Kuna Wazazi wengine ni zaidi ya nuksi mkuu. Weka Imani na tumaini lako kwa Mungu.Waheshimu baba yako na mama yako siku zako zipate kuwa nyingi
Bila shaka una ela kuliko waoNipo kwenye familia ya namna hiyo Ili nilitwaa madaraka ya ukuu kibabe na Kila mtu ananisikiliza Sasa na wote wananiheshimu
Muda mwingine upuuzi kama huu kwenye uzi kama huu sio ishu.
Umri wako kijana ni miaka mingapi?Kuna mtu ashawahi kufanya hivi? Alifanikiwa?
Mkuu kama angalau una kauchumi kakueleweka hapo sawa ila kama ndio choka mbaya basi huwezi kutwaa madaraka kibabe. Wewe ndio utapelekeshwa.Nipo kwenye familia ya namna hiyo Ili nilitwaa madaraka ya ukuu kibabe na Kila mtu ananisikiliza Sasa na wote wananiheshimu
Unajua mambo ya familia na migogoro inakera sana, kama hapa tunauguza Mzee yupo hoi kitandani, mara ndugu Hawa wanasema hichi, mara bimkubwa nae anasema hichi, ndugu nao badala waonyeshe umeona wapambane wanakua wanapishana.
Yani familia nyingne kuzaliwa ni mikosi tu, Kuna weza kusiwe na njaa lakini migogoro, ulevi na kutokuelewana kukapoteza amani kabisa.
Sasa Kwa mtu kama Mimi nnaependa amani natamani nipotee kabisa, nibadlishe namba ya simu na account zangu Facebook, nipotee tu Mimi kama Mimi nisijulikane nilipo na wao nisijue wanaendeleajee nianze maisha yangu Mimi kama Mimi, Yani niwe kama Sina ndugu Wala wazazi, jirani zangu ndio watakua ndugu zangu.
Kuna mtu ashawahi kufanya hivi? Alifanikiwa?
Pole sana mkuu kwa magumu unayopitia hilo ni swala na muda tu, usichukuwe uwamuzi kama huwo unaweza uka wahitaji baadae na ukashindwa kuwapata hujuwi nini mungu amekuandalia mbeleni tuliza akili fikiria vizuri jinsi ya kwenda nao sawaUnajua mambo ya familia na migogoro inakera sana, kama hapa tunauguza Mzee yupo hoi kitandani, mara ndugu Hawa wanasema hichi, mara bimkubwa nae anasema hichi, ndugu nao badala waonyeshe umeona wapambane wanakua wanapishana.
Yani familia nyingne kuzaliwa ni mikosi tu, Kuna weza kusiwe na njaa lakini migogoro, ulevi na kutokuelewana kukapoteza amani kabisa.
Sasa Kwa mtu kama Mimi nnaependa amani natamani nipotee kabisa, nibadlishe namba ya simu na account zangu Facebook, nipotee tu Mimi kama Mimi nisijulikane nilipo na wao nisijue wanaendeleajee nianze maisha yangu Mimi kama Mimi, Yani niwe kama Sina ndugu Wala wazazi, jirani zangu ndio watakua ndugu zangu.
Kuna mtu ashawahi kufanya hivi? Alifanikiwa?
Hapo kuna wanaotaka afe wacheke, afe wapate urithi, anavyohangaika kitandani wao bize kupiga picha na kutuma fb wanatengeneza simulizi, huyu naye hahusiki sana ila anataka kujenga hoja apate mkopo mahali, na wanaombea likizo ya kuuguliwa! Na hako kajamaa kanataka tenda ya kumpeleka kwa sangoma wa mchongo wapige hela.Unajua mambo ya familia na migogoro inakera sana, kama hapa tunauguza Mzee yupo hoi kitandani, mara ndugu Hawa wanasema hichi, mara bimkubwa nae anasema hichi, ndugu nao badala waonyeshe umeona wapambane wanakua wanapishana.
Yani familia nyingne kuzaliwa ni mikosi tu, Kuna weza kusiwe na njaa lakini migogoro, ulevi na kutokuelewana kukapoteza amani kabisa.
Sasa Kwa mtu kama Mimi nnaependa amani natamani nipotee kabisa, nibadlishe namba ya simu na account zangu Facebook, nipotee tu Mimi kama Mimi nisijulikane nilipo na wao nisijue wanaendeleajee nianze maisha yangu Mimi kama Mimi, Yani niwe kama Sina ndugu Wala wazazi, jirani zangu ndio watakua ndugu zangu.
Kuna mtu ashawahi kufanya hivi? Alifanikiwa?
Umekumbusha rafiki yangu alikuja kwangu kwa hasira akitoka kumsusa baba yake aliumwa basi ukawa mzozo baadhi ya ndugu akataka apelekwe kwa mganga, wengine kwenye maombi na rafiki yangu alitaka hospital ni mzee wa miaka 80. Sasa baada ya malumbano makali bila muafaka wakatawanyika basi kundi la kwenda kwa mganga likampakia kwenye boda likampeleka huko wakati wa kurudi akqpata ajali akateguka nyonga. Wakampeleka Mloganzila akalazwa kwa mwezi mmoja mpaka mauti ilipomfika.Inakera sana
umenichekesha japo Nina stress sana natamani kujua kwako ilikuaje miaka 10 hata kwenye matatizo hukuwahi kwenda?Pole sana,
Niliwai kukata miaka 10 nimepiga kimya tu.
Ila Sasa niko nao tena,matatizo Debe
😪Muda mwingine upuuzi kama huu kwenye uzi kama huu sio ishu.
Funguka vizuri tujue tunachangia nini kwenye uzi wako.Unajua mambo ya familia na migogoro inakera sana, kama hapa tunauguza Mzee yupo hoi kitandani, mara ndugu Hawa wanasema hichi, mara bimkubwa nae anasema hichi, ndugu nao badala waonyeshe umeona wapambane wanakua wanapishana.
Yani familia nyingne kuzaliwa ni mikosi tu, Kuna weza kusiwe na njaa lakini migogoro, ulevi na kutokuelewana kukapoteza amani kabisa.
Sasa Kwa mtu kama Mimi nnaependa amani natamani nipotee kabisa, nibadlishe namba ya simu na account zangu Facebook, nipotee tu Mimi kama Mimi nisijulikane nilipo na wao nisijue wanaendeleajee nianze maisha yangu Mimi kama Mimi, Yani niwe kama Sina ndugu Wala wazazi, jirani zangu ndio watakua ndugu zangu.
Kuna mtu ashawahi kufanya hivi? Alifanikiwa?
😶dogo unakatwa
Unajua ndugu naona hawajui wanataka nini,Unajua mambo ya familia na migogoro inakera sana, kama hapa tunauguza Mzee yupo hoi kitandani, mara ndugu Hawa wanasema hichi, mara bimkubwa nae anasema hichi, ndugu nao badala waonyeshe umeona wapambane wanakua wanapishana.