Shigongo amvaa Tundu Lissu

Kua na kiongozi kama Lissu kwa nchi yetu hii ni bahati kwani wapo wasomi wengi tu tena manguli wa Sheria lakini hawana ujasiri kama aliokuanao lissu!
Anyways wanaotoka povu na watoke tu ila huo ndio ukweli!
 
PROFESSOR IS AN INTERNATIONAL TITLE HOW ABOUT FOOLISH ONE WHO KNOWN ONLY AT IKUNGI DISTRICT? TAKE CARE
Prof. Alikuja na Gulfstream, hawa kina mruma na osoro ni maporofesa wa kuwafelisha mabinti wanaogoma kuvua chupi!!!
 
Hiii mikataba ya ACACIA ni ya kisheria zaidi soo wanasheria ndio kwakiasi kikubwa wangempinga Lissu ila wanasheria wamepiga kimya wakijua fika ishu iko kisheria sana na lissu avyo ichambua nae asikilizwee pia tusiwe washabiki hili fumbo lapaswa fumbuliwa wananchi walijue
 
Mimi nina wasiwasi na URAIA wake. Haiwezekani mtu anakuwa ni wa kupinga na kuwatetea wezi kila siku. Kati ya watu wa AJABU huyu bwana ni wa AJABU kabisa.
Hata kama CCM walisaini mikataba mibovu, lakini sasa wameghairi makosa yao na wameamua kuyasahihisha tena kwa vitendo.
Lakini nashindwa kujua kama kwenye chama chake kuna watu wenye BUSARA. Kama wapo, kwa nini wanashindwa kumkanya?
Hawa ndio wanaweza kukabidhiwa nchi? La hasha. Hawawezi hata kidogo. Kwao uzalendo ni O.
Ninaamini saa ikifika atakuja kujutia maneno yake ya kuwatetea wezi wa rasilimali zetu.
 
Shigongo anatakiwa akosowe taarabu na bongo movie na wacheza kigodoro haya mengine ana danganya kuwa anaweza ruka wakati hana mbawa !!!!
 
huyu akaendelee kudili na wale wanaume wa dar wanywa maji mengi ili wawe weupe,huku kwa kina lissu akumfai
 
Huyu Shigongo si ni yule wa CCM alienyimwa UBUNGE pale jimboni BUCHOSA??!!!Kama ni yeye mwambieni atuache kidogo
Sio kunyimwa ubunge tu, bali pia kazurumiwa mahela ya T-shirts na hao hao wazee wa agwanda ya kijani.
Naona anajipendekeza kimtindo.
 
Tumsamehe bure nyumbu shigongo, akili yake imekaa ku-udaku udaku! Hana hata robo ya robo ya akili ya kusimama na Lisu. yeye taalumu yake ni kuvizia akina wema wanaenda mara ngapi chooni ili aandike auze vigazeti uchwara vyake.
 
Mimi nina wasiwasi na URAIA wake. Haiwezekani mtu anakuwa ni wa kupinga na kuwatetea wezi kila siku. Kati ya watu wa AJABU huyu bwana ni wa AJABU kabisa.
Hata kama CCM walisaini mikataba mibovu, lakini sasa wameghairi makosa yao na wameamua kuyasahihisha tena kwa vitendo.
Lakini nashindwa kujua kama kwenye chama chake kuna watu wenye BUSARA. Kama wapo, kwa nini wanashindwa kumkanya?
Hawa ndio wanaweza kukabidhiwa nchi? La hasha. Hawawezi hata kidogo. Kwao uzalendo ni O.
Ninaamini saa ikifika atakuja kujutia maneno yake ya kuwatetea wezi wa rasilimali zetu.
kipi walichosahihisha?
 
Na wewe Shitigongo ni wa kujua kusoma na kuandika tu vitabu vya Juma naRoza !
Wapi Acacia wamekubali, yaani weye unaamini wamekubali kulipa ?
Nyiemliozoea kuishi kwa kuunga unga ( kwanza lile deni la kofia umelipwa, maana si mliongeza bei mwenyekiti akashtuka au ) na siajabu sasa unatafuta kiki ya kulipwa ?

Kumbe huyu ni kada pia wa wale wa ndiyoooooo....basi naishia hapa.

Mfanyabiashara na kada wa Chama Cha Mapinduzi, Erick Shingongo amemnyoooshea kidole Tundu Lissu na kusema anashindwa kuelewa kwanini Mwanasheria huyo amekuwa ni mpingaji wa mambo mazuri na kusema jambo hili linamshushia heshima.

Erick Shigongo amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook na kusema yeye kwanza anapongeza hatua alizochukua Rais Magufuli juu ya sakata la madini na kudai kuwa limekuwa na matokeo chanya kwani kiongozi wa Barrick amelazimika kuja Tanzania na kubembeleza yaishe.

"Namheshimu sana Lissu, sana tu. Ni msomi wa sheria, tena mzuri tu! Lakini namshangaa, nashindwa kumwelewa kwa kitu kimoja kwamba kwa nini hawezi kukubali pale jambo jema linapofanyika? Mimi nadhani ni kujijengea heshima kubwa sana kuonyesha uzalendo pale nchi inapopambana na wizi wa maliasili ambazo hata hao Acacia wenyewe wameukubali, sasa kwa nini Lissu anaendelea kubeza kile kinachofanyika? Hakika hili linamshushia heshima" alisema Shingongo

View attachment 525174
 
Back
Top Bottom