Search results

  1. Zurie

    Wanaume mkipepeta mdomo mjue na kutenda; “what a waste of sin”

    Moja kwa moja kwenye mada… Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe.. Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa na upwa. Hapo ifahamike kuwa tumeshaflirt sana, yaani ashanisimulia jinsi atanipa mambo nisahau...
  2. Zurie

    Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

    Hello hello.. I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi) Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe:D") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati...
  3. Zurie

    Kama hupendi kelele usioe

    Ujumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!! Wanawake sisi ni wapiga kelele, tuna-nag, tuna story zisizo na kichwa wala miguu, tunalalamika sana, tunapush idea zetu kila kukicha. Hutaki Acha. Kila mwanaume kelele kelele, oh nachepuka kuepuka...
  4. Zurie

    Eti anadai hawezi kwa sababu mimi ni mama wa mwanae!

    Mambo yasiwe mengi, Shemejienu leo kanitolea mpya. Tangu nimepata mtoto kama mwaka mmoja uliopita, maisha yetu ya chumbani yalibadilika, na mwanzoni haikuwa ishu kwangu wala sikunotice sababu ya kuzama kwenye malezi. Sio kwamba hatuli tamtam, la hasha ila tu hakuna mashamsham (nimeenda kwa...
  5. Zurie

    Huwa nafanya kwa kuiga ila sijui kwanini…

    Ndugu zangu Kabla ya kununua nazi huwa tunazitingisha karibu na sikio katika harakati za kuchagua. Huwa tunasikiliza mlio wa aina gani?? Mwenzenu huwa nafanya tu halafu naishia kuchagua kubwa naondoka. Naombeni ujanja.
  6. Zurie

    Kenya: Wananchi wakuta majina yao yameorodheshwa kama wanachama wa vyama vya siasa mtandaoni bila ridhaa yao!

    Jumamosi Juni 19, 2021 Watu kadhaa waliandamana kuelekea kwenye ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Ann Nderitu kufuatia majina yao kuorodheshwa kama wanachama wa vyama vya siasa bila ridhaa yao. Majina hayo yalionekana katika mfumo wa mtandaoni wa 'e-citizen' ambapo Serikali imetoa ufafanuzi...
  7. Zurie

    Teknolojia ya Nyuklia kutumika kuhifadhi chakula Tanzania; kituo kujengwa Mbezi Louis, Dar es Salaam

    Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) inataraji kutumia kiasi cha Bilioni 20 kujenga kituo cha uhifadhi wa chakula kwa kutumia teknolojia ya nyuklia Jijini Dar es Salaam. Kituo hicho kitajengwa Mbezi Louis na kinatarajiwa kuleta tija katika kupanua na kuleta mapinduzi katika uwezo wa...
  8. Zurie

    Financial Security is to a woman, what sex is to a man

    Habari, I hope Tuesday zenu zaenda poa! Nataka ku-clarify jambo moja to all the males in here.... Kuna vijimaneno maneno kuwa tunapenda pesa sana, ni wachunaji n.k. Mimi naomba niseme NI KWELI! Kinachokera ni wanaume kuongelea suala la sisi kupenda pesa kama vile ni crime. Yaani mwanadada...
  9. Zurie

    Je, ni bora uwe kwenye mahusiano na mtu unayempenda lakini humwamini au unayemwamini lakini humpendi?

    Mahusiano hujengwa na vitu vingi kama mapenzi, imani, huruma n.k towards mwenzi wako. Mahusiano 'ideal' ni yale ambayo unampenda, unamthamini, unamhurumia, unamuamini, unamtamani mpenzi wako. Lakini mara nyingine unaweza kulazimika kukubaliana na hali na kuchagua vita yako ya kupigana. Je...
  10. Zurie

    Mnaosisitiza Rais Samia atakuwa 'one term President' mlisikia wapi kuwa anataka kipindi cha pili?

    Naona wanaharakati wa twita kila baada ya sentensi mbili kuhusu Mama yetu kipenzi mnasema atakuwa 'one term president'. Hivi ni lini alisema anataka vipindi viwili? Considering namna alivyoingia madarakani, hamfikirii kuwa labda alikuwa na mipango yake kabla msiba haujaingilia kati? She might...
  11. Zurie

    Hata msipotwaa urais, ACT-Wazalendo mmefunika wote 'kifashoon'

    Tuanze na Quote ya Tom Ford kwanza "Dressing well is a form of good manners". ACT- Wazalendo wamejipanga kusuuza nyoyo zetu tunaopenda Mitindo. Najua mtasema nguo zinawasaidia nini wagombea? Maybe haziwasaidii lakini kongole lazima wapate. I am not too political hivyo hata nikiangalia...
  12. Zurie

    Uchaguzi 2020 Wahariri wafarijika kwa waandishi wa habari kuruhusiwa kuwamo ndani ya ukumbi wa Mkutano wa CCM

    HONGERA RAIS MAGUFULI KWA NEC, MKUTANO MKUU ‘LIVE’ Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), tunapongeza uamuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuruhusu kurushwa moja kwa moja (live) kwenye vyombo vya habari, mikutano yake miwili; Mkutano wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM na Mkutano Mkuu Maalum wa CCM wa...
  13. Zurie

    Coronavirus: Kazakhstan imetangaza “lockdown” upya baada ya idadi ya maambukizi kuongezeka kwa kiasi kikubwa

    Kazakhstan imeweka zuio la pili la watu kutoka nje ili kupambana na ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Corona lililoonekana hivi karibuni. Nchi hii iliondoa zuio mwishoni mwa Mei ikiwa na visa chini ya 9,000 na kuwa miongoni mwa nchi za kwanza Asia ya kati kufanya hivyo, na sasa maambukizi...
  14. Zurie

    CoronaVirus: WHO yaionya Afrika; ilichukua siku 98 kufika visa 100,000 na siku 18 tu kufika visa 200,000

    WHO imeonya kuhusu kasi ya maambukizi ya COVID19 barani Afrika. Hii ni kutokana na maambukizi kuchukua siku 18 tu kufikia mara 2 ya awali yaani visa 100,000 hadi 200,000. Hadi sasa Afrika ina visa zaidi ya 210,519 na vifo zaidi ya 5,635 huku Afrika Kusini ambayo hivi karibuni iliwafungulia raia...
  15. Zurie

    Bunge lapitisha Muswada Sheria Mbalimbali Namba 3 wa 2020; Sasa Viongozi wakuu wa Serikali kushitakiwa kupitia Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Utekelezaji wa Haki na Wajibu wa Msingi Sura ya 3, ambayo inapendekeza mashauri yote ya madai dhidi ya Viongozi Wakuu wa nchi, yafunguliwe dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Akisoma maelezo ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Profesa...
  16. Zurie

    Mark Zuckerberg: Tutaangalia upya sera zetu kuhusu udhibiti maudhui; nasimama na wamarekani weusi

    Mark Zuckerberg says Facebook will review its policies concerning the state use of force, voter suppression and content moderation, as the company faces a backlash from many of its own workers over its inaction on controversial posts by President Donald Trump. In a note to employees that he...
  17. Zurie

    Waafrika nimewavulia kofia

    RIP George Floyd
  18. Zurie

    Briefcase zilikuwa zinatumika kubebea nini?

    Hello wakuu, Leo nimekumbuka enzi za utoto wangu wanaume walikuwa wanabeba briefcase. Kwa wasiozijua naomba mzingatie picha. Wanaume walikuwa wanaenda na kurudi nazo kazini. Najua hata sasa mabegi yanabebwa ila kwa siku hizi "laptops" zimekuwa common hivyo wengi wanabeba laptops kwenye...
  19. Zurie

    Queen Darleen hebu mhurumie mke mwenzio; naye ana moyo

    Queen Darleen, Nadhani kama wanawake wa Kiislam walikuwa hawajawahi jua ugumu wa uke wenza sasa wanajionea dhahiri kupitia wewe. Queen, kuwa na huruma we mama (maana hata sio dada, enzi niko darasa la 1 ulishashirikishwa wimbo na Mad Max) Queen, huyo kijana ana mke mwingine usisahau. Wewe...
  20. Zurie

    Je, ndoa ngapi “zinatosha” mtu mmoja kufunga?

    Wakuu, Nimekaa nikafikiria suala zima la kufunga ndoa, talaka na kufunga ndoa tena. Najua kuna dini zinakataza talaka na kuna ambazo zinaruhusu mtu kuoa wake wengi kwa wakati mmoja. Lengo hapa sio tuangalie kwa jicho la kidini bali kijamii. Let us factor suala la dini out. Katika ndoa kuna...
Back
Top Bottom