Umenikumbusha mwl wangu marketing alinifundisha bidhaa zimegawanyika katika makundi matatu kuna (1) brand new then ( 2)second hand na (3) Subject to repaire sasa inategemea bidhaa yako uliipata kwenye hali gani?
Kuna jamaa yangu yupo Dodoma alikuwa na mtoto Marangu sekondari Moshi sasa akapata changamoto ya ada baada ya mwanae mwingine kuugua mpaka kufanyiwa upasuaji. Huyu Dogo mwanafunzi alishasajiliwa kufanya mtihani wa form two lakini hakufanya kutokana na kushindwa kulipa ada .
Mwaka huu baba...
Nani anakupa hiyo treatment unadai ni ya V.I.P ? Naona wakubwa wote wa serekali kila mara wapo mjini Dsm ... Hata leo kuna kikao cha halmshauri kuu ya chama hapa Dsm.
Kwani katiba ya jamhuri ya muungano inasemaje hapo ndio africa tunaponekana hatujielewi sheria inasema nchi haifuiti mrengo wowote wa dini ila kinachoendelea kinashangaza sana kuna kipindi Mtikila alikuwa anaenda zanzibar na anakula na hakuna aliyekuwa anamkamata maana walijua angefungua kesi...
Smart Gin hizo akili yako inaharibika unasema nn ukienda kuongea huo ujinga kivule na makofi utapigwa Kama anakununulia pombe kunywa Ila acha kuropoka....
Urasimu wa upataji ya hii medical report umetengeneza mazingira ya rushwa mdogo aliangaika Sana week mbili ikabidi arudi kituo Cha kazi anatakiwq kuja muhimbili Kila mwezi kwa ajili ya matibabu sasa bosi hamwelewi ndio maana ilihitajika hiyo medical report.
Umekumbusha rafiki yangu alikuja kwangu kwa hasira akitoka kumsusa baba yake aliumwa basi ukawa mzozo baadhi ya ndugu akataka apelekwe kwa mganga, wengine kwenye maombi na rafiki yangu alitaka hospital ni mzee wa miaka 80. Sasa baada ya malumbano makali bila muafaka wakatawanyika basi kundi la...
Niliifika shinyanga vijijini nikamuuzia dogo mmoja wa bodaboda nimemzoea nikaambiwa na mkewe yupo kwenye ngome yake nyingine sikumuelewa ikabidi nimpigie simu akaniambia yupo kwa mke wake mwingine dah nikachoka. Hali ngumu Sana hasa kipindi Cha kiangazi.
Yaan hata taarifa za matukio hupewi Kuna siku nikahoji mbona hajaambiwa kuhusu hili tukio wazee wakasema achana atakuja kutuletea fujo maana huwa mtata katika kutaka kunyoosha Jambo wakati pesa hana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.