Search results

  1. Tumsifu Samwel

    Digital channel moja picha mbili tofuati ( Easytv vs Startimes)

    Habari wakuu? mimi ni mtumiaji wa king'amuzi cha Eastv na jirani yangu anatumia cha Startimes, jana nilitaka kutizama UEFA Champions League na kwa tz channel inayorusha matangazo ya mchezo huu ni DTV pekee kama sijakosea, na ilipofika Saa 9:30PM niliweka DTV ili nitazeme mpira nikakuta kuna...
  2. Tumsifu Samwel

    Mbowe: Nitajiuzulu endapo wabunge wa CHADEMA watapungua 2015

    Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo Mh. Freeman Mbowe amesema atajiuzulu kukiongoza chama hicho endapo idadi ya wabunge wa CHADEMA itapungua baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 NB: Mwaka huu CHADEMA itafanya uchaguzi mkuu wa viongozi wa ngazi zote, mhe.Mbowe amewahi kusema...
  3. Tumsifu Samwel

    Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

    BUNGE linatarajia kufuta utaratibu wa kurusha matangazo ya moja kwamoja kupitia televisheni kwa madai ya kukomesha vitendo vya baadhi ya wabunge kukiuka kanuni za bunge na kuleta vurugu kwa kutafuta umaarufu bila kujua kwamba tabia hiyo inaleta picha mbaya katika jamii. Hayo yamesemwa na Katibu...
  4. Tumsifu Samwel

    Macbook/Iphone/Ipod/Blackberry/Toshiba Zinauzwa bei poa

    MacBook 2.4GHz : 250GB 2.4GHz Intel Core 2 Duo 2GB DDR3 memory 250GB hard drive1 8x double-layer SuperDrive NVIDIA GeForce 320M graphics Built-in 7-hour battery2 zipo 4 (brandy new)na kila moja ni TSH 1,700,000 Iphone 3G 16GB unlocked, zipo 2 (used) Tsh 500,000 Blackberry curve 8310/8320...
  5. Tumsifu Samwel

    Napoteza kibarua changu msaada tafadhali

    Habari ya siku mingi wana JF ? nimepotea kwa mda kidogo kutokana na majukumu... Wakuu jana usiku nilikuwa officen napiga job, akaja mafanyakazi mwenzangu akaomba afungue flash yake kwenye laptop yangu, nilimpa na baada ya kuichomeka nilisikia mlio flani hivi toka kwenye motherboard ya laptop...
  6. Tumsifu Samwel

    Kesi ya Jerry Muro

    Ile kesi inayo mkabili mtangazaji wa shirika la utangazaji tanzania (TBC) Jerry Muro upelelezi wake umekamilika na alitarajiwa kupandishwa kizimbani leo. Kwa mdau yoyote aliye na habari za kilichojiri uko mahakamani atujuze tafadhali.
  7. Tumsifu Samwel

    Yussuf ChuChu Afariki Dunia

    Aliyekuwa mmiliki wa Band ya chuchu sound na Mkurugenzi wa chuchu radio Yusuph Chuchu amefariki dunia jana jijini Nairobi, mazishi yana fanyika leo visiwani Zanzibar. R.I.P Babu chuchu!! Yusuph Chuchu kushoto.
  8. Tumsifu Samwel

    Q chillah anajifunza Kiinglish Nini?

    Asee na sikiliza East africa radio, Q chillah anahojiwa kwa kiswahili anaijbu kiinglish, English yenyewe ya kindagaten.. Hivi huyu jamaa ana matatizo gani siku hizi? toka ameingia kwenye taarabu amekuwa na swaga za ajabu ajabu sana hadi ana kera.
  9. Tumsifu Samwel

    Elections 2010 Finias Magesa yu wapi?

    Jamani yule mgombea wa Chadema Finias Magesa yupo wapi? Mwaka jana aligombea kwenye jimbo la Busanda na kushindwa vibaya sana, amekuwa kimya sana na sijasikia kama anampango wa kurudi tena Busanda kukomboa jimbo la Busanda? kwa wenye data tafadhali tujulisheni?
  10. Tumsifu Samwel

    Elections 2010 Ubunge jimbo la Sikonge

    Mmoja ya wagombea ubunge kwenye jimbo la sikonge ni balozi David Kapya ambaye alikuwa anafanya kazi kwenye shirika la UNHCR na sasa yupo Office ya rais mstaafu Benjamin W. Mkapa. Kesho ndio anaanza ziara ya kutembela jimbo la Sikonge na kukutana na wazee na wapambe wake.. Itakuwa siyo...
  11. Tumsifu Samwel

    Nyumba inahitajika

    Jamani naombeni msaada wenu wa hali na mali, ni nahitaji nyumba ya haraka iwezekanavyo ndani ya wiki hii. Iwe maeneo ya sinza ,kijitonyama,mwenge ,mbezi beach tegeta ubungo.. Iwe na vyumba viwili na sehemu ya park ya gari.Bei isizidi tsh 250,000 laki mbili na nusu nitalipia kwa mwaka mzima...
  12. Tumsifu Samwel

    1001 Movies You Must See Before You Die

    "1001 Movies You Must See Before You Die" 1. A Trip to the Moon (1902) 2. The Great Train Robbery (1903) 3. The Birth of a Nation (1915) 4. Les Vampires (1915) 5. Intolerance (1916) 6. The Cabinet of Dr. Caligari (1919) 7. Broken Blossoms (1919) 8. Way Down East (1920)...
  13. Tumsifu Samwel

    Mzee Pwagu hatunaye tena

    Aliyekuwa msanii wa kaole MZEE PWAGU amefariki dunia nusu saa iliyopita katika hospital ya Amana jijini Dar es salaam. Habari kamili mtaendelea kufahamiswa....! MUNGU amlaze mahari pema peponi....! Rajab Kibwana Hatia al maaruf Mzee Pwagu
  14. Tumsifu Samwel

    Kulikoni Singida hakuna mwakilishi baraza la mawaziri?

    Nilipata fursa ya kumuuliza mh. JK kwa nini mkoa wa Singida hauna mwakilishi kwenye baraza lake la mawaziri? zaidi ya John chiligati na ambaye siyo mzawa wa mkoa wa Singida? jibu: "we bana vipi? wabunge wengi wa singida elimu yao ni kidato cha nne unategemea mtu kama huyo umpe uwaziri afanye...
  15. Tumsifu Samwel

    Salama toka kwa Mpwa YoYo

    Hivi karibuni nilikuwa mkoani Mbeya kikazi, katika tembea tembea nilifanikiwa kukutana na rafiki yangu wa utotoni Bw.YoYo nilifurahia sana kwa jinsi alivyobadilika na kuamua kujiajiri mwenyewe anaendeleza sera ya (kilimo kwanza). Aliniambia toka alipojiajiri mwenyewe amepata mafanikio...
  16. Tumsifu Samwel

    windows xp crashed

    Nina computer yangu ambayo nimeweka windows XP imekuwa ina crash mara kwa mara na nimejaribu kuifomat na kutoweka driver zozote kwa mda ilikuangalia kama windows ita-crash tena lakini huo mchezo umekuwa ni wakudumu yaani haupiti mwezi bila ya ku-crash. Natumia Kaspersky 2010 na huwa na update...
  17. Tumsifu Samwel

    BlackBerry Network Problem

    Wakuu habarini za asubuhi? nina blackberry yangu 8310 curve nilitumiwa toka Canada ,toka nimetumiwa mwaka jana sijaweza kuitumia kwani inasumbua kwenye network ina potea na kurudi na hata ikitulia siwezi kupiga simu wala kupokea ila mnara wa network unaonekana uko full na kuna kimshale kina...
  18. Tumsifu Samwel

    BlackBerry Network Problem

    Wakuu habarini za asubuhi? nina blackberry yangu 8310 curve nilitumiwa toka Canada ,toka nimetumiwa mwaka jana sijaweza kuitumia kwani inasumbua kwenye network ina potea na kurudi na hata ikitulia siwezi kupiga simu wala kupokea ila mnara wa network unaonekana uko full na kuna kimshale kina...
  19. Tumsifu Samwel

    Lord rahul coool/zoomshare

    Nasumbuliwa na huyu virus pamija na autorun kwenye computer zangu nimejaribu kumtoa kwa kila njia imeshindikana,natumia Antivirus ya Avast version 5 na huwa nai-update kila siku nime scan safemode lakini wapi,Pia kwenye Floppy Disk driver za Computer zangu mbili zina fanya kazi pasipo kuweka...
  20. Tumsifu Samwel

    Jamani Injinia yuko wapi

    Join Date26th February 2008Last Activity17th january 2010 07:26 AMAvatar Jamani huyu member amepotelea wapi?
Back
Top Bottom