Salama toka kwa Mpwa YoYo

Tumsifu Samwel

JF-Expert Member
Jul 30, 2007
1,407
159
View attachment 10188

Hivi karibuni nilikuwa mkoani Mbeya kikazi, katika tembea tembea nilifanikiwa kukutana na rafiki yangu wa utotoni Bw.YoYo nilifurahia sana kwa jinsi alivyobadilika na kuamua kujiajiri mwenyewe anaendeleza sera ya (kilimo kwanza).

Aliniambia toka alipojiajiri mwenyewe amepata mafanikio makubwa sana ikiwemo kupiga nyumba yake bati na kufuga mbuzi n'k, mwishoe tuliishia kwenye club ya pombe kupata Kimpumu.

Anawasalimu sana hasa Masanilo,Fidel80,FL1,Shishi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom