Recent content by aBuwash

  1. aBuwash

    Utajiri wako uko kwenye uaminifu, kujituma, na kuweka aibu pembeni

    Matajiri kitu kikubwa kinachowabeba ni connection ya kujuana na watu na lile jina lao bas ndo maana hata aamke hana hela leo hii tajiri ni ngumu kufanya kaz anazofany maskini . Atapiga sim kwa watu watatu teal ukute ameshaeleweka watu wanampa mzgo matajili wengi weng wanabebwa na majina yao ila...
  2. aBuwash

    Nahitaji mtu aliepo Morogoro, Ifakara anipe ABC za mchele sasa hivi?

    Huko si nasikia barabara hazipitiki mafuriko yamezingua au asaiv zishatengenezwa
  3. aBuwash

    Biashara ndo zinachangamoto hivi aisee? Msaada tafadhari

    Sasa kama haijatimia unafanyaje na unamwambia haijatimia anakwambia lete tuhesabu
  4. aBuwash

    Nahitaji mtu aliepo Morogoro, Ifakara anipe ABC za mchele sasa hivi?

    Natumai wote mko sawa humu ndani. Naombeni msaada mtu yeyote au mfanyabiashara yeyote aliyepo Dar anipe maelekezo vizuri kuhusu mchele. 1. Bei zipoje sasa mashineni 2. Je ni kweli muda si mrefu bei zitashuka na zikishuka huwa zinafikia bei gani 3. Usafiri mpka dar kwa kilo mia bei gani na...
  5. aBuwash

    Biashara ndo zinachangamoto hivi aisee? Msaada tafadhari

    Kweli kabisa mara ya pili sikuhesabu tena nilichogundua ni kuhesabu hela mara mbili mbili
  6. aBuwash

    Biashara ndo zinachangamoto hivi aisee? Msaada tafadhari

    Kwelii mzeee wewe umenena kwaiyo nini kifanyike
  7. aBuwash

    Biashara ndo zinachangamoto hivi aisee? Msaada tafadhari

    Bro nimehasabu mara kumi kumi yani hii aisee afu yule jamaa hata hakutaka disscount
  8. aBuwash

    Biashara ndo zinachangamoto hivi aisee? Msaada tafadhari

    Y Yani watu mnaongea kwamb nilihesabu vibaya bro ndo hela zote hizo nishindwe kustuka laki mbili na 77 nishindwe kujua kama hela hii haijatimia yani mtu akupe laki alafu uhesabu vibaya eti upate laki tatu na 87 kweli
  9. aBuwash

    Biashara ndo zinachangamoto hivi aisee? Msaada tafadhari

    Sas mtu kama anakeshi unafanyaje
  10. aBuwash

    Biashara ndo zinachangamoto hivi aisee? Msaada tafadhari

    Duh aisee ndo huwa haitokei tena hii
  11. aBuwash

    Biashara ndo zinachangamoto hivi aisee? Msaada tafadhari

    Mimi ni mfanya biashara mgeni kwenye nafaka sasa na leo ni siku ya pili kwenye hii biashara yangu. Kasumba niliyokutana nayo wadau ni kwamba kuna mteja alikuja kununua mchele kilo 170 na unga ndogo tatu thamani ya shilling laki tatu na 87. Ile hela kanipa nimehesabu kwa macho yangu imetimia...
  12. aBuwash

    Kwani ni lazima wauza nafaka wote jumla kuwa na mizani ile kubwa ya bei kubwa, hizi za digital hazifai kupimia magunia?

    Mimi nataka fungua nafaka jumla ila nashangaa wenzangu kila kona wana mzanii ile mikubwa kama hii. Sas nilikuwa nauliza ya digital haifai kwani kama hii kupimia magunia ya kilo mia.
  13. aBuwash

    Nahitaji dalali wa fremu Mbagala kwa ajili ya nafaka

    Naomba mtu yeyote anayemfaham dalali Mbagala awekee mawasiliano yake hapo chini nashida na fremu ILA IWE RANGI TATU PALE
Back
Top Bottom