Kwa mlio na matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu, waulizeni wana Ikungi

Yani kama ulikuwa kichwani mwangu....ninachojua Tundu Lisu sio mpya katika uongozi...tunamfaham na kipo cha kuangalia na kuona performance yake...

Kiujumla performance ya TL kwenye uwajibikaji ni extremly zero...wana Ikungi wanalia watoto wanakaa chini mashuleni kisa TL alihamasisha wananchi wasishiriki ktk kujiletea maendeleo...leo wanamlaani

Ukiangalia kwenye chama chake ndo usiseme hawajawa msaada wakuleta mageuzi ya kweli zaidi ya kuwalinda mafisadi na kutetea wauza unga mahakamani...

TLS under TL there is no bright future
Kumbe mmeumia wengi!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Awali ya yote, napenda kuwapongeza wanachama wa TLS kwa kufanikisha mkutano mkuu na uchaguzi wa viongozi wao. Demokrasia imetawala na aliyeshinda kashinda kwa sababu amepata kura za kuwazidi wenzake. Haina maana kuwa yeye ni bora zaidi ya wenzake. Kikubwa zaidi ni kuwaomba viongozi wapya watekeleze yale waliyoahidi ili kutimiza lengo.

Nawahurumia sana wale wenye matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu. Niwahakikishie kuwa baada ya mwezi mmoja, mtakuwa mmesahau nafasi ya hiyo taasisi katika jamii. Anayechaguliwa leo kwa mbwembwe kesho mtamguna na kumlalamikia kwa upendeleo wa dhati kwa chama chake. akiendekeza mahaba ya chadema na kusahau kuwa chombo hicho kipo kwa maslahi ya watu wa itikadi tofauti za kisiasa basi ajiandae kurushiwa virago mapema.

Jimboni kwake wanalalamika kila uchwao kutokana na nyodo na dharau zake kwa wananchi. Hakuna la maana analofanya zaidi ya kulalamika na kulia lia bungeni. Tumtakie kila la kheri katika uongozi wake ila akumbuke kuwa mtoto hakui kwa mama.
Kwahiyo wewe umejipanga kumsaidia vipi?????
 
sizitaki mbichi hizi. hahahah ndo basi tena

kama umekasirika Lissu kuwa rais wa TLS kasage chupa unywe.
 
Hivi Lizabon ulikuwa unajua TL anaflow kingereza kitamu vile?,
Hivi ni lini utathamini kiongozi wa nchi yako anayeweze kutangaza tunu za Taifa hili ikiwemo na lugha yetu adhimu ya Kiswahili? Ni lini utaacha unyonge mara umsikiapo mtanzania anaongea lugha ya kigeni mfano kifaransa, kicking, nakadhalika?
Kwa taarifa yako, kwa haya niliyokueleza, unabaki kuwa mtanzania ambaye hufai kutetea maslahi ya Taifa hili!(ni sikitika sana kwa sentensi hii ya mwisho ila sina namna)
 
Yani kama ulikuwa kichwani mwangu....ninachojua Tundu Lisu sio mpya katika uongozi...tunamfaham na kipo cha kuangalia na kuona performance yake...

Kiujumla performance ya TL kwenye uwajibikaji ni extremly zero...wana Ikungi wanalia watoto wanakaa chini mashuleni kisa TL alihamasisha wananchi wasishiriki ktk kujiletea maendeleo...leo wanamlaani

Ukiangalia kwenye chama chake ndo usiseme hawajawa msaada wakuleta mageuzi ya kweli zaidi ya kuwalinda mafisadi na kutetea wauza unga mahakamani...

TLS under TL there is no bright future

Mhh! Kumbe, ahsante kwa taarifa mkuu.
Hivi walikiwa wanalia kabla ya uchaguzi wa 2015 au Baada? Kama kabla kwa nini walimrudisha 2015?
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Awali ya yote, napenda kuwapongeza wanachama wa TLS kwa kufanikisha mkutano mkuu na uchaguzi wa viongozi wao. Demokrasia imetawala na aliyeshinda kashinda kwa sababu amepata kura za kuwazidi wenzake. Haina maana kuwa yeye ni bora zaidi ya wenzake. Kikubwa zaidi ni kuwaomba viongozi wapya watekeleze yale waliyoahidi ili kutimiza lengo.

Nawahurumia sana wale wenye matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu. Niwahakikishie kuwa baada ya mwezi mmoja, mtakuwa mmesahau nafasi ya hiyo taasisi katika jamii. Anayechaguliwa leo kwa mbwembwe kesho mtamguna na kumlalamikia kwa upendeleo wa dhati kwa chama chake. akiendekeza mahaba ya chadema na kusahau kuwa chombo hicho kipo kwa maslahi ya watu wa itikadi tofauti za kisiasa basi ajiandae kurushiwa virago mapema.

Jimboni kwake wanalalamika kila uchwao kutokana na nyodo na dharau zake kwa wananchi. Hakuna la maana analofanya zaidi ya kulalamika na kulia lia bungeni. Tumtakie kila la kheri katika uongozi wake ila akumbuke kuwa mtoto hakui kwa mama.
Jimboni wanalalamika lkn kila uchaguzi anapita kwa kishindo why wasiwape ccm wawaletee maendeleo
 
Imekuchomaaaa hadi kumoyo sasa umebaki unabwabwaja tuu... Kwan nani anataka makubwa sisi tunachotaka sizonje atambue wenye akiri hawamtuki na udikteta wake akawafanyie wajinga welevu ndo hao washafanya yao.... Ikikuuma sana lala
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Awali ya yote, napenda kuwapongeza wanachama wa TLS kwa kufanikisha mkutano mkuu na uchaguzi wa viongozi wao. Demokrasia imetawala na aliyeshinda kashinda kwa sababu amepata kura za kuwazidi wenzake. Haina maana kuwa yeye ni bora zaidi ya wenzake. Kikubwa zaidi ni kuwaomba viongozi wapya watekeleze yale waliyoahidi ili kutimiza lengo.

Nawahurumia sana wale wenye matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu. Niwahakikishie kuwa baada ya mwezi mmoja, mtakuwa mmesahau nafasi ya hiyo taasisi katika jamii. Anayechaguliwa leo kwa mbwembwe kesho mtamguna na kumlalamikia kwa upendeleo wa dhati kwa chama chake. akiendekeza mahaba ya chadema na kusahau kuwa chombo hicho kipo kwa maslahi ya watu wa itikadi tofauti za kisiasa basi ajiandae kurushiwa virago mapema.

Jimboni kwake wanalalamika kila uchwao kutokana na nyodo na dharau zake kwa wananchi. Hakuna la maana analofanya zaidi ya kulalamika na kulia lia bungeni. Tumtakie kila la kheri katika uongozi wake ila akumbuke kuwa mtoto hakui kwa mama.

Wakuu me kwa upande mwingine wa shillingi Nadhani JPM amefurahi sana kwa TL kushinda urais wa TLS kwa Sasa ameisha gundua vilaza ni akinanani na atawanyoosha hao CCM sawa sawa si walitaka kura kumpinga Kasimu Maja hawa wakina pole pole sasa mwisho wao wakujipendekeza umefika TL atakuwa anamwambia JPM flani na flani ni hovyo toa. CCM ni wanafiki sana si mmeona tu Mwakyembe Kaja na hoja yake ikatupwa Kule mjue fika CCM inamakundi na wanampotezaje JPM.
 
maendeleo yatoke wapi kama mtu kila siku yuko mahakamni ndg yangu?
Mahakama inafuta kesi kwa maombi ya dpp ama uzembe wa kushindwa kutafuta ushahidi mwezi haujapita kesi hyohyo inafunguliwa tena.
Kuna shd kubwa katika nchi yako
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Awali ya yote, napenda kuwapongeza wanachama wa TLS kwa kufanikisha mkutano mkuu na uchaguzi wa viongozi wao. Demokrasia imetawala na aliyeshinda kashinda kwa sababu amepata kura za kuwazidi wenzake. Haina maana kuwa yeye ni bora zaidi ya wenzake. Kikubwa zaidi ni kuwaomba viongozi wapya watekeleze yale waliyoahidi ili kutimiza lengo.

Nawahurumia sana wale wenye matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu. Niwahakikishie kuwa baada ya mwezi mmoja, mtakuwa mmesahau nafasi ya hiyo taasisi katika jamii. Anayechaguliwa leo kwa mbwembwe kesho mtamguna na kumlalamikia kwa upendeleo wa dhati kwa chama chake. akiendekeza mahaba ya chadema na kusahau kuwa chombo hicho kipo kwa maslahi ya watu wa itikadi tofauti za kisiasa basi ajiandae kurushiwa virago mapema.

Jimboni kwake wanalalamika kila uchwao kutokana na nyodo na dharau zake kwa wananchi. Hakuna la maana analofanya zaidi ya kulalamika na kulia lia bungeni. Tumtakie kila la kheri katika uongozi wake ila akumbuke kuwa mtoto hakui kwa mama.
Tuambie wewe jimbo unalotoka tuanzie hapo.
 
Mtoa maada anaelekea katika itikad za uchama hal ambayo kitu anachokizungumzia hakina ukaribu na uchamaViva lissu Viva

wapuuzi wapusuke najua wik nzma watoto watanyimwa hata pocket money kisa lissu kashinda waliopia kula ni wasomi wenye DEGREE MASTERS NA PHD zao leo hii mtu na chet cha lasaba failure unakuja kujikanyaga huku jf na maada zako za majungu
 
Ushauri wangu kwako Lizaboni; Tafuta kahawa unywe upunguze maumivu na sononeko la moyo. VIVA LISSU.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Awali ya yote, napenda kuwapongeza wanachama wa TLS kwa kufanikisha mkutano mkuu na uchaguzi wa viongozi wao. Demokrasia imetawala na aliyeshinda kashinda kwa sababu amepata kura za kuwazidi wenzake. Haina maana kuwa yeye ni bora zaidi ya wenzake. Kikubwa zaidi ni kuwaomba viongozi wapya watekeleze yale waliyoahidi ili kutimiza lengo.

Nawahurumia sana wale wenye matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu. Niwahakikishie kuwa baada ya mwezi mmoja, mtakuwa mmesahau nafasi ya hiyo taasisi katika jamii. Anayechaguliwa leo kwa mbwembwe kesho mtamguna na kumlalamikia kwa upendeleo wa dhati kwa chama chake. akiendekeza mahaba ya chadema na kusahau kuwa chombo hicho kipo kwa maslahi ya watu wa itikadi tofauti za kisiasa basi ajiandae kurushiwa virago mapema.

Jimboni kwake wanalalamika kila uchwao kutokana na nyodo na dharau zake kwa wananchi. Hakuna la maana analofanya zaidi ya kulalamika na kulia lia bungeni. Tumtakie kila la kheri katika uongozi wake ila akumbuke kuwa mtoto hakui kwa mama.
Kama mwenyekiti wa ccm alivyo na upendeleo na chama chake hata akiwa kwenye ikulu isiyo ya chama, maamuzi ya kuongoza nchi anafanya kama vile anaongoza chama, amekuwa ni rais wa ccm zaidi kuliko rais wa tanzania.
 
Kwani huyo Jpm wako baada ya kuchaguliwa umeona post yoyote kutoka nje ya chama chake? Niambie waziri yoyote kutoka chama cha PONA au TADEA? Kwa nini unamuota Lissu utafikir mmeo?
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Awali ya yote, napenda kuwapongeza wanachama wa TLS kwa kufanikisha mkutano mkuu na uchaguzi wa viongozi wao. Demokrasia imetawala na aliyeshinda kashinda kwa sababu amepata kura za kuwazidi wenzake. Haina maana kuwa yeye ni bora zaidi ya wenzake. Kikubwa zaidi ni kuwaomba viongozi wapya watekeleze yale waliyoahidi ili kutimiza lengo.

Nawahurumia sana wale wenye matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu. Niwahakikishie kuwa baada ya mwezi mmoja, mtakuwa mmesahau nafasi ya hiyo taasisi katika jamii. Anayechaguliwa leo kwa mbwembwe kesho mtamguna na kumlalamikia kwa upendeleo wa dhati kwa chama chake. akiendekeza mahaba ya chadema na kusahau kuwa chombo hicho kipo kwa maslahi ya watu wa itikadi tofauti za kisiasa basi ajiandae kurushiwa virago mapema.

Jimboni kwake wanalalamika kila uchwao kutokana na nyodo na dharau zake kwa wananchi. Hakuna la maana analofanya zaidi ya kulalamika na kulia lia bungeni. Tumtakie kila la kheri katika uongozi wake ila akumbuke kuwa mtoto hakui kwa mama.
Ikungi wanajuuuta kumchagua Lissu!
 
Yaaani mafisi yameumia yataongea kila kitu
 
Mkuu wewe ni mtabiri wake?
 
1. Vyeti vya form 4
2. Vyeti vya form 4
3. Vyeti vya form 4
4. Vyeti vya form 4
5. Vyeti vya form 4
6. Vyeti vya form 4
7. Vyeti vya form 4
8....
9....
 
Back
Top Bottom