KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,596
- 8,636
Ningekuwa Rais,
Nisingejishughulisha na swala Dkt. Slaa kitendo cha kujishughulisha na suala la Dkt. Slaa ni kuonyesha alichokisema kinaikosoa Serikali!.
Dkt. Slaa ni Mwanasiasaa mwenye uharakati kwakumvua adhi ya ubalozi unampa uwanja wakuongea hata yake ambayo asingeyaongea kwa kuwa na kinga yake Ubalozi.
Swala la DPW ni swala mtambuka halihitaji ushauri wa kisiasa, hawa waliokushauri leo umvue ubalozi nakili kwa kusema kuwa wamekosea sana! Ningekuwa mimi ningemrudishia ubalozi nakumpangia kituo haraka!.
Mawazo yangu.