Tumsifu Samwel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 1,407
- 159
Nina computer yangu ambayo nimeweka windows XP imekuwa ina crash mara kwa mara na nimejaribu kuifomat na kutoweka driver zozote kwa mda ilikuangalia kama windows ita-crash tena lakini huo mchezo umekuwa ni wakudumu yaani haupiti mwezi bila ya ku-crash.
Natumia Kaspersky 2010 na huwa na update mara kwa mara na mara ya mwisho nilipo iformat siku weka software yoyote na sikuitumia kwenye internet walakuchomeka flash na ime-crash windows tena? wakuu naomba msaada , sijui tatizo litakuwa wapi?