Wanaume mkipepeta mdomo mjue na kutenda; “what a waste of sin”

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,834
4,669
Moja kwa moja kwenye mada…

Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe..

Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa na upwa.

Hapo ifahamike kuwa tumeshaflirt sana, yaani ashanisimulia jinsi atanipa mambo nisahau njia ya kwetu. Mdomoni tu, ana game sio ya nchi hii yaani Casanova huyu hapa.

Mtoto wa kike hiyo siku nikatoka, shanga zangu za pink kiunoni nikaenda Kijitonyama.

NILIJUTA! Hajui Kukiss, Hajui Kusex, Hajui chochote.

Ila kwa sababu alikuwa rafiki yangu, nilimchana live. Nikamwambia “wewe, kunisumbua kote kule ndo hivi??”

Leo nimemkumbuka kwa sababu amenitext “wewe mwanamke uliwahi kuumiza hisia zangu sana. Najua nina deni kwako”

Wanaume, muwe mnafanya mnachotakiwa kufanya. Haiwezekani nitende dhambi ya uasherati halafu nisipate raha. Hata shetani anabaki ananicheka!
 
😁😁😁 Wanaume AMBAO wanajisifiaga huwa hawana lolote,,,,anakunyonya chuchu Hadi ziwa lataka kung'oka,
Anataka romance anakuingiza domo lake Zima yaan ukitoka hapo Hadi lipsi zinauma,linakuramba mwili mzima ili mrad utoke unanuka mate 😭😭,anataka akuachie love bite ila anakung'ata looh et ndo love bite.....
Akija kuingiza anaenda mzima mzima kwanza Hadi aisukume na vidole yaan imelegeaaa kama anaingiza utambi looh,😡😡😡😡
Nimelia sana dah 😂😂😂
 
Kivumbi na jasho, tunachanwa leo.
 
download.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom