Staphylococcus Aureus
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 1,764
- 2,762
Kwenu wataalam wa maroboti.
mi mwenyewe nataka kujuaAmetengenezwa wapi?
Kwan ni wa mtu binafsiUliza bei yake kwanza tuone!
Hata kama ni mdoli wa Nape lakini si amenunuliwa?Kwan ni wa mtu binafsi
😂😂😂😂hawajamtengeneza kumbeHata kama ni mdoli wa Nape lakini si amenunuliwa?
huyo ni Eunice ila hawajatuambia baba yake na urai wake na sijui kama ana namba za nida
Afu ni mzungu😂😂😂huyo ni Eunice ila hawajatuambia baba yake na urai wake na sijui kama ana namba za nida
nimeshangaa sana anapewaje ajira bungeni bila usailiAfu ni mzungu😂😂😂
Kifupi si kila technologia lazima iwe ina uhusiano na maji na umeme!😂😂
Jana condester bungeni alikuwa anampiga SPANA nape kuhusu roboti “Eunice”
Nasikia tenda wamepewa vijana kutoka South Africa kutengeneza hicho kitu, na wanasema kuna operator ambaye anafanya kazi ya kujibu kwa remote maalumu. Kwa maana kwamba kazi iliyofanyika bado haina ufanisi.
Na wameishia kumuita mdoli wa Nape.
Mimi nipo hapa kuuliza kwa ndugu zangu Watanzania.
Huyu roboti anamsaidia vipi raia ambaye huduma za kijamii kama zahanati vijijini, barabara mbovu, maji na mengineyo kuyatatua?
Jamani Kaka yangu Pascal Mayalla naomba unisaidie nijifunze kitu.najua unashinda sana bungeni.
Nisaidie faida za huyu roboti katika maendeleo ya taifa.
Jamii ya watanzania ni ya watu weusi kwann ututengenezee mdoli mweupe kana kwamba si ni wazungunimeshangaa sana anapewaje ajira bungeni bila usaili
jina angeitwa Hidaya ingependeza zaidi
Wait....anaishi kwa nape? Siku zote alikua wapi lakiniHata kama ni mdoli wa Nape lakini si amenunuliwa?
Nashukuru mkuu.Kifupi si kila technologia lazima iwe ina uhusiano na maji na umeme!
Naomba nikuweke sawa hapa!!
Ingawa wameboronga lakini kila kitu kuhusianisha na mwananchi wa kijijini au wa huko nachingwea au namtumbo si sawa
Robot kama robot anaweza asiwe na faida zenye mantic kubwa ila akawa ni taswira ya uwezo wa kitechnologia wa nchi husia kilipo fikia !! Hii inatoa picha ya matumizi na uwezo wa technologia ya maeneo mengine.Nashukuru mkuu.
Japo nilikuwa nazungumzia vipaumbele. Kama bado kuna huduma za kijamii ni ndoto baadhi ya sehemu, Kwanini tusitangulize vipaumbele kwanza?
Ndio maana nikataka kujifunza roboti yule ana faida gani japo Tatu?
Maana serikali ipo kwa ajili ya wananchi wa Tanzania.
Ahsante kwa marekebisho.