Kwa mlio na matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu, waulizeni wana Ikungi

Lizabon Apuuzwe Huyo ni Kibaraka wa Shetani Siku Zote Akili Zake Zinamtuma Kuwa Anaefaa Kuongoza Kwenye Uongozi Wowote Tz Shart Awe Anatokea Ccm Ukada Unamsumbua.

Kampeni Zimekwisha Uchaguzi Umepita Jipangeni Awamu Nyingie Kwa Sasa Picha the End.
 
Yani kama ulikuwa kichwani mwangu....ninachojua Tundu Lisu sio mpya katika uongozi...tunamfaham na kipo cha kuangalia na kuona performance yake...

Kiujumla performance ya TL kwenye uwajibikaji ni extremly zero...wana Ikungi wanalia watoto wanakaa chini mashuleni kisa TL alihamasisha wananchi wasishiriki ktk kujiletea maendeleo...leo wanamlaani

Ukiangalia kwenye chama chake ndo usiseme hawajawa msaada wakuleta mageuzi ya kweli zaidi ya kuwalinda mafisadi na kutetea wauza unga mahakamani...

TLS under TL there is no bright future
Sasa kama mliona hakuna bright future mbona mmehangaika naye ili asiweze kugombea hiyo nafasi si mngeachaa tu
 
Sizonje lazime akurupuke siku 2 hizi hawawezi kupigwa KO akakausha lazima atafute jambo aamke nalo,msishangae akatumia OMO kumsafisha Bashite ilimradi tu mkasirike.
 
Wakati mwingine uwe unakaa kimya lol.. Hata uso wa mlevi nao una chembechembe za haya..
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Awali ya yote, napenda kuwapongeza wanachama wa TLS kwa kufanikisha mkutano mkuu na uchaguzi wa viongozi wao. Demokrasia imetawala na aliyeshinda kashinda kwa sababu amepata kura za kuwazidi wenzake. Haina maana kuwa yeye ni bora zaidi ya wenzake. Kikubwa zaidi ni kuwaomba viongozi wapya watekeleze yale waliyoahidi ili kutimiza lengo.

Nawahurumia sana wale wenye matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu. Niwahakikishie kuwa baada ya mwezi mmoja, mtakuwa mmesahau nafasi ya hiyo taasisi katika jamii. Anayechaguliwa leo kwa mbwembwe kesho mtamguna na kumlalamikia kwa upendeleo wa dhati kwa chama chake. akiendekeza mahaba ya chadema na kusahau kuwa chombo hicho kipo kwa maslahi ya watu wa itikadi tofauti za kisiasa basi ajiandae kurushiwa virago mapema.

Jimboni kwake wanalalamika kila uchwao kutokana na nyodo na dharau zake kwa wananchi. Hakuna la maana analofanya zaidi ya kulalamika na kulia lia bungeni. Tumtakie kila la kheri katika uongozi wake ila akumbuke kuwa mtoto hakui kwa mama.
Kama mkulu anavyo pendelea chama chake
 
Huyu lizaboni sijui alirogwa na nani?
 
Usiyempenda kaja! Kama Mavi yanawauma mkanye. N.a. usitegemee afanye kama jamaa yenu anayetaka kubania hata salami kwa wengine, kisa itikadi tofauti.Tls ni taasisi ya wana taaluma n.a. si siasa.
 
Yani kama ulikuwa kichwani mwangu....ninachojua Tundu Lisu sio mpya katika uongozi...tunamfaham na kipo cha kuangalia na kuona performance yake...

Kiujumla performance ya TL kwenye uwajibikaji ni extremly zero...wana Ikungi wanalia watoto wanakaa chini mashuleni kisa TL alihamasisha wananchi wasishiriki ktk kujiletea maendeleo...leo wanamlaani

Ukiangalia kwenye chama chake ndo usiseme hawajawa msaada wakuleta mageuzi ya kweli zaidi ya kuwalinda mafisadi na kutetea wauza unga mahakamani...

TLS under TL there is no bright future
Like mna akili kuliko wapiga kura wa TLS nyambaf zenu!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Awali ya yote, napenda kuwapongeza wanachama wa TLS kwa kufanikisha mkutano mkuu na uchaguzi wa viongozi wao. Demokrasia imetawala na aliyeshinda kashinda kwa sababu amepata kura za kuwazidi wenzake. Haina maana kuwa yeye ni bora zaidi ya wenzake. Kikubwa zaidi ni kuwaomba viongozi wapya watekeleze yale waliyoahidi ili kutimiza lengo.

Nawahurumia sana wale wenye matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu. Niwahakikishie kuwa baada ya mwezi mmoja, mtakuwa mmesahau nafasi ya hiyo taasisi katika jamii. Anayechaguliwa leo kwa mbwembwe kesho mtamguna na kumlalamikia kwa upendeleo wa dhati kwa chama chake. akiendekeza mahaba ya chadema na kusahau kuwa chombo hicho kipo kwa maslahi ya watu wa itikadi tofauti za kisiasa basi ajiandae kurushiwa virago mapema.

Jimboni kwake wanalalamika kila uchwao kutokana na nyodo na dharau zake kwa wananchi. Hakuna la maana analofanya zaidi ya kulalamika na kulia lia bungeni. Tumtakie kila la kheri katika uongozi wakeila akumbuke kuwa mtoto hakui kwa mama.

Lizaboni a.k.a Mwakyembe#2,
Ulichoongea ni upumbaf mtupu. Yaani umeongea kinafiki ajabu! Kinachoonekana hapa ni chuki na wivu wa kike wa kwann TL kaichukua TLS na sasa ita sound better zaidi yaani TUNDU LISSU SOCIETY(TLS)!
Hakuna maneno ya kuwaambia wana CCM, Rais wao na serikali yao kuwa WENYE WIVU WAJINYONGE!
Unapoleta maneno ya umbeya ati Wananchi wa jimbo lake wanalia ni upuuzi! TL kwa sasa ni mara ya 2 au A2 anaingia mjengoni pamoja figisu za CCM kutaka kumzuia TL kugonga mwamba !
Tuseme ukweli JK aliwahi kusema kuwa TL mmoja ni sawa na Wabunge 10 wa CCM!
 
Yani kama ulikuwa kichwani mwangu....ninachojua Tundu Lisu sio mpya katika uongozi...tunamfaham na kipo cha kuangalia na kuona performance yake...

Kiujumla performance ya TL kwenye uwajibikaji ni extremly zero...wana Ikungi wanalia watoto wanakaa chini mashuleni kisa TL alihamasisha wananchi wasishiriki ktk kujiletea maendeleo...leo wanamlaani

Ukiangalia kwenye chama chake ndo usiseme hawajawa msaada wakuleta mageuzi ya kweli zaidi ya kuwalinda mafisadi na kutetea wauza unga mahakamani...

TLS under TL there is no bright future
Endelea kuongea pumba zako za sizonje
 
Madawati analeta lissu au serikali?? Serikali mfu imeshindwa kutimiza wajibu wake!
 
Wananchi wa ikungi tunajuta kumchagua huyu jamaa, maana tangu aukwae ubunge mambo ni magumu sana huku kwetu, kipindi cha njaa kagoma kabisa kutoa msaada wa chakula kwa wananchi, mahospitalini hakuna madawa wala madaktri wa kutosha, tukimuuliza anasema hawezi kuajili mpaka amalize uhakiki kwa maana hiyo sie tuendelee kufa tu mpaka siku uhakiki ukifika tamati. Katika elimu ndo kaharibu zaidi, tunamshukuru rais kwa elimu bure lakini huku ikungi hatuna walimu wa kutosha wala madalasa, wanafunzi tunasomea chini ya miti. Haya yote kwa sababu ya huyu mbunge wetu tundu lissu, japo anajisifu kwa makusanyo makubwa yaliyo vuka viwango lakini huku kwetu mambo bado sio mazuri, ninaapa uchaguzi ujao sitompa kula yangu tena.
Nimekuelewa vizuri sana mkuu,makusanyo yamevuka kiwango ila huduma ziiii
 
Yani kama ulikuwa kichwani mwangu....ninachojua Tundu Lisu sio mpya katika uongozi...tunamfaham na kipo cha kuangalia na kuona performance yake...

Kiujumla performance ya TL kwenye uwajibikaji ni extremly zero...wana Ikungi wanalia watoto wanakaa chini mashuleni kisa TL alihamasisha wananchi wasishiriki ktk kujiletea maendeleo...leo wanamlaani

Ukiangalia kwenye chama chake ndo usiseme hawajawa msaada wakuleta mageuzi ya kweli zaidi ya kuwalinda mafisadi na kutetea wauza unga mahakamani...

TLS under TL there is no bright future
Vipi kuhusu rais na mawaziri? Hawatakiwi kiwajibika kwa wananchi wa jimbo la mh TL? Acheni kujifanya hamjui majukumu ya mbunge
 
Hata baba J alipochaguliwa watu wengi tulikuwa na matumaini naye. Lakini sasa tunaomba siku ziende kwa kasi tuepukane naye.
 
Back
Top Bottom