Uganda: Achukua Ambulance aliyotoa kama msaada baada ya kushindwa uchaguzi

ContentCreator

Senior Member
Sep 2, 2020
146
217
Mnamo mwaka 2021 mwanasiasa wa Uganda Evelyn Anite Kajik alishindwa uchaguzi wa ndani wa chama chake cha NRM katika manispaa ya Koboko dhidi ya mpinzani wake Dr Charles Ayume, mtoto wa Spika wa zamani wa Uganda marehemu Francis Ayume.

Baada ya kushindwa uchaguzi wa ndani aliamua kuchukua Ambulance aliyotoa kama msaada eti kwasababu hawakumpigia kura.

Hivi Waafrika nani alituloga? Ndiyo maana hatuna maendeleo.

Source: Africa Fact Zone Twitter (X)

View: https://twitter.com/HonAniteEvelyn/status/1709257933425394075?t=-ME0dyXH0Q1DjgfqMmUeqQ&s=19
 
Back
Top Bottom