Bashe(Mb): Ipo siku watu watatafuta haki yao mtaani!

Huyo jamaa anaombea tuwe kama somalia walikotokea mababu zake jadi yao kama hawajaona damu ya binadamu inamwagika hawalidhiki watafanya kila njia ili imwagike lakini Tanzania haitatokea
 
Budget ya serikali haina uhalisia,mpango wa budget wa mwaka 2016,2017,2018 mambo ni yale yale.
Aishauri serikali kutenga pesa nyingi kwenye kilimo maana asilimia kubwa ya watanzania ni wakulima.
Hakuna fedha kutoka serikali kuu kwenye kwenye halmashsuri-ni ngumu kutekeleza shuguli za maendeleo.kinachokusanywa na halmashauri hutumika kuendeshea ofisi.

huyu bashe ni jipu ambalo litatumbuka lenyewe tu
 
Acha mambo ya kukaririshwa, hata juzi tuliona wakati Nape katubuliwa tena viongozi wakubwa upande ule wakamtetea hadi kumwita shujaa, baada ya Nape kusema ahondoki CCM wakageuka na kusema eti amevuna alichopanda, inaonekana baadhi yetu atushugulishi vichwa vyetu kutafakari mambo haya.
Naona Unapiga makelele tu mara nape mara upande wapili na takataka kibao umezija hapo hadi kichefuchefu lakin hujajibu swali langu nimekuuliza swali BASHE kafanya kosa gani huko CCM? Usiruke ruke kama maharage motoni.
 
Sasa ilikuwaje CCM wakampitisha kama mgombea kwenye uchaguzi wa 2015?? Kama hizo tuhuma ni za kweli?

Hujasoma comments ambazo ni za kweli kwenye hiyo link.

Just Take your time, read those comments you will catch up with this game,

The rule of the game is,,, ...

"Dont bring your name' Bring only your game"'
 
Atoke tu atuachie chama chetu
huyu bashe ni jipu ambalo litatumbuka lenyewe tu
Nyie vilazaa mbona mmekakamaa tu ohh otoke mara ooh atuachie chama tuna taka mtueleze BASHE amefanya kosa gani?? Maana nyie mnajinadi na kujifanya ooh CCM chama kinacho pokea kukosolewa mara ni chama cha Democracia , sasa watu wana ongea ukweli mnawachukia tena!!? Hiyo democrasia ya wapi yie mambururaz au ya vichochoro vya uwanja wa fisi? BASHE amefanya kosa gani?! Toen majibu sio mnaruka ruka kama vyura wa kihansi na siasa zenu za chuki na visasi .
 
Usitokwe na mapovu dada. huyo bashe ni jipu ambalo litatumbuka lenyewe tu
 
Huyo jamaa anaombea tuwe kama somalia walikotokea mababu zake jadi yao kama hawajaona damu ya binadamu inamwagika hawalidhiki watafanya kila njia ili imwagike lakini Tanzania haitatokea

Hadi wabunge wanajitoa mhanga , usiche nao.kabisaa naona serikali na bunge wanapaswa kumchukulia hatua Kali au kumuonya . Na Kama vipi, arudishwe kwao, alikotoka baba na mama yake, huko somalia.

Mfano, baba ake aliomba uraia mwaka 1987 mama yake hajawahi kuomba uraia ni msomali .

Bashe ameomba uraia akiwa na 25 years (amezaliwa 1975) hapo kote alikuwa wapi INA maana ni pandikizi katika nchi yetu na bila kuelewa amepewa vyeo sasa leo matokeo yake ndiyo hayo ya kutuletea siasa za somalia za kuingia mitaani na kujitoa mhanaga ndicho anachohamasisha kabisa !!

Dr. Kikwete alisema , Bashe, siyo RAIA. Wakaelewa,

Baadaye, sasa sijui nini kilichotokea., Masha akiwa waziri mambo ya ndani, akamsafisha tena!
 
Huyu Bashe kuna kitu anakitafuta

Hali ya watanzania na anawafuasi Wendi UVCCM kwa taarifa yenu ni hatare kwa wanaobishana na ukweli na kuungana na kind bashite.tatizo kuna watu ndani ya CCM wameingia tuu kukivuruga chama sasa wacha wakaangane yetu macho kwa Gjeshi letu lipo tayari mura
 
Usitokwe na mapovu dada. huyo bashe ni jipu ambalo litatumbuka lenyewe tu
Acha kutafuta wanaume huku wewe kima taja kosa lake ,maana hamana akili nyie bendera fuata upepo kama mikia ya mbwa , ACHA MANENO WEKA KOSA LA BASHE HAPA nadhan umesha jiona ulivyo kiokote wewe jingajinga, mnachuki za kike sana nyie kima , tena chuki hazima kichwa wala miguu , SEMA KOSA LA BASHE ndio swali unalo takiwa kujibu hizo nye*e zako peleka huko, hapa sema kosa sio kufuta mikumbo tuu kama misafara ya bata na wanae.
 
asante kwa matusi yako ila mtaisoma namba this time. wewe ni jipu na utatumbuka mwenyewe. watch out
 
Hadi wabunge wanajitoa mhanga , usiche nao.kabisaa naona serikali na bunge wanapaswa kumchukulia hatua Kali au kumuonya . Na Kama vipi, arudishwe kwao, alikotoka baba na mama yake, huko somalia.

Mfano, baba ake aliomba uraia mwaka 1987 mama yake hajawahi kuomba uraia ni msomali .

Bashe ameomba uraia akiwa na 25 years (amezaliwa 1975) hapo kote alikuwa wapi INA maana ni pandikizi katika nchi yetu na bila kuelewa amepewa vyeo sasa leo matokeo yake ndiyo hayo ya kutuletea siasa za somalia za kuingia mitaani na kujitoa mhanaga ndicho anachohamasisha kabisa !!

Dr. Kikwete alisema , Bashe, siyo RAIA. Wakaelewa,

Baadaye, sasa sijui nini kilichotokea., Masha akiwa waziri mambo ya ndani, akamsafisha tena!

Mtabakia kuwa wajinga siku zote mtanzania akiambiwaga ukweli unatangaziwa Ati sio raia yale yale ya Generali Ulimwengu na mkapa administration matokeo yake mkapa anasema sorry uwekezaji ilikuwa tumekosea ideology yake tulipaswa weka Taasisi za kusimamia. Black tu ma blackiii kweli.
Haya ndio mnayotaka mtuaminishe maneno ya Dolnad Trump African wanatakiwa watawaliwe tena, mana viongozi wao waliopo ni dictators yaani sijui kwa nini hiki kizazi kinajifanya kinapitia ideas za Mwl Nyerere wakati ndio kinavurunda kabisaaa hata kucopy na kupaste hamjui?

Jiongezeni

Nini maana ya Kazi tuu? Jirani akikuambia mzee si ulisema kazi tuu hapo je ?utasikia umetumwa na CUF chadema Act au lowassa yaani tunakuwa na akili finyuuu,

Hapa inamaanisha kuna makundi 3
1: kundi la JPM likisema neno lenyewe ni sahihi na ndio sheria na mkubali au msikubali ndio imepita hiyo

2:CCM mama wa Kambo Yao waki tamkaa tuu neno ni mamluki hao ati wamekosa tonge hawaitakii mema serikali ya awama ya 5.

3: Wapinzani /wakereketwa wa maendeleo kwa ujumla yaani ukinyanyua ndimi yako na kinywa chako tayari mnakuwa israel na wapalestina mzee mtashughulikiwa mpaka mataijua vyema

POLITICS IS BATTLE OF IDEAS
 
Yaani kama Magufuli hatatoa ruzuku kwenye pembejeo za kilimo na kupunguza kodi kwenye vifaa vya ujenzi hata afanyeje kazi yake haitaonekana!!
 
Naona sasa , Bashe afutiwe tu uraia, yaani yeye anachokiona kule somalia kwa wajomba zake ndicho anachotaka kutuletea huko Tanzania kuwa , watu waingie mtaani , anafurahia watu kufa?

Bashe, don't cross a margin line though your almost there!

Huyu msomali, amesema TISS kuna makundi, tena sasa hivi anahimiza watu kufanya fujo??

Aaaaghrrrr, come on , where is the government to take proper actions against this non- tanzania!!?
Nawe we mtanzania mkuu???
 
ni serikali ya kijinga pekee ambayo itaweza kukamata watu wake, tena wabunge!! haijatokea Tanzania, ukiamini hili unamtindio wa ubongo
Subiri aje akamatwe unaemfahamu,sasa sijui utakuja kutengua kauli au utaamua kupotezea as if u never said anything
 
Hadi wabunge wanajitoa mhanga , usiche nao.kabisaa naona serikali na bunge wanapaswa kumchukulia hatua Kali au kumuonya . Na Kama vipi, arudishwe kwao, alikotoka baba na mama yake, huko somalia.

Mfano, baba ake aliomba uraia mwaka 1987 mama yake hajawahi kuomba uraia ni msomali .

Bashe ameomba uraia akiwa na 25 years (amezaliwa 1975) hapo kote alikuwa wapi INA maana ni pandikizi katika nchi yetu na bila kuelewa amepewa vyeo sasa leo matokeo yake ndiyo hayo ya kutuletea siasa za somalia za kuingia mitaani na kujitoa mhanaga ndicho anachohamasisha kabisa !!

Dr. Kikwete alisema , Bashe, siyo RAIA. Wakaelewa,

Baadaye, sasa sijui nini kilichotokea., Masha akiwa waziri mambo ya ndani, akamsafisha tena!
Achukuliwe hatua kali kwa kosa gani alilolitenda??
 
Back
Top Bottom