BlackBerry Network Problem

Tumsifu Samwel

JF-Expert Member
Jul 30, 2007
1,407
159
Wakuu habarini za asubuhi?

nina blackberry yangu 8310 curve nilitumiwa toka Canada ,toka nimetumiwa mwaka jana sijaweza kuitumia kwani inasumbua kwenye network ina potea na kurudi na hata ikitulia siwezi kupiga simu wala kupokea ila mnara wa network unaonekana uko full na kuna kimshale kina cheza cheza, haikamati mtandao wa Zain na vodacom nikiweka sim card ya vodacom/zain kila kitu kinaonekana kwenye hizo line tatizo lina kuwa kwamba kwenye network haipatikani na wala kimnara cha mawasiliano hakionekani..

Niliwapigia zain na kuwaambia tatizo langu wakaniambia ni wapelekee,nilipo wapelekea walijaribu kuweka setting zote lakini hawakufanikiwa wakaniambia simu yangu ime blockiwa kwenye server ya blackberry hivyo siwezi kutumia kwenye mtandao wowote wa simu ambao una mawasiliano na backberry server akaniambia ndio maana haikubali sim card ya zain/voda kwani mitandao hiyo ina services za blackberry server akaendelea kuniambia tigo/zantel itakubali kwa kuwa hazina huduma ya blackberry,akaniambia solution ni kupeleka kwa mafundi wakai-flash siku ipeleka kwa kuwa ninazo software za kuflashia BB na jana nimei-flash na kuweka BB OS upya lakini tatizo limebaki pale pale. .

Sasa ukija tigo/zantel inakubali vizuri tu tatizo lina kuja kwamba siwezi kupiga simu na kupokea simu wala sms na hii inatokana na network kutotulia na wakati napo karibu kupiga simi kwenye bar ya network kuna kidude kama mshale hivi kina jitokeza na kuanza ku-blink blink..

Nimeingia kwenye setting/ advanced option/sim card, nika type MEDP zikaonekana hizi setting hapa chini (kwenye picha) ambazo zinaonekana ziko disabled zote na hamna option ya kuzi
View attachment 10109
anable,nime jaribu ku-type MEP na Ku-hold ALT + 2 iliku-anable sijafanikiwa kwa kweli..
Naomba mdau yoyote ambaye anaweza kunisaidia ni jinsi gani nita unlock hii BB yangu nitashukuru sana…

Natanguliza shukran zangu kwenu.
 
dah pole sana mkuu, ya kwangu network ilikua poa lkn saivi inakaa sos 24hrs nimemaliza means zote lkn nahisi tatizo ni hardware na sijui kama inatengenezeka niekata tamaa
 
Nawashauri mnunue internal antena za maana ndio tatizo kubwa la toleo ili la curve ukiona kwenye sehemu ya network ina andika SOS na upo eneo lenye mtandao ujue antena imeanza kuloga
 
Back
Top Bottom