Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

In a groundbreaking display of innovation, Team Imperial Tech from Rise and Shine Secondary School in Ntinda, Uganda, has emerged as this year’s regional champions of the Sahara STEAMers Grand...
0 Reactions
0 Replies
280 Views
Waziri wa masuala ya kigeni nchini Henry Oryem Okello amesema kwamba waganda wanaokufa njaa ni wajinga miezi kadhaa baada ya baadhi ya maeneo kukumbwa na njaa kutokana na mabadiliko ya tabia nchi...
0 Reactions
2 Replies
512 Views
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda na aliyekuwa mgombea urais Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine amesema kuwa leo Alhamisi polisi walikuwa wamezingira makazi yake na kumweka "chini ya...
0 Reactions
7 Replies
745 Views
Wanawake zaidi ya 100 wamehukumiwa kifungo cha Mwezi Mmoja jela na kufanya kazi za Jamii baada ya kukiri kuwatuma Watoto wao kuomba barabarani Jijini Kampala. Pia baada ya kifungo Wanawake hao...
0 Reactions
5 Replies
715 Views
Julia Sebutinde aliye mzaliwa wa Uganda alikuwa Jaji pekee katika jopo la Wanachama 17 wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kupiga kura dhidi ya hatua zote 6 zilizopitishwa na mahakama ya ICJ...
1 Reactions
1 Replies
758 Views
Chama kikuu cha upizani cha Uganda chini ya kiongozi wao Bob wine kimeagiza wa fuasi wao kupanda migomba (Ebitooke) kwenye mashimo ya barabara nyingi mbovu jinini kampala kama njia ya kushonikiza...
2 Reactions
7 Replies
925 Views
Magaidi ya ADF ambayo ni mlengo wa magaidi ya Islamic State (dola la kiislamu) yameuawa na wanajeshi wa Uganda na DRC, pia watoto na akina mama walioshikiliwa mateka wakombolewa. Jamaa...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 50, Kanu Mugwere, ameshambuliwa na watoto wake wakipinga uamuzi wake wa kutaka kuuza ardhi ya familia kwa shilingi milioni 1.5. Kulingana na taarifa, Mugwere...
0 Reactions
12 Replies
729 Views
Mwanaume mmoja amemfumania mkewe aliye mjamzito akifanya mapenzi hospitalini alikokuwa amelazwa akitibiwa malaria. Mwanamke huyo alilazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Apac nchini Uganda kwa siku...
12 Reactions
70 Replies
6K Views
Baada ya kufuata viwango vya kimataifa, Uganda inatarajia kuondolewa katika orodha ya ‘Grey List’ ya nchi dhaifu katika sheria za kuzuia ulanguzi wa pesa haramu na ufadhili wa ugaidi mapema mwaka...
0 Reactions
2 Replies
770 Views
The Ugandan government and Vitol Bahrain E.C., a Bahrain-based company, have chosen the port of Dar es Salaam to import oil, as part of efforts to promote economic relations between Tanzania and...
5 Reactions
1 Replies
582 Views
Kamati ya Bunge ya VVU/UKIMWI ya Uganda imepokea taarifa hiyo kutoka Mamlaka ya Taifa ya Dawa Nchini humo ambayo imekiri kufahamu Dawa za Kurefusha Maisha na Kunenepesha zimekuwa zikitumika kwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Takriban Watu 1,100 wameripotiwa kuambukizwa na Vimelea wa Ugonjwa wa #Kimeta unaosababishwa na Wanyama kama Ng'ombe, Kondoo na Mbuzi. kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) hadi sasa Watu 20...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Uganda ina makabila 56 na katika makabila hayo, kuna wanyankole lenye tabaka mbili Bahima na Biru, huku Wahima wakiwa ni wafugaji na Biru wakiwa ni wakulima. Leo ninakushirikisha utamaduni wa...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Uganda yadaiwa kusogeza mpaka na kuiba eneo la DRC 8km
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Rais Yoweri Museveni amezindua Mfumo wa Kielektroniki wa Kulinda Wawekezaji (EIPP) ambao unalenga kuwasaidia Wawekezaji wa Nje na Ndani kuripoti moja kwa moja katika Ofisi ya Rais malalamiko ya...
0 Reactions
3 Replies
642 Views
Amani iwe nanyi Nimekuwa nikifuatilia sana historia na makala mbalimbali kuhusiana na maisha ya Mwamba wa Africa, Hayati Idd Amin Dada. Nilichokuja kugundua kuwa huyu jamaa alichukiwa sana na...
8 Reactions
71 Replies
6K Views
Babu, kikongwe wa miaka 110 amekamatwa kwa kosa la kuua mke baada ya mke wake kumnyima unyumba. ==== Polisi huko katika wilaya ya Ntungamo nchini Uganda, wanamshikilia mzee mmoja mwenye umri wa...
5 Reactions
10 Replies
716 Views
Mwanasiasa huyo ambaye pia ni Mwanamuziki ametoa kauli hiyo baada Rais Museveni kutangaza kutenga Tsh. Bilioni 8.71 kwaajili ya kusaidia Wasanii ambapo ameshauri Serikali kupitisha Sheria...
1 Reactions
1 Replies
665 Views
Awali kabla ya kwenda ukweni kwake walikubaliana na baba wa bibi harusi mtarajiwa kuwa watakwenda na ng’ombe na mbuzi. Lakni aliwasili ukweni bila kuwa na mifugo hiyo. Uganda. Mzee Samuel Maikut...
1 Reactions
8 Replies
900 Views
Back
Top Bottom