Yaani Nawaza Kisichowezekana
Nimejiuliza sana, nikajiuliza tena na tena, hivi kwa nini Watoa Huduma wote wanatakiwa wawe na vyeti vya kufuzu masomo yao, na kama haitoshi, pale wanapotaka kufanyakazi wanapaswa wawe na leseni.
Mfano Madaktari, Walimu, Mafundi wanatakiwa wawe na vyeti vya ufauru...
Hii ni Aburani na ahadi Iliyowekwa Siku za Nyuma na Umoja wa Mataifa, Kuwa Kutakuwa na Siku Maalumu ya Kusheherekea Lugha ya Kiswahili Duniani Kila Mwaka.
Hii ni Abra nzuri kwa sisi wazungumzao lugha hii Adhwimu ya Kiswahili kujadili Mustakabali mzima wa lugha yetu.
Basi na Sisi Waswahili Tuwe...
Baada ya Maghribi, Mitaa ya Kariakoo
Nipo jijini Dar es Salama, vitongoji vya mitaa ya Kariakoo, unyounyo na rafiki yangu, tukitembea sako kwa bako, hamadi kibindoni tukajikuta tupo mtaa ya Msimbazi, kona na mtaa wa Magila.
Kwenye kijiwe hiki cha Kahawa, kumekusanyika wazee kwa vijana wapo...
Vijana wengi wa Kitanzania Wanatumia Dawa za Kuongeza Nguvu za Kiume. Tatizo ni Nini?
Hivi karibuni, nilibahatika kusafari na kutembelea jiji la Dar es salaam Tanzania. Jiji la Dar ni jiji lililo sheheni kila aina ya biashara. Na moja ya biashara iliyopata umaarufu sana hivi karibuni ni...
Nakumbuka Mara ya Mwisho Kuzitia Kinywani Ilikuwa ni Zaidi ya Miongo Mitatu na Nusu Iliyopita Tukiwa Mandarini.
Porojo na Ndarire bila Ndaro za Fikra Nasaha
Njugumawe zile zilivuta tamaa na Ghamu, iliyoletwa na njaa pamoja na Raghba tulizokuwa nazo kutwa nzima, zilikuwa zimeungwa kwa tui la...
Ni Kupunguza Wimbi la Kurejea Kwenye Uhalifu
Kila Mwaka, Tunaposheherekea Sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania), Ambaye Pia ni Amiri Jeshi Mkuu, Hutoa Msamaha wa Wafungwa, Kwa Idadi Inayopendekezwa na Magereza, Nchi Nzima Ikiwa Pia...
Nimeishi maeneo yenye wahuni, tangia wakiitwa majina tofauti kabla ya kuitwa Panya road... Kabla ya hapo wapo waliojiita "MBWA MWITU, MWENDO WA NEEMA, MASACCARA, UKITAKA UBAYA DAI CHAKO n.k."
Panya road, ni marejeo ya vikundi ambavyo vilikuwepo zamani kisha vikapotea na kuibuka vingine...
An Extensive 5 Year Reforms Program for the Youth - Panya Road
Hata Wafungwa Wanaweza Kufaidika Kwenye Programu Hii.
Tuwatumie Panya Road, Kuimarisha Uchumi kwa Kutoa Mafunzo ya Uzalishaji, Ufundi na Kazi za Amali, Mila, Utamaduni na Uzalendo.
Haya Matukio ya Panya Road, yananikumbusha tukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.