Search results

  1. monotheist

    Perfume gani isiyo na harufu kali inafaa kwa mwanaume

    Mimi ni mwanaume nina allergy na vitu vyenye harufu kali, mimoshi ya sigara na vumbi napenda sana kujipulizia perfume lakini zinanishinda naishia kupata mafua makali Je, perfume ipi ambayo imepoa itafaa kwa matumizi yangu bila kuniletea shida ya mafua makali bajeti yangu isizidi 30,000
  2. monotheist

    Anayejua mazingira ya kazi za security OMAN na DUBAI

    Wakuu kama kuna yeyote aliyewahi fanya kazi za security au anayejua mazingira ya kazi za security maeneo ya Dubai na Oman anipe mrejesho maana kuna dili nimepata huko ili nijue kama pananifaa au laah
  3. monotheist

    App au website ya kudownload hd movies

    Naomba mnisaidie app au website ambayo naweza kupakua hd movies kwenye simu ya android
  4. monotheist

    TV ipi yenye ubora kati ya TV hizi za kichina

    Nina ndugu yangu ana 440k anahitaji smart TV 43 inch nimefanya uchunguzi wa hizi tv zifuatazo ALITOP, RISING, SOLARMAX na AILYONS kwa bajeti yake anaweza kupata. Je ipi ni tv yenye unafuu wa ubora wa picha kati ya hizo tv tajwa
  5. monotheist

    Nimeshindwa kununua TV ninayoihitaji Kariakoo

    Wiki iliyopita nilienda kkoo kwa lengo la kununua tv hasa hisense smart 43 inch na nilizunguka maduka mengi ya pale kkoo ila na huwa napenda kuuliza maswali ya kutosha kabla sijanunua bidhaa husika lakini majibu niliyokutana nayo kutoka kwa wauzaji yanashangaza. Kutokana na maswali niliyokuwa...
  6. monotheist

    Imekuaje leo joto limepotea ghafla Dar es salaam

    Hii mvua ya leo imekuja na upepo wenye unyevu wa baridi hadi raha hali hii ya hewa kwa leo inatusahaulisha machungu ya joto kali hapa jiji Dar Natamani hali ya hewa iendelee kuwa hivi ili itupunguzie machungu ya joto kali
  7. monotheist

    Je huyu mdada anafaa kuwa mke?

    Nina mpenzi wangu kutoka kaskazini (mchaga) ambaye kwa sasa tumetimiza mwaka 1 katika mahusiano huyu dada ni mpambanaji haswaaa nimemkuta na biashara yake hivyo anajimudu SIFA ZA HUYU DADA 1. Si mtu wa vizinga nazani kwa sababu ana biashara yake kuna muda akija nitembelea gheto nikimaliza...
  8. monotheist

    Msaada wa kupata sabwoofer bora kwa matumizi ya nyumbani

    Nilishawahi kutumia sabwoofer ya boss ikazingiua baada ya miezi 3 nikanunua sean piano nayo baada ya miezi sita yaleyale uwezo wa kununua home theater sina je naweza nunua sabwoofer gani ambayo inaweza kudumu hata miaka miwili bila tatizo
  9. monotheist

    Vodacom acheni utapeli rudisheni pesa zangu

    Mimi sio mtumiaji sana wa mtandao wa vodacom mnamo mwaka 2022 nilihamasika kusajili laini ya vodacom kutokana na masuala ya miamala hivyo ilinilazimu kusajili laini ya voda na baada ya kumaliza zoezi langu sikuitumia tena Nikarudi tena kuitumia mwaka 2023 sababu ya visa card huwa natumia...
  10. monotheist

    Tuliowahi kupata madem katika mazingira magumu bila kutarajia

    TUKIO LA 1: Nakumbuka ilikua 2017 baada ya kumaliza form 6 nikaamua kwenda kumjulia hali dada yangu wa mbagara wakati narudi kuelekea home magomeni nikaona nipitie zakheim nikale matunda huwa pamechangamka sana pale Pale mbagala zakheim kuna daladala zinazoenda mbagala kuu na kijichi aisee...
  11. monotheist

    Kila nikijaza address ya silent ocean inakataa nakosea wapi wajuvi

    Ni mara yangu ya kwanza kutumia pinduoduo nimeshamaliza taratibu zote shida ipo kwenye kujaza address
  12. monotheist

    Wasomi acheni kulialia ajira zipo za kutosha tokeni magetoni

    Huwezi kupata ajira na bado upo magetoni huku ukiamini ipo siku utapata kazi kulingana na taaluma yako bila ya kufikiri kwamba wenye taaluma kama yako wapo wengi na bado hawajapata ajira Ngoja niwape mchongo, wasomi wengi wamepata kazi za ndoto zao kupitia kazi za ulinzi (security...
  13. monotheist

    Naweza pata kwa supplier yupi hizi airpods pale alibaba?

    Nimejaribu kusearch sikufanikiwa kupata hizi airpods msaada kwa anayefahamu supplier anayeuza nahitaji kuagiza kutoka alibaba
  14. monotheist

    INAUZWA Smartwatch kwa bei ya offer

    Tumepunguza bei tunauza piece moja kwa bei ya jumla yaani Tsh 35,000 kwa pc zimebaki pieces chache (M59 ULTRA SMARTWATCH) 💧Ina mikanda miwili 💧Ina Bluetooth 💧Wireless charger 💧Inapiga na kupokea simu 💧Inapokea notifications za whatsapp, instagram, facebook, tiktok etc 💧Ina creen kubwa 2.19 inch...
  15. monotheist

    Yalipo maduka ya vunjabei hapa Dar

    Habari ya siku, mimi si mwenueji sana hapa Dar nauliza wapi yalipo maduka ya vunjabei hapa jijini mfano kama lipo kariakoo, au sinza naomba mnitajie sinza eneo gani au kkoo eneo gani
  16. monotheist

    SSD ipi kati ya hizi pichani inaendana na desktop yangu

    Nimeambatanisha na picha kwa upande wa ndani wa desktop
  17. monotheist

    Kuagiza mzigo alibaba

    Wakuu nimeongea na seller alibaba kama watatu nataka kuagiza smartwatch 30 pcs akanipa mchanganuo wa cbm 30*5.65=169.5usd naona kama gharama kubwa zaidi ya bei ya bidhaa au mimi ndo sijaelewa maana ni mgeni kwenye sbm nimeshazoea kuagiza AliExpress Je kuna njia yoyote naweza kutumia kupunguza...
  18. monotheist

    Msaada wa app au jinsi ya kudownload latest movies

    Yeyote anayefahamu jinsi ya kudownload latest movies maana ninejaribu megabox kwa kutumia torrent sipati matokeo mazuri na pia popcorn time kwangu haifanyi kazi tena Mwenye njia mbadala anipe maujuzi
  19. monotheist

    Nilipoagiza mzigo AliExpress nikakumbana na rungu la kodi

    Nilianza kuagiza mizigo midogomidogo (small parcel ) miaka mitatu iliyopita na sijawahi kulipa kodi zaidi ya ile tsh 2350 ila mwaka huu nikapata shauku ya kuagiza mzigo kwa ajili ya biashara niliagiza saa pieces kama 20 pamoja na airpod Mzigo wangu ulichukua takribani siku 12 tu toka china hadi...
  20. monotheist

    Jinsi ya kuinstall RAM mpya kwenye desktop

    Hanari wakuu, mimi si mtaalam sana wa computer ndo najifunza baazi ya mambo. Natumia dell optiplex 5040 yenye RAM 4gb ddr3 hivyo nikaamua kuongeza RAM 8gb ila ni campuni tofauti na RAM iliyo kwenye desktop Shida ni kwamba kila nikijaribu kuiweka hii ram mpya mashine haiwaki nakosea wapi wakuu...
Back
Top Bottom