Search results

  1. KakaKiiza

    Nampenda sana Rais wangu Mama Samia ila baadhi ya aliowaamini siwapendi!

    Ukiniuliza kiongozi gani unampenda mimi bila ya kupepesya macho nitakutajia Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Swali; Kwanini unampenda Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Jibu; Nampenda kwa sababu zifuatazo Nikiongozi wa Nchi...
  2. KakaKiiza

    Ninachokiona kwa Israel ni kuchanganyikiwa na vita!

    Kwa mtazamo wangu bila kwenda mbali, nikwamba Islael kashindwa vita! alichobaki nacho ni War Madness!. Amebaki kupiga huko na huku akiua watu wasiyo na hatia akidhani anawaua watesi wake, kitu ambacho siyo! Mji wa mwisho kuuteketeza utakuwa ni Rafah, lakini nako ataambulia patupu na mateka...
  3. KakaKiiza

    Mimi naamini Ukraine na Marekani wapo juu ya huu mpango wa ugaidi nchini Urusi!!

    Kutokana na Uharaka wakujibu Zelensky anahusika moja kwa moja,pia mipango iliyoanzishwa na marekani mapema mwezi huu kuwa kunaweza kutokea shambulizi la kigaidi basi hizo zilikuwa ni propaganda zilizotengenezwa kuiaminisha jamii kuwa ikitokea wasema hata marekani alisha sema! Sasa wakasahu kuwa...
  4. KakaKiiza

    Waziri Ndumbaro usitume watu kukusafisha, jisafishe mwenyewe!

    Katika Siku za hivi Karibuni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh Damas Ndumbaro alitoa tamko akiwasii watanzania kuwa na uzalendo kwa timu zao kama tunavyoona nchi za wenzetu zinavyofanya utanguliza uzalendo kwanza! Tofauti na hapa kwetu ambapo tumeshuhudi timu pinzani hasa Simba na...
  5. KakaKiiza

    Ushauri kwa ndugu yangu!

    Jamaa yangu kaomba ushauri
  6. KakaKiiza

    All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

    Wanabody hili ni wazo kwakuwa hili liliwai kufanyika miaka ya 2013-14 na liwa na mafanikio makubwa sana nakumbuka lilifanyika pale Kebby'es na nyingine ikafanyika Escape one. Namimi nikiwa moja ya hile kamati! Na kwakuwa imepita muda mrefu basi tunaleta wazo kwenu ili anagalau tukutane...
  7. KakaKiiza

    Mateka wa kiyahudi wasipopatikana je Israel itafanya nini?? Je bado wapo hai?

    Tukiwa tunaona nakushuhudia nguvu kubwa Israeli kubomoa ukanda wa gaza wote kama inavyojinasibu kuwa ni operation lakini kwa wachambuzi wa kivita wanasema Israel inatafuta mateka wakiyahudi 253+ ambao walitekwa na Hamas! Wakati huo Vyama vya upinzani na wananchi wa Israel wakiandamana kumtaka...
  8. KakaKiiza

    Polisi katika hili suala la namba 3D ni onevu bila ya kupepesa

    Nikianza Jeshi la Polisi napenda kusema huu niuonevu wa wazi! Swala la Namba 3D kuziondoa kwenye magari niuonevu usiozingatia sheria, Namba za kawaida kinacho reflect siyo maandishi ni kibati(Plate) Sawa sawa na 3D kinacholifanya Jeshi la Polisi kuondoa 3D nini? Kama siyo uonevu kwa Raia? Nchi...
  9. KakaKiiza

    Wanawake sasa hawawazi tena neno UKIMWI wanogopa Mimba tu!

    Katika hali isiyo ya kawaida ambayo nimeifanyia utafiti mikoani na mjini na vijijini, wanawake ukidate naye hawazi tena kinga na akuilizi na akiona unataka sana kinga anakwambia zinaniletea fungus na wewe upo hyper inabidi uharibu mpira utembelee rimu pakatapakata. Utajua mwenyewe litakapo...
  10. KakaKiiza

    Kwanini wanawake wengi hapa mjini Mahusiano yao ni yanazingatia pesa kwanza?

    Nimekuwa nikiwa katika mahusiano na risk tofauti lakini hakuna aliyekuwa afadhali! Wanaamini wao ni wakuhudumiwa yeah ni wakuhudumiwa ila sasa wamezidi kutoka katika kuhudumiwa na kufanya fursa! Pia kila mwanamke utakayemuona barabarani, ofisini nyumba hata za ibada wote hao wanamahusiano...
  11. KakaKiiza

    Paulo Makonda ni Waziri Mkuu Mtarajiwa

    Wakuu JF wazima nimatumaini yangu, Nianze kwa kusema hivi, Hakuna asiyemfahamu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kipindi cha Awamu ya Tano kabla ya uchaguzi wa 2020 Kwa Huruka yake unyanyasaji na ukatili kwa wapinzani na hadi kufikia kuvamia vituo vya Habari wote ni Mashaidi. Akastaafu...
  12. KakaKiiza

    Israel inazidi kupoteza ushindi katika mipaka ya Lebanon Kichapo ni cha Moto!

    Israel imeendelea kupoteza ushindi baada ya askari wake kuuwawa sasa hivi katika mpaka wa Lebanon, Baada ya rocket kutupwakatika ardhi ya Israel na kuua vikosi vyake na mapambano bado ni makali sana siya rocket wala ya Drone hali ni tete sana! tazama sasa hivi Live Hapa Kichapo wanachopewa...
  13. KakaKiiza

    Watumishi wa serikali, Wakurugrnzi na Mawaziri, je vyeo mlivyonavyo ni vya asante hamna mamlaka navyo?

    Nimekuja hapa ninayo machache sana ya kuongea japo naona kama niongee mengi! Nasikitika ninapoona Katibu itikadi na ueneziwa CCM, akiwakalipia Wakurugenzi,DC,Waziri na Wabunge nabaki kinywa waz,i sielewi kile cheo cha uitikadi kikubwa kiasi kiribia na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi...
  14. KakaKiiza

    Je, we Mtanzania kwanini unaichukia sana Hamas?

    Wana Bodi, Matumaini yangu kuwa nyote hamjambo! Swali langu lipo hivi wewe mtanzania kwanini unaichukia Hamas?Ni maslahi yapi unapata kwa kuichukia Hamas? Na kwanini usiichukie Israel kwa kuvamia Palestine kwa nguvu wakati kiukweli ardhi ni ya wa Plestina. Wapelestina wakidai wanashushiwa...
  15. KakaKiiza

    Israel yaua 88 wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa!

    IDF jana Iliana shambulizi katika Kambi za wakimbizi Gaza ambapo kulikuwa na wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa waliokuwa wakifanya katika mashirika mabali mbali ya Umoja wa Mataifa yanayo hudumia huko Gaza! Ni habari ya kusikitisha katika Nyanja ya kimataifa msemaji wa UNRWA amesema wafanyakazi...
  16. KakaKiiza

    Swala la Dkt. Slaa mimi ningekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ningekuwa Rais, Nisingejishughulisha na swala Dkt. Slaa kitendo cha kujishughulisha na suala la Dkt. Slaa ni kuonyesha alichokisema kinaikosoa Serikali!. Dkt. Slaa ni Mwanasiasaa mwenye uharakati kwakumvua adhi ya ubalozi unampa uwanja wakuongea hata yake ambayo asingeyaongea kwa kuwa na kinga...
  17. KakaKiiza

    Urusi yarusha kombora lililoongezwa utaalamu

    Urusi imefanya kile ilichosema kuwa ni jaribio la mafanikio la kurusha kombora la "mabara" la balestiki, wiki kadhaa baada ya kusimamisha ushiriki wake katika mkataba wake wa mwisho wa kudhibiti silaha za nyuklia na Marekani. ==== Russia has conducted what it said was the successful test...
  18. KakaKiiza

    What Russia is doing is to discipline Ukraine

    A Russian Kinzhal missile, traveling at 12,000 kilometers per hour, 10 times faster than sound, was used today to destroy a Ukrainian weapons depot 136 meters underground. (Look at the astonishment of the American reporter when he suddenly saw this.
  19. KakaKiiza

    Haya wale Wayukrein wa Buza njoo kuna jambo huku!!

    Urusi imeanza kazi ya kuyagawa Maeneo manne ya Ukraine inayokaliwa na Urusi yameanza kufanya kura za maoni, ambazo zimeshutumiwa kuwa haramu na Kyiv na zinaonekana kufungua njia kwa Moscow kunyakua rasmi baadhi ya asilimia 15 ya ardhi ya Ukraine. Upigaji kura katika Luhansk na Donetsk...
  20. KakaKiiza

    Watanzania tumeshuhudia kwa mara ya pili Urais ukipingwa Mahakani kwa majirani zetu Kenya. Je, ni mfumo unaotufaa?

    Watanzania tumeshuhudia kwa mara ya pili Urais ukipingwa Mahakani kwa majirani zetu Kenya. je ni mfumo unaotufaa Tanzania? Je ,Tanzania inatupasa kuwa na mfumo kama wa majirani zetu? au sisi twende mbele kabisa,kuwepo na chombo kingine zaidi ya Suprime court,?ambacho kinaweza kutoa maamzi...
Back
Top Bottom