Search results

  1. Makox

    Ijue dawa ya kuua limbwata tuliyopewa bure na Mungu wetu kwa wema wake

    KWELI WATANZANIA NI WABISHI, YAANI KUTOKA COMMENT YA KWANZA MPAKA YA MWISHO BADO WAPO WATU WANAOPINGA TU NA KUULIZA MASWALI! Tuwe tunajifunza vitu vyetu vipya sio kuhoji muda wote huku vya wazungu tukipokea tu bila kuhoji
  2. Makox

    Msaada wa mawazo kuhusu huyu mwanafunzi

    pole sana mkuu kwa changamoto, ninauzoefu wa kukutana na changamoto kama hiyo. Iliniletea shida kubwa sana wakati wa kuishughulikia. Wewe ni jinsia gani? Mtoto pia ni jinsia gani? na je wewe ni mwalimu au raia wa kawaida? Nijibu haya maswali tujengeane uwezo.
  3. Makox

    Nilitengenezewa zengwe na mzazi wa mwanafunzi mpaka nikafukuzwa kazi

    Ninawasalimu kwa heshima za hadhi zote ndugu zangu wa JF. Kwa heshima kubwa ninawashukuru sana kwa mawazo yenu yote juu ya maada niliyoileta kwenu iliyosema "NILITENGENEZEWA ZENGWE NA MZAZI WA MWANAFUNZI MPAKA NIKAFUKUZWA KAZI". Nimeona nisikae tu kimya bila kuwafahamisha...
  4. Makox

    Mkuu wa Shule na Mzazi wa Mwanafunzi walinitengenezea zengwe hadi nikafukuzwa kazi

    asante mkuu, ila maelezo ya barua ya maamuzi mamlaka ya nidhamu baada ya TSC Wilaya ni TSC Makao makuu then kwa Raisi.
  5. Makox

    Mkuu wa Shule na Mzazi wa Mwanafunzi walinitengenezea zengwe hadi nikafukuzwa kazi

    Nina uhakika alilazimishwa kuandika. Na askari walitumika pia mpaka mtoto alichapwa viboko. Mzazi pia aliandikishwa barua akiwa ndani ya ofisi ya mkuu wa shule, walimu wa malezi na walimu wa Nidhamu.
  6. Makox

    Nataka kujenga

    Unaweza kujenga na kuhamia kabisa mkuu, kinachotakiwa hapa ni bajeti ya kujenga ghorofa lenye thaman ya 5ml. INAWEZEKANA, Jenga ghorofa la ngazi mbili, tofari fyatua na uchome mwenyewe, fundi uwe mwenyewe ila weka watu wa kukusaidia. Sehemu zote za kupiga ringbeam na rinta tumia magogo...
  7. Makox

    FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    Mungu uwe pamoja na Simba, Mungu uwe pamoja na Al-Ahly, Mungu uipe nguvu ya ushindi SIMBA, Mungu ipe roho ya Uvumilivu Al Ahly
  8. Makox

    Wazoefu naomba mnisaidie, nataka kuoa mwanamke wa kingoni, nini sifa zao kuanzia chumbani Hadi sebuleni?

    OA WAWILI MNGONI NA kabila jingine, ili mngoni awe wa kuazia tu maisha.
  9. Makox

    Mkuu wa Shule na Mzazi wa Mwanafunzi walinitengenezea zengwe hadi nikafukuzwa kazi

    Aliniomba msaada nimsaidie ni kitu gani afanye kwa kuwa hakuwa tayari kufanya vile. Hata hivyo naamini nilifanya kosa kumsaidia
  10. Makox

    Tetesi: Hospitali ya Ipamba wagonjwa na wauguzi hupotea tu

    Hizi habari hazipo mashuleni, bali zipo mtaani hasa kwa watu wazima. Mata nyingi mtu anapoenda kuuguza mgonjwa wake kule hupewa tahadhari na wanaofahamu. Wanafunzi wanavokuwa shuleni ni wachache sana ambao hupata habari za uraiani hususani wanafunzi wa shule za bweni kama Tosamaganga
  11. Makox

    Mkuu wa Shule na Mzazi wa Mwanafunzi walinitengenezea zengwe hadi nikafukuzwa kazi

    Naomba usome tena vizuri bila hisia hasi naamini utaelewa ni kwa nini nilifanya vile. Pia fikiria mfano angekuwa yule mama ni dada yako au mke wa kaka yako ungeacha anyanduliwe tu?
  12. Makox

    Tetesi: Hospitali ya Ipamba wagonjwa na wauguzi hupotea tu

    Hizo habari ni za kweli, lakini huwa ni kama za siri sana kwani hata ikitokea huwa hakuna kwa kulalamika kutokana na mazingira ambayo watu huwa wanapotea. Wapo wenyeji wenye uwezo wa kuthibitisha uwepo wa matukio hayo hasa wale wa mazingira ya vijiji vya jirani (Njiapanda, Kitwiru, Tanangozi...
  13. Makox

    Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

    Kama waziri ameamua kutumia mitihani kwa walimu ili kukomesha vimemo vya viongozi kutaka watoto na jamaa wa viongozi wakubwa waajiriwe, VIONGOZI WA KIISLAMU wanashindwaje kutuma vimemo kwa DADA YAO apachike elimu ya kiislamu liwe somo wakati MASHEHE WAPO JOBLESS MITAANI na wanaitwa WAALIMU...
  14. Makox

    Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

    Kwa comment hii ipo haja ya kuendelea kutafakari zaidi🤔 🤔 🤔
  15. Makox

    Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

    Hakuna ubaya hasa ikiwa ni tahasusi kwenye upande wa tahasisi za kidini siyo kwenye tahasusi muhimu kama hiyo. (mtizamo wangu) Kuwa mshamba si jambo baya, ni hatua ya kupitia ili kujua mambo makubwa. Wanapaswa wajifunze ili wakue na maadili mema kwa ujumla wote kwa pamoja bila kujali tahasusi...
  16. Makox

    Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

    Kumbe hoja hapa ni kuhusu uzuri wa jina au kitakachosomwa natafakari hasa juu ya mambo mawili; Mafanikio ya mmiliki wa Elimu yake na Mafanikio ya Serikali kutoka kwa Mmiliki wa elimu.
Back
Top Bottom