Tundu Lissu: Am told, People at the top aren't thinking and acting rationally anymore...

Aliandika kuhusu wale wahuni kufungua kesi dhidi ya TLS ili kumuhujumu na ikatokea kweli. Ili namuonya uchwara aache upumbavu asitujaribu uvumilivu unamwisho.

Ngojeni niwakumbushe kidogo hivi mnajua karibia mawakili wengi ambao wako hapo Dodoma Dar ambao wanavifront front Yao Kesho wanatakiwa anza safari kwenda Arusha AICC kupiga kura na wao. Yaani hii game inachekesha sana watu watatizamana vibaya na kuzodowana siku ya uchaguzi kutakuwa na ulinzi wahatari utafikili lie siku ya kupiga kura.

Kwa Mara ya kwanza wanasheria na wao wataambiwa Kaeni nje ya ukumbi mita 100 na ukumbi wa AICC
 
Colleagues,

Reports circulating in social media that I may be arrested or even assassinated before the AGM should not be rubbished or discounted.

I too have been approached by persons in very high places informing me of the plans discussed here in Dodoma this past weekend.

I don't know the truth of the story but I've no reason to believe they're made up by the people who approached me. They told me people at the top aren't thinking and acting rationally anymore.

You see signs of this everywhere. My request is to circulate the information about these plots as widely as we possibly can.

Public awareness of these things is the best protection we can hope for. Should I be arrested before the AGM, I ask you to insist that I remain on the ballot.

Don't allow any attempt to remove me from the contest on account of my enforced absence. Remain steadfast.

By their words and deeds these past few weeks, these people stand completely exposed to the world in all their ugly nakedness.

Tundu Lissu
Again, I say that we've noble duty to protect and defend the defenders of the rule of law and human rights angainst evil planners.
 
usitumie tena kingereza maishani mwako unaweza fungwa na wazaliwa nacho.....acha ndugu usithubutu kutumia tena kiingereza
wakalimani wanakazi sana...haya njoo hapa ameendikaje huyu..basi muweke ndani jumamosi mtoeni na jumatatu kesi ya uchochezi na lugha isiyoeleweka na wengi ....ahaha ahaa TZ ya viwanda inakuja
 
Huyu LISU ameona CHADEMA inakufa kaona atokelezee TLS.
TLS wakimchagua LISU nitawashangaa sana maana mtu yuko busy na masiasa halafu mnampa kuongoza chombo ambacho kinahitaji mtu ambaye atakihudumia muda wote. Huyu anaweza kukosa muda wa kuwatumikia chama wanachama.
 
Huyu LISU ameona CHADEMA inakufa kaona atokelezee TLS.
TLS wakimchagua LISU nitawashangaa sana maana mtu yuko busy na masiasa halafu mnampa kuongoza chombo ambacho kinahitaji mtu ambaye atakihudumia muda wote. Huyu anaweza kukosa muda wa kuwatumikia chama wanachama.
Kanywe sumu sasa
 
Back
Top Bottom