Yussuf ChuChu Afariki Dunia

Tumsifu Samwel

JF-Expert Member
Jul 30, 2007
1,407
159
Aliyekuwa mmiliki wa Band ya chuchu sound na Mkurugenzi wa chuchu radio Yusuph Chuchu amefariki dunia jana jijini Nairobi, mazishi yana fanyika leo visiwani Zanzibar. R.I.P Babu chuchu!!
Handover.jpg

Yusuph Chuchu kushoto.
 
RIP babu Chuchu. Hakika kipaji chako kitakumbukwa daima na ulikuwa ni mfano wa kuigwa.
 
Aliyekuwa mmiliki wa Band ya chuchu sound na Mkurugenzi wa chuchu radio Yusuph Chuchu amefariki dunia jana jijini Nairobi, mazishi yana fanyika leo visiwani Zanzibar. R.I.P Babu chuchu!!
Handover.jpg

Yusuph Chuchu kulia.[/QUOTE]

Hiyo computer yako imekaaje?
 
Yussuf Ahmed Alley AKA Bwan Chuchu amefariki dunia jijini Nairobi-Kenya.

Chuchu alijipatia umaarufu mkubwa miaka ya mwanzoni mwa 2000 na bendi yake ya Chuchu Sound,iliyokua na wakali kama Mao Santiago,Omary Mkali,Waziri Sonyo,marehemu Gabby Katanga na wengine kibao,hasa na kibwagizo cha ”EEH..KWAHERI” kwenye miondoko ya mduara.

Na mpaka anafariki alikua anamiliki studio ya Heartbeat Records na kituo cha redio cha Chuchu FM vyote vipo kisiwani Zanzibar,na haijajulikana mara moja chanzo cha kifo chake.

Msiba upo Kisima Majongoo na Mazishi yanafanyika kwenye makaburi ya MwanaKwerekwe leo saa 10,kisiwani Zanzibar.

source: mzalendo.net
 
R.I.P Chuchu....yale mambo ya "bwan chuchu konda kantukana..." tutayakosa sana du!
 
rangi ya Madhiiiwa
kweli udongo unameza watu

RIP BWAN CHUCHU
 
RIP, Bwan' CHUCHU........na kama kilivyokuwa kibwagizo chako mwenyewe...EEH? KWAHERII!!
 
Yussuf Ahmed Alley AKA Bwan Chuchu amefariki dunia jijini Nairobi-Kenya.

Chuchu alijipatia umaarufu mkubwa miaka ya mwanzoni mwa 2000 na bendi yake ya Chuchu Sound,iliyokua na wakali kama Mao Santiago,Omary Mkali,Waziri Sonyo,marehemu Gabby Katanga na wengine kibao,hasa na kibwagizo cha "EEH..KWAHERI" kwenye miondoko ya mduara.

Na mpaka anafariki alikua anamiliki studio ya Heartbeat Records na kituo cha redio cha Chuchu FM vyote vipo kisiwani Zanzibar,na haijajulikana mara moja chanzo cha kifo chake.

Msiba upo Kisima Majongoo na Mazishi yanafanyika kwenye makaburi ya MwanaKwerekwe leo saa 10,kisiwani Zanzibar.

source: mzalendo.net

Eeh...Kwaheri.R.I.P Bwan chuchu
 
Back
Top Bottom