Search results

  1. P

    Nisaidieni ushauri kuhusu pesa ya kujikidhi(boom) niliyokuwa naitunza

    Wakuu mdogo wenu nipo njia panda, naomba ushauri wenu. Mimi ni wanafunzi wa mwaka wa tatu hapa Duce nachukua bachelor of science with education biology na geography. (Umri wangu ni miaka 23) Wakuu nimetunza boom toka nipo mwaka wa kwanza hadi sasa na milioni nne na laki Saba kama reserve yangu...
  2. P

    Machozi, huzuni hakika usiku ngumu sana kwangu huu

    Africa ni wewe ulie barikiwa madini ya thamani, lakin raia wako ni maskini wakunuka katika utajiri wa kutuputwa. Ni wewe Africa ulie na wingi wa mito, bahari na maziwa lakini raia wako hawana usalama wa maji Safi, Africa wewe mwenye viongozi walafi tena wasio na utu, nani kakuroga Africa. Ni...
  3. P

    Nimeumia sana

    Ukipitia threads mbalimbali hapa JF, Unaweza dhani Wana JF wana upendo kwa taifa na vijana, binafsi nilikuwa naona JF ni jukwaa mahususi kwa kuwejenga vijana na taifa bora. Jambo la ajabu sana, siku ya jana nimepost Uzi juu appreciation yangu kwa Dkt. Haya Land, WanaJF wengi wameni-attack na...
  4. P

    Barua ya wazi kwako, Dr. Haya Land

    Kwako Mkuu Dr, Binafsi Mimi ni Kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 23, mwanafunzi mwaka wa tatu moja ya a chuo kikuu hapa jijini (DSM), binafsi Dr, naona wewe ni mtu humble, passionate na mwenye utu sana. Dr Haya Land, mm binafsi naona na mengi sana ya kujifunza Toka kwako hasa inje ya...
  5. P

    Serikali litazameni hili, la sivyo taifa la kesho litaangamia

    Wakuu. Bila ya kupoteza muda, afya ya akili ni jambo la muhimu Sana katika mstakabali wa taifa la sasa na kesho. Kama mnavyo-jua taifa la kesho ni vijana na watoto ambao wengi wao wapo kwenye tasisi za elimu yaaani shule za msingi, sekondali, vyuo vya Kati na vyuo vikuu. Vijana na watoto Hawa...
  6. P

    Maisha tunayoishi Watanzania na Waafrika ni aibu tupu

    Maisha ambayo raia wa Africa na Tanzania kwa ujumla tunaishi ni aibu, huzuni na mateso matupu. Maji shida, umeme shida, ajira hakuna, huduma za afya mbovu Yani Kila kitu tatizo. Waafrika na Tanzania kwa ujumla tunaishi katika umaskini wa kunuka ndani ya utajiri wa kutupwa. Hakika hii ni laaana...
  7. P

    Ushauri wakuu kozi ya kusoma mtoto ambaye hakufaulu kidato cha nne

    Wakuu habari na dogo langu hapa (mtoto wa mama mdogo), Matokeo yake ya kidato Cha nne hayajawa mazuri sana kwani kapata division four. Hivyo mama mdogo kanitafuta nitoe ushauri juu ya fani ipi dogo akasome veta, binafsi nimeona kozi ya fashion designing, sewing and cloth technology itamfaa...
  8. P

    1:7:4:2:3+ wanachuo

    Enyi wana jf elimu ni kazi kama kazi nyingine, kijana anapo hitimu chuo ni haki yake sasa kupata nafasi ya ajira ili elimu yake imlipe kwa kutoa huduma kutokana na alicho somea. Sasa unakuta kijana yupo chuo kijikatia tamaa kuwa ajira hazipo mara oooh wahitimu ni wengi wapo kwa streets...
  9. P

    Kwa Mungu wa taifa langu

    Sifa na utukufu vina yeye tu, muumbaji wa mbingu na dunia yeye aketi-ye mahali pa-juu sana. Dunia inaelea katika anga, kwa sababu ya nguvu zake Mungu. Yeye alie na mwanzo na asie na mwisho. Yeye anae unganisha tone la manii na yai la mwanamke mtoto anapatikana. Sifa Zina yeye Mungu ashie...
  10. P

    Ni ushahidi wa wazi juu ya kuwepo kwa wizi na ubadhirifu mkubwa unaoendelea katika Taifa letu

    Shalom in advance wakuu. Ni ushahidi wa wazi juu ya kuwepo kwa wizi na ubadhirifu mkubwa unao endelea katika taifa letu, pesa za walipa Kodi maskini zina nufaisha watu wachache na familia zao. Kila taasisi hivi sasa inanuka wizi, Kisha tunabaki kulaumiana. Licha ya serikali kuweka Sheria...
  11. P

    Naombeni utaratibu wa kuonana na Rais Samia

    Wakuu habari za jioni. Ni mimi kijana mzalendo wa taifa langu, pia mwanafunzi hapa mlimani , ndugu Wana jf nahitaji kuonana na MH: Daktari Samia Suluhu Hassan nipo na project proposal ya muhimu Sana ambayo itakwenda kuliokoa taifa hili na watu wote kwa ujumla. Najua wengi mtanidhihaki Lakini...
  12. P

    Yawezekana namkosea Mungu katika hili, lakini Sina chaguo

    Wakuu habari, Kama kijana pia mwanafunzi Hapa Duce mwaka wa tatu, kuna jambo moja ambalo siku ya leo nakwenda kufanya maamuzi na sijui hatima yake itakuwa vipi. Kuna binti mmoja hapo IFM, naye ni mwaka wa tatu ametokea kunipenda sana toka yupo first year (tulikutana kwenye issues za kidini)...
  13. P

    Msaada kujua mfumo wa serikali unaotumiwa na serikali kuchagua waajiriwa

    Wakuu habari, Naomba msaada kwa yeyote anae jua ni mfumo upi( software program) inayotumiwa na serikali kuchagua majina ya watu kwa ajira baada ya graduate kufanya maombi pale nafasi zinapo tangwaza. Naombeni hivi sasa, babu yangu wa Tanga anahitaji afanye mambo kidogo( system manipulation).
  14. P

    Naomba mada nzuri ya Utafiti wa Kisayansi itakayotikisa Duniani

    Hope ni wazima. Wakuu nataka nifanye research itakayo tikisa dunia na ulimwengu wa sayansi kwa ujumla. Wakuu naomba mawazo yenu je nifanye juu ya topic ipi??
  15. P

    Nimepokea simu na email ambazo zinanipa wasiwasi na hofu

    Wakuu mdogo wenu nipo njia panda, Jana usiku sasa tatu kamili nime pigiwa simu na mwanamke aliejitambulisha kuwa ni mkurugenzi wa shule moja binafsi hapo jijini Arusha (jina nimelitunza O level hadi A level), lengo la simu yake amenambia kuwa wananihitaji katika shule yao mara baada ya kumaliza...
  16. P

    Nina hofu sana na hichi kilichofanywa na jeshi letu tukufu

    Baada ya kuona barua ya M23 wakilalamika juu ya kichapo wanachopewa na jeshi letu, wa Tanzania wengi wamefurahia Sana na mimi binafsi nimelipongeza sana jeshi letu tukufu. Lakini wasiwasi wangu ni juu ya usalama wa taifa letu hasa mkoa wa Kigoma uliompakani mwa Congo na Rwanda. Nawaza Kuwa...
  17. P

    Wakuu nipo wakati mbaya sana

    Wakuu kaka, dada,mama na baba zangu wa jf nipo kwenye Hali mbaya sana ya mateso ya kimawazo. Nahitaji mtu tu japo wakunielewa. Katika umri wangu huu mdogo naona Kila kitu kinaharibika naona Giza mbele yangu. Ndio na mwamini Mungu naamini katika nguvu zake, lAkin wakuu zangu nikikaa nakutazama...
  18. P

    Natamani kuwa na mahusiano lakini mabinti wanakataa kabisa. Nifanye nini?

    Toka primary, secondary, advance na hivi sasa chuo kikuu. Sijawi kuwa na mpenzi na hata marafiki wa kike na kutana na tu kwenye academic field only. Napata changamoto sana mana Kila binti nae mu approach anakataa na Wengine Wanasema wapo kwenye mahusiano Tayari. Nimejaribu kumuuliza moja ya...
  19. P

    Tumsaidie huyu binti kwa ushauri kulingana na matokeo yake kidato cha nne

    Wakuu tumsaidie huyu dogo mana nimekosa Cha kumshauri kwa Sasa, Matokeo ya Kidato cha Nne yametoka Huyu binti kapata Division Four ya 30. Civics D Kiswahili D History D Geography D Biology C Masomo mengine kapata F Je, sehemu ipi Inamfaa huyu binti?
  20. P

    Nipeni muongozo kaka, dada ,baba na mama zangu

    Mimi ni Kijana wa kitanzania nipo chuo mwaka wa tatu hapa Chuo kikuu Cha Sar es Salaam. Kutokana na tatizo la uhaba wa ajira nime develop wazo la biashara hili takapo maliza chakula; Wazo langu nataka nifungue kampuni ya chakula yaani itakayo kuwa inajihusisha na usambaji wa chakula cha...
Back
Top Bottom