Msaada wa mawazo kuhusu huyu mwanafunzi

ngawia

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
691
625
Kuna jamaa yangu yupo Dodoma alikuwa na mtoto Marangu sekondari Moshi sasa akapata changamoto ya ada baada ya mwanae mwingine kuugua mpaka kufanyiwa upasuaji. Huyu Dogo mwanafunzi alishasajiliwa kufanya mtihani wa form two lakini hakufanya kutokana na kushindwa kulipa ada .

Mwaka huu baba yake alienda pale shule Marangu sekondari kuomba mwanae kufanya mtihani huo au wampe uhamisho maana sasa anasoma shule ya day huko Dodoma, Mkuu wa shule Marangu sekondari alikubali kumpa barua au kumpa uhamisho akafanye mtihani form 2 kwenye shule alipo Dodoma na wakawasaliana na mkuu wa shule ya Dodoma wakakubaliana Marangu wawatumie barua kuonesha status ya mtoto kuwa alikuwa mwanafunzi pale.

Marangu sekondari wameleta ubabaishaji kuzungusha leo kesho mara tunamdai ada mpaka usajili wa kidato cha pili mwaka huu umepita sasa anaweza kufanya nini ili aweze kufanya mtihani wa kidato cha pili. Baba yake Amekuja kwangu kuomba ushauri je akienda necta kueleza situation yake inaweza kumsajili mwanae na muda umepita? toka tar 31. 03
 
Kuna jamaa yangu yupo Dodoma alikuwa na mtoto Marangu sekondari Moshi sasa akapata changamoto ya ada baada ya mwanae mwingine kuugua mpaka kufanyiwa upasuaji. Huyu Dogo mwanafunzi alishasajiliwa kufanya mtihani wa form two lakini hakufanya kutokana na kushindwa kulipa ada .

Mwaka huu baba yake alienda pale shule Marangu sekondari kuomba mwanae kufanya mtihani huo au wampe uhamisho maana sasa anasoma shule ya day huko Dodoma, Mkuu wa shule Marangu sekondari alikubali kumpa barua au kumpa uhamisho akafanye mtihani form 2 kwenye shule alipo Dodoma na wakawasaliana na mkuu wa shule ya Dodoma wakakubaliana Marangu wawatumie barua kuonesha status ya mtoto kuwa alikuwa mwanafunzi pale.

Marangu sekondari wameleta ubabaishaji kuzungusha leo kesho mara tunamdai ada mpaka usajili wa kidato cha pili mwaka huu umepita sasa anaweza kufanya nini ili aweze kufanya mtihani wa kidato cha pili. Baba yake Amekuja kwangu kuomba ushauri je akienda necta kueleza situation yake inaweza kumsajili mwanae na muda umepita? toka tar 31.
pole sana mkuu kwa changamoto, ninauzoefu wa kukutana na changamoto kama hiyo. Iliniletea shida kubwa sana wakati wa kuishughulikia. Wewe ni jinsia gani? Mtoto pia ni jinsia gani? na je wewe ni mwalimu au raia wa kawaida?
Nijibu haya maswali tujengeane uwezo.
 
Back
Top Bottom