Search results

  1. Financial Analyst

    Msaada kuhusu mtoto kusumbua usiku kucha

    Habari. Nina mtoto wa miezi miwili. Kuna changamoto aliyonayo ya kutolala karibia usiku mzima yaani analala kimagepu huku akiwa hayuko comfortable. Na akiwa macho hatulii na mama yake pia akimuweka kitandani hataki kukaa peke yake anaanza kulia. Akimpatia pia nyonyo muda mwingine anakataa muda...
  2. Financial Analyst

    Je, inahitajika kibali kufungua ofisi ya kuchora ramani za nyumba?

    Mimi sijasomea kuchora ramani ila nina ustadi huu. Nataka nigeuze ustadi huu kama side hustle nijipatie kipato. Je, kuna process zinatakiwa kufanywa kabla sijafungua ofisi ya namna hii.
  3. Financial Analyst

    Ni sababu ipi Toyota Hilux kuwa na bei ya juu kuliko Toyota nyingi sokoni?

    Uimara? Ukubwa? Demand? Mechanism? Performance? Anything else? Karibuni wana jamvi wenye knowledge juu ya hili.
  4. Financial Analyst

    Msaada: Nipande daladala zipi kutoka Nyamhongolo hadi Hospitali ya Bugando?

    Kutoka Stand ya Nyamhongolo hadi kuitafuta hospitali ya Bugando napanda daladala zipi? Msaada tafadhali.
  5. Financial Analyst

    Leo nimewakumbuka CAMP MULLA

    Hawa jamaa kutoka Kenya walikuwa na international flow, walikuwa ahead of time. Imepita miaka kama 13 tangu hawa jamaa waje kwenye game ya muziki na ghafla wakapotea. Nafikiri kwa ile style yao ingekuwa favourable kwa soko la sasa kwa maana muziki umeonesha kuwalipa vijana vizuri. I miss them.
  6. Financial Analyst

    Nitapata wapi jezi hizi za Man UTD za zamani?

    90s retro kit.
  7. Financial Analyst

    Man UTD wakilipa zaidi ya £50m kwa ajili ya Mount basi nitawaona boya

    Eti Chelsea wanataka pound 80m kwa ajili ya Mount! Dogo mwenyewe kabakiza less than a year kwenye mkataba wako. Mount mwenyewe sio slick kivile, hajawa bora hivi karibuni.
  8. Financial Analyst

    Acheni ushamba, mnamilikisha michepuko vitu wasivyostahili

    Hawa malaya wamevimba sana mtaani na viduka vyao vya nguo, gari zao za passo na simu macho matatu mnavyowapatia huko. Na wakiwa wanaulizana na mashangingi wenzao wanasema "ni yupi shosti aliekupangishia sinza", ina maana demu ana line ndefu ya washkaji kutokea goms hadi tegeta. Alafu unakuta...
  9. Financial Analyst

    Je, unaweza kuomba mkopo kwa nyumba moja benki 2 tofauti?

    Je inawazekana kwa wakati mmoja ukatumia nyumba moja kama collateral kuombea mikopo katika benki mbili tofauti?
  10. Financial Analyst

    Inter Milan atashinda leo, tutarudi kwenye huu uzi

    Wengi wanaipotezea Inter. Lakini ndio atashinda ubingwa UCL. Niko tayari kwa madongo kama atashindwa.
  11. Financial Analyst

    Eti Bongo kuna magari ya kike na ya kiume

    Bongo haiishiwii comedy, infact Bongo ni Bongo Movie. Vijana wameisha brand magari kama Dualis, Murano, IST, RAV4, etc kama magari ya wanawake. Pickup, harrier, vangaurd, x-trail, etc ndio za kiume. Unakuta mtu anasema "sasa mwanaume ataendashaje IST au Dualis" Alafu kuna mtu unakuta na...
  12. Financial Analyst

    Watu ni miserable, watakukuta na FURAHA halafu wakuambie kwanini usiwe nayo

    Jamii duni ni hatari sana Marafiki wengi njaa kali ni sumu Watumwa wa mila na tamaduni ni mwiba Ukishakuwa centre ya attention katika jamii yako, kila mtu atataka uishi kwa matarajio yake. Ukionesha umenyanyuka kidogo, ushauri unakuwa mwingi sana ila ukiwa chini unasemwa sana bila ya ushauri...
  13. Financial Analyst

    Vyeti vya Journalism na PR vinapotezwa umuhimu wake

    It's true my people, anga zenu zimevamiwa na wakuda wakuda tu wa mjini ambao kipindi mnaweka miguu kwenye maji mnasoma wao walikuwa wanakesha klabu. Respect to you guys na hongereni kwa kisomi chenu kwa ngazi yoyote (certificate, degree, etc) Ila wenye BA za makalio makubwa, BA za skendo za...
  14. Financial Analyst

    Utimamu Umevamiwa. Sanity Has Been Invaded

    Walio maarafu sasa ni wenye matako makubwa na vitimbwi na sio tena wenye ubunifu-chanya na conscious ouput. Dola inakamatwa na wenye nguvu kwenye jamii sio tena wenye weledi. Maamuzi makubwa ya kitaifa yanafanywa na wenye mawazo sawa na sio tena mchuano. Michepuko imekuwa na nguvu ya umiliki...
  15. Financial Analyst

    Ningependa kujua kuhusu Toyota Hilux Double Cabin

    Je, zina range bei gani za mwaka 2008 hadi 2012? Je zipo zenye Automatic Transmission? Vipi kuhusu ulaji wake wa mafuta? Karibuni ndugu.
  16. Financial Analyst

    Kwanini hakuna cases za "u-genius" huku Afrika?

    Einstein, Newton, Tesla, Hawking, Aristotle na wengine wengi. Ni kundi la watu kwa kutumia intelligence zao wameweza kubadili maendeleo ya jamii zao. Na hawa watu, wana kitu kimoja in common, wote ni wazungu. So what about us, what happened? Na imekuja kujulikana kuwa, geniues are born and...
  17. Financial Analyst

    Tanzania sio mahala pazuri kwa watu wenye Sonona, wakimya, wenye mawazo tofauti kwenye dini na desturi, matajiri na watu waliofunguka kiakili

    ■ Wanao suffer na depression Bongo afya ya akili ni kitu ambacho hakina kipaombele na wala hakuna mfumo wa msaada kwa mtu anaepitia sonona. Baba atasema unavuta bangi ndio maana umekuwa hivi. Jamii itasema itasema umelogwa au umeishiwa sasa umekuwa na mawazo. ■ Watu wenye ukimya...
  18. Financial Analyst

    Ningependa Man Utd iwe hivi next season.

    GK: Costa RB: Wan Bissaka CB: Kim Min Jae CB: Licha LB: Shaw CDM: Casemiro CM: Caicedo CAM: Bruno RW: Rashford LW: Garnacho CF: Kane
Back
Top Bottom