Zitto Kabwe: Rais Magufuli amemzuia RC Makonda kutokea mbele ya Kamati ya Bunge

Badala ya wabunge kulialia kwetu sisi wananchi kwanini wasianzishe vuguvugu la kupiga kura ya kutokuwa na imani naye (Impeachment)?

Uwezo huo wanao maana namba wanasomeshwa wote bila kujali chama
 
Alishawaambia wabunge kuwa akisikia tu mambo ya impeachment anavunja bunge fasta warudi kwenye uchaguzi.
Dadeki...
Kitu ambacho sijakielewa.. Rais na bunge nani anauweZo wa kumuwahi mwenzake?
Ile dalili ya kufanya uchaguzi kabla ya 2020 sasa naona inakaribia kwa hali ya mambo yanavyoenda
 
Alishawaambia wabunge kuwa akisikia tu mambo ya impeachment anavunja bunge fasta warudi kwenye uchaguzi.
Dadeki...
Kitu ambacho sijakielewa.. Rais na bunge nani anauweZo wa kumuwahi mwenzake?

Lakini akivunja bunge ni kwamba lazima nae anaachia madaraka na uchaguzi unakuwa ni wa Rais na Wabunge. Je, ana uhakika yeye wa kurudi madarakani ukiitishwa uchaguzi mpya leo?
 
Hivi nyie mnalalamikia nini haswa juu ya Mh. Magufuli!?

Hapa kazi tu

Mtazoea pole pole

Magufuli oyeeeeee
 
Anaandika Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini Mhe Zitto Kabwe.
Rais Magufuli amemzuia RC Makonda kutokea mbele ya Kamati ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka kujibu tuhuma zake dhidi kudharau wabunge Kama Bunge lilivyoazimia
Hivi Watanzania wote kweli? Tunashindwa kudhibiti hii nguvu ya udikteta kweli?..... Hata kwa maandamano ya amani?
 
Hivi nyie wanaume wa Dar pamoja na machadema mnaogopa kuandamana kumtoa huyo zero katokea kijijini kabisa Kolomije, alifeli mara mbili mtihani wa darasa la nne na akapata zero.

Yote haya namlaumu Mbowe kwa kuzuia UKUTA
Kweli kabisa muraa ingekuwa huku kwetu mogabili/ Tarime tata nasema mbona tungekuwa tumesha mgecha kitambo sana! Hatutakagi dharau tata.
 
Hivi nyie wanaume wa Dar pamoja na machadema mnaogopa kuandamana kumtoa huyo zero katokea kijijini kabisa Kolomije, alifeli mara mbili mtihani wa darasa la nne na akapata zero.

Yote haya namlaumu Mbowe kwa kuzuia UKUTA

Hivi sisi wana dar tukiandamana tunakamnyanyue juu juu tumzamishe baharini huyo changu wa magu tutakosea, maana anajiona kama katuzaa wote anavotupelekesha wakati hawara yake mwenyewe hata kura hakushinda dar, waondoke mjini kwetu wahamie chatoo
 
Alishawaambia wabunge kuwa akisikia tu mambo ya impeachment anavunja bunge fasta warudi kwenye uchaguzi.
Dadeki...
Kitu ambacho sijakielewa.. Rais na bunge nani anauweZo wa kumuwahi mwenzake?

Mkuu kunatakiwa signature 20% ya wabunge (396) wasign ambao ni kama 79 hivi then liwakilishwe kwa spika siku 90 kabla ya kikao cha bunge alafu spika aunde jopo la watu nane mwenyekiti akiwa jaji mkuu kumchunguza rais wrong doing then likimaliza limpelekee spika na spika a table mezani ijadiliwe na baadae wapige kura na 2/3 ya wabunge wapige kura ya kumtoa ndio procedure ilivyo mkuu.

sasa swali la kizushi mpaka mnapata signature za hao twenty parcent (79) na siku tisini before ndio ipelekwe kwa spika rais hajajua tu? haaaaaaaaaaaa hapo ndipo jeuri ya mkulu ilipo. so kabla hamjafika kwa spika analivunja bunge then mnarudi kwenye uchaguzi na yy anaendelea kuwa rais mpaka rais atakapopatikana.

tulieni sindano ziwaingie jamaa amalize muda wake.
 
Nitashangaa wabunge nao kama wata-back off. Nao watumie madaraka yao ili kuhakikisha nchi hii haiumbiwi miungu watu. Ni Mungu tu ndiye mwenye mamlaka na madaraka makubwa, wengine hao mnaosema mnadanganyana tu.
 
Mkuu kunatakiwa signature 20% ya wabunge (396) wasign ambao ni kama 79 hivi then liwakilishwe kwa spika siku 90 kabla ya kikao cha bunge alafu spika aunde jopo la watu nane mwenyekiti akiwa jaji mkuu kumchunguza rais wrong doing then likimaliza limpelekee spika na spika a table mezani ijadiliwe na baadae wapige kura na 2/3 ya wabunge wapige kura ya kumtoa ndio procedure ilivyo mkuu.

sasa swali la kizushi mpaka mnapata signature za hao twenty parcent (79) na siku tisini before ndio ipelekwe kwa spika rais hajajua tu? haaaaaaaaaaaa hapo ndipo jeuri ya mkulu ilipo. so kabla hamjafika kwa spika analivunja bunge then mnarudi kwenye uchaguzi na yy anaendelea kuwa rais mpaka rais atakapopatikana.

tulieni sindano ziwaingie jamaa amalize muda wake.

Kwani ana mamlaka ya kuvunja Bunge bila sababu za msingi???? acha kupotosha....
 
Tunasubiri kwa hamu kusikia wabunge watachukua hatua gani dhidi ya makonda
Kama Zitto na kamati yake ya PAC pamoja na wabunge wote walishindwa kuchukua hata dhidi ya watuhumiwa wa Escrow hata hili pia watashindwa .
 
Alishawaambia wabunge kuwa akisikia tu mambo ya impeachment anavunja bunge fasta warudi kwenye uchaguzi.
Dadeki...
Kitu ambacho sijakielewa.. Rais na bunge nani anauweZo wa kumuwahi mwenzake?
Akivunja bunge maana yake tunarudi kwenye uchaguzi mkuu, na yeye anaingia kwenye kinyang'anyiro upya
 
Back
Top Bottom