Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

Shirika la ndege la Uganda limeripoti kuongeza mapato kwa kuingiza zaidi ya Dola 67,137 kutokana na kusafirisha maiti za raia wa Uganda kurejea nyumbani tangu kuanza kwa safari zake takriban miaka...
0 Reactions
8 Replies
496 Views
Sakata la Waganda Kubambikiwa Watoto na kukimbilia Kupima DNA limechukua sura Mpya baada ya Mpinzani wa Siku nyingi wa Serikali Dr.Kiiza Besigye kukataa Kupima DNA akisema yeyote anaemuita baba...
5 Reactions
7 Replies
803 Views
Kampuni ya usindikaji wa maziwa ya Brookside Limited, nchini Uganda imepunguza zaidi ya asilimia 50 ya wafanyakazi wake kufuatia kushuka kwa bidhaa zinazouzwa nje. . Katika barua iliyotumwa kwa...
0 Reactions
3 Replies
569 Views
Ajali ya barabarani iliyohusisha lori na daladala kwenye barabara kuu ya Kagadi-Kyenjojo katika halmashauri ya mji wa Nyanseke-Muhorro, wilayani Kagadi. Ajali hiyo pia imewaacha wengine kadhaa...
0 Reactions
1 Replies
327 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema, "Mchungaji Huyu Amefunga Kanisa Baada ya Kushinda Sh Milioni 100 za Uganda Baada ya Kucheza Sports Betting." Anakiri kusema kwamba alikuwa anakazana kutoboa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Raisi wa Uganda Yoweri Kaguta Mseveni amedai kuwa ameridhika na ufugaji wa ng'ombe wake nyumbani na hana tamaa na madaraka. Kiongozi huyo amesema hayo wakati akimpigia kampeni mgombea ubunge wa...
1 Reactions
4 Replies
372 Views
Naibu Spika wa Bunge Thomas Tayebwa ameiomba serikali kuzuia tovuti zote za ngono ambazo alisema zinawaweka watoto kwa taarifa nyingi zisizofaa. "Watoto wetu wanakabiliwa na katuni za...
1 Reactions
3 Replies
780 Views
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewataka wananchi wa Taifa hilo kutupilia mbali anaouita uzushi wa kuwa amefariki kutokana na Uviko-19. Hatua hiyo inakuja baada ya siku kadhaa kupita tangu Rais...
4 Reactions
6 Replies
860 Views
Renowned Ugandan businessman Apollo Nyegamehe has died after the car in which he was travelling rammed into a stationary lorry along Mbarara-Kabale highway in Ntungamo District. The ruling...
1 Reactions
2 Replies
669 Views
Uganda. Waumuni wa Kanisa la Bunyonga, kaunti ndogo ya Kayonza wilaya Kayunga nchini Uganda ambapo mwanaume na mwanamke walikutwa wakifanya mapenzi katika madhabahu ya kanisa hilo, wamefanya ibada...
1 Reactions
6 Replies
522 Views
Wapenzi hao wamekutwa wakifanya kitendo hicho eneo la Madhabau Nchini Uganda na kusababisha kikundi cha Waumini kadhaa kuapa kutoingia tena katika Kanisa hilo lililopo Wilaya ya Kayunga. Tukio...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Ni kauli ya Meja Jenerali Mstaafu Kahinda Otafiire, aliyewaomba Wabunge wa Uganda kuondoa bidhaa hiyo katika orodha ya Vilevi vilivyopigwa marufuku Nchini humo. Waziri huyo amesema, sidhani kama...
1 Reactions
7 Replies
871 Views
Kurugenzi ya Uraia na Udhibiti wa Uhamiaji ya Uganda (DCIC) imesema imepokea barua kutoka kwa Wanaume wasiopungua 32 wakitaka kufutwa kwa hati za kusafiria za watoto wao baada ya matokeo ya vipimo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Raia 26 wa Uganda wamefungua Kesi Nchini Ufaransa wakidai utekelezaji wa mradi huo (EACOP) kutoka Hoima, Uganda hadi Tanga umesababisha Madhara na umekiuka Haki za Binadamu ikiwemo Haki ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Takriban wanaume 32 wameiandikia Kurugenzi ya Udhibiti wa Uraia na Uhamiaji (DCIC) nchini Uganda, wakitaka kufutwa kwa hati za kusafiria za watoto baada ya matokeo ya DNA kuonyesha kwamba wao siyo...
2 Reactions
5 Replies
746 Views
Polisi nchini Uganda wanafanya uchunguzi wa tukio la Wanafunzi wanne (Wakiume) wa Chuo cha Jinja kudaiwa kumnyanyasa kingono mwanafunzi mwenzao (wakiume) mwenye umri wa miaka 15. Taarifa...
0 Reactions
3 Replies
662 Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza kuwa hatimaye amepona virusi vya ugonjwa wa Covid-19 baada ya vita vya wiki mbili na virusi hivyo. Mkuu huyo wa nchi mwenye umri wa miaka 78, katika...
0 Reactions
1 Replies
407 Views
Serikali ya Uganda imesema inapanga kuongeza umri wa unywaji pombe kutoka miaka 18 hadi 21 ili kukabiliana na unywaji pombe unaopita kiasi. Akiongea katika kongamano la pili la Wakuu wa Kitaifa...
1 Reactions
5 Replies
716 Views
..Kwanini Tanzania imeshindwa kuwashawishi Uganda kujenga SGR kuelekea kwetu, na sio Kenya? ===== Uganda yafuta mkataba wa China kutengeneza reli ya SGR, yaichagua kampuni inayojenga reli ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom