Search results

  1. KiuyaJibu

    Wataalamu wa Afya hii imekaaje

    Habari njema! Hospitali nchini China hutibu saratani kwa kugandisha uvimbe na kisha kuuondoa bila kutumia chemotherapy: Hospitali maalumu kwa ajili ya kutibu aina zote za uvimbe hasa saratani. Hospitali nchini China inaitwa (Fuda) katika mji wa Guangzhou (Guangzhou), kusini mwa China. Qatar...
  2. KiuyaJibu

    Hii inamaanisha nini?

    Kwa isiwe kwa Watanzania au wengineo pia?!
  3. KiuyaJibu

    Chagga's day

    Naomba ushahidi tafadhali
  4. KiuyaJibu

    Chagga's day

    Iko hivi, hawa watu wanaishi kwenye sayari inayoitwa "Dunia" ikimaanisha popote walipo duniani.
  5. KiuyaJibu

    Chagga's day

    Leo Ni Sikukuu Ya Wachagga Duniani(World's Chagga Day), Ni Siku Kubwa Iliyokuwa Inaadhimishwa Kila Mwaka Siku Ya Novemba 10, Miaka Ya Kabla Ya Uhuru wa Tanganyika na Miaka Michache Baada ya Uhuru Wa Tanganyika. Siku Hii Ilisherehekewa Kitaifa Kilimanjaro Katika Ikulu Ya Mangi Mkuu wa Wachagga...
  6. KiuyaJibu

    Life is all about rotation

    If you study and understand this diagram, you will know life is all about rotation, it is turn by turn, means that we are all using the same clock your own may be faster while others may be slow, but mind you still on the same time. [emoji108][emoji108][emoji108] How are we, everyone.
  7. KiuyaJibu

    Tanzania kupeleka timu Asia

    Kitaalamu kuna haja ya kuwapeleka watu bara au nchi fulani ili kujifunza ni kwa jinsi gani wao wamefanikiwa kiuchumi. Nimeiona mahali nikawa najiuliza mwenyewe; hata hivyo, nikaona niwahusishe hapa ndani pia kwasababu "tunajenga nyumba moja kwanini tugombanie fito" Kama iko sawa, basi nitaomba...
  8. KiuyaJibu

    Mbona Dkt. Mwigulu haeleweki? Yaaani madeni ya sekta binafsi ni ya Serikali? Mmemuelewa Watanzania?

    Mmmhhh! Kazi kweli kweli, halafu bado hatujaendelea hadi sasa! Hii mikopo tunayochukua naona haitufai au inatumika vibaya au vyote viwili.
  9. KiuyaJibu

    Mtanzania aanzisha shirika la ndege/ Diamond launches own airline

    Naomba usambaze upendo inbox ilitufanye kazi.
  10. KiuyaJibu

    Mtanzania aanzisha shirika la ndege/ Diamond launches own airline

    Bado sijaona kitu halisi kwenye hii.
  11. KiuyaJibu

    Sikujua kuwa style yake yakufika kileleni ni kulowanisha godoro

    Mlete nimkague usikute na ugonjwa wa zinaa!
  12. KiuyaJibu

    Lukuvi na Kabudi waitwa Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia nje ya Muundo wa Serikali

    Hebu nyoosha maelezo ya hiyo habari uliyoileta hapa jamvini; ili wakuu waelewe vizuri nini unamaanisha.
  13. KiuyaJibu

    Tarehe 7 Julai rasmi siku ya Kiswahili duniani

    TAREHE 7 JULAI RASMI SIKU YA KISWAHILI DUNIANI 1/2 Mkutano Mkuu wa 41 wa #UNESCO umeipitisha tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani. Azimio hilo limepitishwa na nchi zote wanachama wa UNESCO bila kupingwa, leo tarehe 23 Novemba, 2021, Paris nchini Ufaransa. Tuko pamoja; na...
  14. KiuyaJibu

    SoC01 Vyanzo vipya vya mapato kwa Serikali

    Utangulizi Ninasikitishwa sana na utendaji wa Wizara ya fedha katika suala zima la uandaaji wa bajeti kwa Serikali ya Tanzania. Kila mara bajeti inaposomwa Bungeni na Waziri wa fedha pamoja na mambo mengine, huwa inakuwa na ongezeko la kodi/tozo kwenye bidhaa zile zile ambazo zimeguswa na...
  15. KiuyaJibu

    Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change)

    Nashukuru kwa taarifa nzuri kwa jamii; naam nikiwa sehemu ya jamii husika sitapenda fursa hii inipite. Naanza kuifanyia kazi kuanzia sasa; ewe mwenyezi Mungu/Allah/God naomba unisimamie, uniongoze katika kukamilisha hili na kupata matokeo chanya. Nawashukuru pia waandaaji wa jambo hili.
  16. KiuyaJibu

    Are we doing a right thing to our entrepreneurs?

    You can assess for yourself
  17. KiuyaJibu

    Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

    Naomba ufafanuzi katika hili, kwenye hotuba ya Mh. SSH alisema amewaruhusu waajiri kuwapandisha Wafanyakazi Madaraja na kulipa malimbikizo ya madeni yao; kusema hivi alikuwa ana maanisha nini?!
  18. KiuyaJibu

    Nataka kufanya biashara ya kuuza gesi

    Nina rafiki yangu mmoja ambaye amebahatika kukutana na kuongea na bosi mmjo wa kampuni moja kubwa iliyojikita kwenye biashara ya mafuta na gesi; katika maongezi yao rafiki yangu alipendezwa na kufanya biashara ya kuuza gesi. Wakakubaliana kuwa anataka kufanya biashara ya kuuza gesi iliyoko...
Back
Top Bottom