Search results

  1. Financial Analyst

    Msaada kuhusu mtoto kusumbua usiku kucha

    Kwa taarif yako sasa JF ndio ilionisaidia pumbavu wewe
  2. Financial Analyst

    Msaada kuhusu mtoto kusumbua usiku kucha

    WAPENDWA AHSANTE SANA, ILIKUWA ANASUMBULIWA NA MCHANGO. AMEPONA NA YUKO SALAMA KABISA.
  3. Financial Analyst

    Kama haujawahi kupitia machungu makali ya maisha usiwabeze na kuhukumu kirahisi wanaojitafuta kwa njia ambazo zinaoekana ni mythical.

    Angalau hajakukaba kukupora au kufanya ujambazi wa unyama kupelekea mauti ya ndugu yako. Hivi unadhani kuna mtu yuko tayari kupoteza nafasi ya kuhudimia familia bila ya kuwa omba omba na mfalme wa madeni. Shida na tabu zinachaganya nyie sio hizo mlizonazo na unajua at some point unafuu una...
  4. Financial Analyst

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo jamaa anaimba "nafungua ukurasa wa kitabu cha mimi na wewe" jamaa ana dread amemshilikisha msaani mwingine. Kama unaujua niambieni Leejay49 financial services
  5. Financial Analyst

    Msaada kuhusu mtoto kusumbua usiku kucha

    Nimeshaualiwa nimpatie infacol na mafuta ya samaki (scotts), ni sahihi?
  6. Financial Analyst

    Msaada kuhusu mtoto kusumbua usiku kucha

    Habari. Nina mtoto wa miezi miwili. Kuna changamoto aliyonayo ya kutolala karibia usiku mzima yaani analala kimagepu huku akiwa hayuko comfortable. Na akiwa macho hatulii na mama yake pia akimuweka kitandani hataki kukaa peke yake anaanza kulia. Akimpatia pia nyonyo muda mwingine anakataa muda...
  7. Financial Analyst

    Hii ndio logic ya kumuomba Lucifer: It is very very reasonable

    Ndugu naomba uingie Pm tafadhari. Sio kwa ajili ya msaada huu ila jambo jingine kabisa
Back
Top Bottom