Recent content by Mshana Jr

  1. Mshana Jr

    SoC04 Uzinduzi wa awamu ya Nne wa Shindano la Stories of Change 2024, Zaidi ya Tsh. Milioni 50 Kushindaniwa

    Lakini watanzania wamekuwa wepesi kudai haki pasipo kutimiza wajibu. Tunataka watanzania tutimize wajibu wetu wa kikatiba wa kuandika mawazo yetu. Kila wazo ulilokuwa nalo lina mshiko kwa sababu kila aliefanikiwa amejipanga.❤❤❤
  2. Mshana Jr

    Jacob Zuma ajiunga na upinzani ili kupambana na chama kinachotawala cha ANC!

    Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma (82), amezuiwa na Tume Huru ya Uchaguzi ya Afrika Kusini ili asigombea Ubunge wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 29 Mei 2024. Mh. Jacob Zuma alitaka kugombea kupitia uMkhontho weSizwe (MK), chama kipya kilichosajiliwa karibuni kikitumia jina la Jeshi la msituni...
  3. Mshana Jr

    Maisha ya baadaye ya watoto wetu yanahitaji wawe na Elimu, network na investment

    Sina sababu ya kueleza mengi sna kuhusu Elimu na investment kwa kuwa kila mahali yanazungumzwa na kurudiwa rudiwa. Lakini watu wote wanasahau element muhimu sana ya network. Network ni namna ambavyo unajijenga ndani ya kundi muhimu la marafiki, washirika, alumnus mbalimbali na ata wale wa...
  4. Mshana Jr

    TANZIA Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu Mtanzania mwezetu Michael a.k.a Mike kilichotokea Afrika Kusini

    Anaandika Mohamed Msangi, Mtanzania anayeishi SA __________ Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu, Mtanzania mwezetu Michael aka Mike mzaliwa wa Kinondoni. Mwaka 1999 Mike alihamisha makazi yake kutoka Tanzania kuelekea Mozambique akijishughulisha na biashara mbalimbali zikiwemo...
  5. Mshana Jr

    Je wajua haya kuhusu Tanga?

    1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara - Tanga 1893. 2. Shule ya kwanza ya Sekondari- Tanga 1890 (Tanga Old School). 3. Shule ya Kwanza (Anglikana) Tanzania 1848 - Tanga Magila Muheza. 4. Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani - Tanga Muheza, Ubwari 1949. 5. Hospitali ya Kwanza (1st Modern...
  6. Mshana Jr

    Mambo usiyoyajua kuhusu msitu wa Amazon

    (....Usipite bila Kusoma......) 1: Msitu wa Amazon ndio msitu mkubwa zaidi duniani unaopatikana huko America kusini. 2: kama ulifikiri msitu huu unapatikana Brazil pekee jibu ni hapana msitu huu umegawanyika katika nchi tisa nchi hizo ni Blazil 60% peru 13% colombia 10% na mataifa mengine kama...
  7. Mshana Jr

    Picha: Mipaka ya nchi mbalimbali duniani

  8. Mshana Jr

    Picha: Kuwa makini na bidhaa za online

    Cover hiyo[emoji23]
  9. Mshana Jr

    Picha: Kuwa makini na bidhaa za online

    Niliwahi kuagiza bastola nikaletewa kitoy kisichojaa kiganjani[emoji23]
  10. Mshana Jr

    Upendo wa kweli upo ama ni magumashi?

    Fundi huyu maskini alikuwa akichumbiana na msichana huyu mrembo mtandaoni. Siku moja msichana huyo alimwomba amtumie nauli ili aje kumtembelea. Fundi kijana alishangaa mno. Alidhani msichana huyo atamdanganya. Hakuamini msichana mrembo namna hii angetaka kuja kwake. Siku mbili baadaye...
  11. Mshana Jr

    Asili na maana ya DHL

    Kampuni maarufu duniani ya kusafirisha vufurushi ilianzishwa Mwaka 1969 na vijana watatu ambao walianza biashara ya kupeleka vifurushi mlango kwa mlango katika mji wa Plymouth Duster ya zamani huko Uingereza na taratibu milango isiyo na kifani ikaanza kufunguka! Adrian Dalsey, Larry Hillblom...
  12. Mshana Jr

    Uzi wa wala daku 2024

    Na hii ndio mida yake
Back
Top Bottom