My take,
Wataalamu wa forensics wazipime hizo bullets zilizo kutwa kwa mwili wa lisu na zilizokutwa kwa gari na ndio mtajua siraha iliyo tumika na mmiliki kama record za siraha ziko sahihi.
One of the very terrified mistake attempted kwa walio tumwa hii yaweza leta machafuko ndani ya nchi...
Ki interijensi vyombo vya ulinzi na usalama havikupasa kujibu sana kwa vitisho,walitakiwa ku run black and unseen operations.
Hawa watu wanasoma sana mitandao na wanapata updates na more skills kwa social network if stop talking too much about then ndio watakuwa blind
Hiii mikataba ya ACACIA ni ya kisheria zaidi soo wanasheria ndio kwakiasi kikubwa wangempinga Lissu ila wanasheria wamepiga kimya wakijua fika ishu iko kisheria sana na lissu avyo ichambua nae asikilizwee pia tusiwe washabiki hili fumbo lapaswa fumbuliwa wananchi walijue
Zimwi la Mwl Nyerere linawatafuna kwani CCM viongozi wao wamejaa viburi na kujiona wao ndio wao na ndio Wenye nchi, kuna maoono mengi sana mwl Nyerere Alisha ionya CCM esp kwenye vikao via chama ila CCM na viongozi wa sasa wanajifanya wamesahau na hawajui.
Juu ya uongozi Nyerere kisha waambia...
Mtabakia kuwa wajinga siku zote mtanzania akiambiwaga ukweli unatangaziwa Ati sio raia yale yale ya Generali Ulimwengu na mkapa administration matokeo yake mkapa anasema sorry uwekezaji ilikuwa tumekosea ideology yake tulipaswa weka Taasisi za kusimamia. Black tu ma blackiii kweli.
Haya ndio...
Hali ya watanzania na anawafuasi Wendi UVCCM kwa taarifa yenu ni hatare kwa wanaobishana na ukweli na kuungana na kind bashite.tatizo kuna watu ndani ya CCM wameingia tuu kukivuruga chama sasa wacha wakaangane yetu macho kwa Gjeshi letu lipo tayari mura
Sio kuwa hajaridhika na maamuzi ya rais hapana nikuwa kuna mgawanyiko na mpasuko mkubwa ndani ya CCM na serikali kwa ujumla kuna matabaka I mean so jiongeze utafahamu
Tume ni muhimu sana kumekuwa na nyendo zisizo na nani ndio commander incharge so inaleta image maya to White House mean ikulu inaonekana kuna watu wanatumia madaraka yao vibaya towards Raia na mali zao
Hapa ndipo JPM amejua wanafiki na sio wanafiki kwa taarifa yenu kunawatu visebusebu informers wa uongo walimdanganya sana JPM haya huyo Manasheria na katibu wa bunge yaani nawasikitikia sana na hao TISS
Wakuu me kwa upande mwingine wa shillingi Nadhani JPM amefurahi sana kwa TL kushinda urais wa TLS kwa Sasa ameisha gundua vilaza ni akinanani na atawanyoosha hao CCM sawa sawa si walitaka kura kumpinga Kasimu Maja hawa wakina pole pole sasa mwisho wao wakujipendekeza umefika TL atakuwa...
Hapo kweli ni kuwa na uvumilivu tuu yatapita ila name itakuja mtesa kabisa. Na chakunishanga zaidi hataki kukutamkia kuwa mapenzi naye yameisha anabakia kukuchora me hiyo Naona huyo hajui mapenzi nitamaaa zamsumbua ila itafika siku yake atakukumbuka wakati huo we unamaisha mengine tayari anakuja...
Ngojeni niwakumbushe kidogo hivi mnajua karibia mawakili wengi ambao wako hapo Dodoma Dar ambao wanavifront front Yao Kesho wanatakiwa anza safari kwenda Arusha AICC kupiga kura na wao. Yaani hii game inachekesha sana watu watatizamana vibaya na kuzodowana siku ya uchaguzi kutakuwa na ulinzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.