Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 1,850
- 4,734
Naona wanaharakati wa twita kila baada ya sentensi mbili kuhusu Mama yetu kipenzi mnasema atakuwa 'one term president'. Hivi ni lini alisema anataka vipindi viwili? Considering namna alivyoingia madarakani, hamfikirii kuwa labda alikuwa na mipango yake kabla msiba haujaingilia kati? She might opt kuongoza mwaka mmoja akasepa, after all she has been citizen number 2 for 5+ years already.
Yani nyie kuongoza nchi vipindi viwili kwenu ndo success? Asemwe kwa vitu vingine ila sijaona shame yoyote kwa kuwa one term president. Actually ni ujasiri kuliko yule aliyetaka kuongezewa muda.
Yani nyie kuongoza nchi vipindi viwili kwenu ndo success? Asemwe kwa vitu vingine ila sijaona shame yoyote kwa kuwa one term president. Actually ni ujasiri kuliko yule aliyetaka kuongezewa muda.