Umekuwa ukipost bidhaa kwenye WhatsApp status yako kisha watu wakaishia Kuview Tu bila Kununua basi kuna uwezekano unafanya kosa mojawapo kati ya haya 7 Kabla sijakwambia hayo makosa ngoja nikusanue kwanza kuhusu huu mchongo mpya wa kutumia WhatsApp Status yako kupiga hela badala ya...
  3. Call me GHOST

    Jinsi ya kujenga tabia ya kusoma vitabu kwa mafanikio

    Umekuwa ukitamani kuwa na tabia ya usomaji vitabu kila siku lakini kila ukijaribu unashindwa USIJALI ngoja nikupe mbinu nzuri unayoweza itumia kwa mafanikio makubwa. Anza leo kutumia 'Pomodoro Technique' kwa kusoma kitabu kwa dakika 25 kisha pumzika kwa dakika 5 na ndani ya dakika hizo 5 jaribu...
  4. Call me GHOST

    Traffic University

    Hi Socrates, Wengi wetu tumekuwa tukishindwa kusoma vitabu kwa kigezo cha kukosa muda kutokana na kuwa busy na utafutaji n.k, Je nkisema sio kweli nitakuwa nakosea..!? Twende pamoja, Najua wengi wetu kila asubuhi tunawahi makazini au kwenye mihangaiko na kurudi jioni na pia wengi wetu...
  5. Call me GHOST

    Lugha za mapenzi...

    Pamoja rafiki
  6. Call me GHOST

    Lugha za mapenzi...

    Kuna vitu vitatu(Imani, Tumaini na Upendo) ambavyo kama binadamu anavihitaji ila kati ya mambo hayo matatu UPENDO ndio jambo kubwa ambalo kila mmoja analihitaji kuliko mengine hayo ata Biblia imezungumzia hilo (1 Corinthians 13:13) Kuna msemo unaosema "kila nyuma ya mwanaume aliyefanikiwa kuna...
  7. Call me GHOST

    A Black Christian is a Traitor to the Memory of his Ancestors | Africa Wake Up

    BOOK SUMMARY: WHITE POISON (A Black Christian is a Traitor to the Memory of his Ancestors..Africa Wake Up !) MWANDISHI: Kayemb “Uriël” Nawej MCHAMBUZI: Ghost Writer([emoji317]) inaendelea.. inachekesha sana kuona mpaka sasa waafrika wanatumia majina ya kizungu kama vile Gabriel, Ruth...
  8. Call me GHOST

    A Black Christian is a Traitor to the Memory of his Ancestors | Africa Wake Up

    Kimbaguism ni dini ya asili iliyoanzishwa na Simon Kimbagu huko Congo mwaka 1921 Tukija kwenye suala la Ubuddha sio kwamba ni lazima iwe imeanzishwa/ ni utamaduni wa Mtu mweusi ila mwandishi alichokuwa anamaanisha ni bora kufuata imani ya kibuddha ya kuabudu miungu kuliko kuamini katika...
  9. Call me GHOST

    A Black Christian is a Traitor to the Memory of his Ancestors | Africa Wake Up

    Maandishi kwa lugha ya Bete iliyotumika zaidi ivory coast
  10. Call me GHOST

    A Black Christian is a Traitor to the Memory of his Ancestors | Africa Wake Up

    Haya ni baadhi ya maandiko yaliyoandikwa kwa lugha ya Ge'ez ilikuwa ikitumika huko Ethiopia na utamaduni wao umekuwa ukilindwa zaidi na Mfalme Menelik II kipindi hiko kiasi cha kuwafukuza wavamizi wa kiitalia na ndio sababu Ethiopia kuwa Nchi pekee Barani Africa ambayo haikutawaliwa na wakoloni
  11. Call me GHOST

    A Black Christian is a Traitor to the Memory of his Ancestors | Africa Wake Up

    Hizi hapa ni baadhi ya sign zilizokuwa zikitumiwa kwenye lugha ya Mende
  12. Call me GHOST

    A Black Christian is a Traitor to the Memory of his Ancestors | Africa Wake Up

    Haya maandishi yameandikwa kwa Shumom/Bamum
  13. Call me GHOST

    A Black Christian is a Traitor to the Memory of his Ancestors | Africa Wake Up

    BOOK SUMMARY: WHITE POISON (A Black Christian is a Traitor to the Memory of his Ancestors..Africa Wake Up !) MWANDISHI: Kayemb “Uriël” Nawej MCHAMBUZI: Ghost Writer([emoji317]) inaendelea.. Kabla ya ujio wa wakoloni Watu weusi walikuwa wakiabudu miungu( Polytheism) lakini baada ya ujio wa...
  14. Call me GHOST

    A Black Christian is a Traitor to the Memory of his Ancestors | Africa Wake Up

    Endelea kufuatana nami pole pole tutafikapo[emoji1317]
  15. Call me GHOST

    A Black Christian is a Traitor to the Memory of his Ancestors | Africa Wake Up

    BOOK SUMMARY: WHITE POISON (A Black Christian is a Traitor to the Memory of his Ancestors..Africa Wake Up !) MWANDISHI: Kayemb “Uriël” Nawej MCHAMBUZI: Ghost Writer([emoji317]) Tuanze kwa kumnukuu Rais wa kwanza wa KENYA Bw. Jomo Kenyatta kipindi cha uhai wake aliwahi kusema kwamba;-...
  16. Call me GHOST

    Msaada, kushuhudia mtu akijinyonga ni kosa kisheria!?

    Nahitaji kujua kwenye sheria kama ukikutana na mtu anataka kujiua na ukamuacha ajiue bila kufanya chochote unakua na makosa kisheria???na adhabu yake ni ipi!?
  17. Call me GHOST

    Fahamu jinsi dunia itakavyohamishwa na Wataalamu miaka ijayo kutoka kwenye orbit yake kuokoa kumezwa na Jua

    Point of correction kwa mtoa mada, mwanga wa jua tunaouona hapa duniani unatumka dakika 8 kutufikia na sio miaka 7000 na Albert Einstein alikuwa anaamini uwepo wa mungu ambaye alikuwa aamini ni stephen hawking Na kuhusu kulilipua jua sio kweli kwa maaana jua linaplay a major role kwenye...
  18. Call me GHOST

    Kwa miaka ya sasa, haiwezekani kupata mwanamke wa aina hii

    Basi wakati tukiwa bize kutafuta hizo hela na nyie muwe bize kutafuta makalio itapendeza zaidi
Back
Top Bottom