Mzee Samuel Maikut (6O) amejikuta mikononi mwa polisi baada ya kwenda kwenye sherehe ya utambulisho na kutoa mahari akiwa mikono mitupu.
Mzee Maikut ambaye ni mkazi wa Jimbo la Kitawoi, Wilaya ya...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amepuuzilia mbali wasiwasi wake kuhusu kuondolewa kwa nchi yake katika mpango maalum wa kibiashara wa Marekani na Afrika,AGOA.
Wiki iliyopita, Rais wa Marekani Joe...
Waziri wa fedha nchini Uganda, Haruna Kasolo ameripotiwa kulitaka bunge kupitisha mswada wa kuruhusu watu maskini kuwekwa katika mpango wa kucharazwa viboko na mijeledi kila wakati ili...
Mwenye taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa hawa magaidi yenye mlengo wa kiislamu, atapewa hela ndefu sana
Police have offered at least Shs40million for information leading to the arrest of...
Ugandan prosecutors on Monday charged the commander of a feared militia with terrorism and murder over the killing of two foreign tourists and their driver last month.
A commander in the Allied...
Rais Yoweri K. Museveni amesema Bajeti hiyo itakuwa ikitengwa kila mwaka ikiwa na lengo la ili kukuza ubunifu wa Kiteknolojia nchini humo pamoja na kuwapa motisha Wabunifu wanaoingia kwenye Soko...
Ombi langu kama Wabunge wa Tanzania nao wakiamua kama Wenzao wa Uganda ikitokea wenye Jukumu la Kunyonga Mashoga wakikosekana wasisite Kuwasiliana nami kwani naweza kutoa Kwao Ushirikiano...
Kwa mujibu wa Wizara ya Afya kupitia Idara ya Afya ya Akili, waliobainika kuwa kwenye hali hiyo ni Vijana wenye miaka kati ya 15 na kuendelea ambao wanakabiliwa na tatizo la Kushindwa Kuacha au...
Hii ni mvua ya rasha rasha Bado moto wenyewe,wakaze fuvu waone kitakachojiri.
Yaani Nchi Ina njaa umaskini Hadi mwisho harafu inatunishiana Misuli na Matajiri.
Walisema watakomaa vipi tena...
Mwasibota Bazzukulu!
Ndugu Rais Yoweri Kaguta K Museveni aliingia madarakani kama Rais nchini Uganda kwa njia ya mtutu wa bunduki, kama muasi dhidi ya serikali ya Milton Obote mwaka 1986, wakati...
Matukio kama haya ndio hufanya mapagan wasioabudu katika Mungu wanatushangaa sisi tunaoabudu maana mtu anakuja kabisa kupanga kuwalipua mabomu wakati mnaabudu ili mfe, huku akijiaminisha...
Rais Museveni ametoa agizo kwa serikali kuongeza mishahara ya walimu wanaofundisha programu za sayansi katika vyuo vikuu vya umma.
Agizo hili limetokana na taarifa iliyotolewa na Profesa Eli...
Norway imetangaza kufunga ubalozi wake nchini Uganda mwaka ujao kama sehemu ya mageuzi ya kina katika huduma zake za kigeni.
Taarifa iliyotolewa na ubalozi huo siku ya Ijumaa ilisema kuwa...
Wabunge nchini Uganda wamekataa pendekezo la serikali la kuruhusu wasichana wenye umri wa miaka 15 kupata tembe za kupanga uzazi ili kupunguza viwango vya juu vya mimba.
Naibu Spika Thomas...
Mahakama ya Jijini Kampala imetoa agizo kwa msimamizi wa kikundi cha WhatsApp (Admin), Allan Asinguza, kumrudisha tena mwanachama, Bwana Herbert Baitwababo, ambaye inasemekana aliondolewa bila...
Mwanasiasa mmoja wa kike wa Uganda ameibua hisia tofauti mtandaonibaada ya kukiri kwa ujasiri kuwa ameamua kujirejeshea gari la wagonjwa alilotoakama msaada kwa wapiga kura wake kwa matumaini...
Mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine amekamatwa na kuwekwa kuzuizini nyumbani kwake mara baada ya kukamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe leo aliporejea akitokea nje ya...
UGANDA: Kiongozi wa Chama cha Upinzani cha National Unity Platform (NUP), Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine amewekwa chini ya Ulinzi nyumbani kwake baada ya kukamatwa na Maafisa wa Usalama...
Mnamo mwaka 2021 mwanasiasa wa Uganda Evelyn Anite Kajik alishindwa uchaguzi wa ndani wa chama chake cha NRM katika manispaa ya Koboko dhidi ya mpinzani wake Dr Charles Ayume, mtoto wa Spika wa...
Kwa mujibu wa Irene Bateebe, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Serikali bado iko kwenye majadiliano na Mshirika kutoka China ambaye anatarajiwa kuwekeza karibu nusu ya Fedha za Ujenzi wa Mradi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.