Wenyewe watafanya kazi yao shida inakuja kwa hawa watoaji ndio kipengele, me nafikiri hii huduma isiwe mpaka uwe na watoto 100 mdio muwaunganishe kwenye Bima hapo napinga, iwe kama mzazi anaona umhimu wa bima kwa mtoto wake amkatie bima siyo kimakundi hivyo ibaki kama zamani.
Kwanza watapata...
Hatukatai Shule za government zilivyo shida ni kuwa mzazi akihitaji kumkatia bima mtoto wake isiwe kigezo cha kusema mpaka mtimie 100 ndio mpate bima hii siyo sawa kama mchangiaji mmoja amesema hapo ni kama wameiondoa kimtindo hii bima
Ningependa kujua kuhusu utaratibu wa NHIF kusajili watoto wa shule za serikali kwa Bima ya Toto Afya Kadi. Awali, NHIF ilikuwa inasajili watoto ambao hata siyo wanafunzi kwa bei ile ya Tsh 50,400 bila kujali anasoma au hasomi baada ya shirika lenyewe kujipa hasara kwa kuhujumu mfuko ndio wakaja...
Habari wanajamvi,
Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya ambayo itakuwa na gharama nafuu na huduma bora, nimepata majina ya mashirika kadhaa yanayotoa huduma za...
Habari wanajamvi,
Nimenunua kifaa cha kuhifadhi data aina ya 1080 PRO NGFF M.2 SSD 4TB
Kwa ajili ya kuongeza uwezo wa laptop yangu. Hata hivyo, baada ya kukifunga kwenye laptop yangu, haisomi ingawa inaonyesha kuwaka kama kawaida.
SSD iliyokuwepo awali ni ya 128GB M.2 NGFF ambayo niliinunulia...
Lazima niende pia inabidi mazingira ya zingatiwe huenda majeraha mengine yamo kwa ndani bila kujua hivyo inanibidi kuangalia hali itaendeleaje ikiruhusu ndio nifanye hivyo sihitaji kuwapa shida wengine wakati maumivu ni yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.