Recent content by Kaka yake shetani

  1. Kaka yake shetani

    Iran wanaamini ajali hio ya kawaida. Je, Ni kweli?

    Iran vuguvugu ya utawala imeanza zamani kuwapinga na ili ndio anguko la iran kiserikali
  2. Kaka yake shetani

    Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

    Hii staili ya masanja ikaja kwa mc pilipili sasa kwa uwoya kwa mtindo huu wasanii watakuwa manabii,mashaik na wachungaji sasa
  3. Kaka yake shetani

    Serikali imvue uraia Maria Sarungi arudi zao Hungary

    unataka uraia hapate huyu
  4. Kaka yake shetani

    Mfahamu mwana zuoni wa kiislamu Gafur Gulam aliyewatetea wayahudi kipindi cha utawala wa NAZI

    Gafur Gulam (au Gafur Ghulam) alikuwa mwandishi maarufu na mshairi kutoka Uzbekistan, ambaye aliandika kwa lugha ya Kiajemi na Kiuigur. Alizaliwa tarehe 10 Mei 1903 na alifariki tarehe 10 Julai 1966. Gafur Gulam ni mmoja wa waandishi maarufu wa karne ya 20 kutoka Asia ya Kati na alichangia sana...
  5. Kaka yake shetani

    Nataka kuhamia Canada nikaishi huko naomba ushauri

    INGEPENDEZA ZAIDI TUKUPE NA LILE ROBOT LIKAKUSAIDIE
  6. Kaka yake shetani

    TMA yatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga Ialy Bahari ya Hindi

    ilo jina mlilolitoa linaweza kuwa na tabia ya emed PHD
  7. Kaka yake shetani

    Kafulila: Mwekezaji anayesambaza maji Jiji la Kigali Rwanda ameonesha nia ya kuwekeza kwa Ubia na Serikali ya Tanzania

    WIZARA YA MAJI MPAKA SASA NI JIPU JAPO KUWA NA MAZIWA ILA SIO YA WANAWAKE
  8. Kaka yake shetani

    Watanzania Wamelalamika na Kulaani Wachina Kufanya Biashara za Uchuuzi Badala ya Kuwa Wawekezaji Kama Vibali vyao Vinavyotaka

    Shida sio wao ni serikali yenyewe kutowawezesha wazawa kuanzia upatikani wa mikopo,njia rahisi mfano TRA NA KUINGIZA MIZIGO
  9. Kaka yake shetani

    Anayejua kuhusu huyu Roboti wa Tanzania anisimulie vizuri. Naona mitandaoni amekua gumzo

    Upigaji wa kuchekeza yani robot gani yule kazidiwa mpaka na kile kidude kinaitwa alexa cha majumbani
  10. Kaka yake shetani

    Nini kinasababisha ndoto za vijana wengi kufa?

    Neno "vijana taifa la kesho" lifutwe maana lijamweka kijana leo au sasa
Back
Top Bottom